Serikali yafafanua mwanamke aliyefukuzwa kwenye nyumba yake

Umeona response ya serikali mpaka sasa ? Mama anaonekana Victim sasa hivi hakuna atakaedhubutu kugusa hiyo nyumba hii ndio Bongo kuna sheria na kuna wanasiasa na usidanganywe kwamba hakuna aliyejuu ya sheria.
 
Picha yake na saini ya alama za vidole dole gumba lake vipo kwenye hati ya mauziano. Mama alishiriki vizuri Ila alijua wataweza kulipa Deni.
Anyway mimi sijasikiliza sakata lote to formulate any conclusions, nimeona tu summation ya mkuu wa mkoa hata hiyo sijasikiliza mpaka mwisho.

Kama ni mkopo je waliweka collateral nyumba?

Mkopeshaji anakibali cha BoT kufanya biashara ya kutoa mkopo (running a financial business). Maana kuna taratibu za default kabla ya kuchukua asset.

Bank haichukui nyumba kama collateral uki-default, in practice wanatakiwa wauze at market value to recoup their losses na kukupa chako kama kuna ziada baada ya kuchukua hela ya deni.

Serikali ya Tanzania ilishapiga marufuku biashara ya ‘loan sharks’ unatakiwa usajiliwe hata kwa utaratibu wa micro finance, vinginevyo rasmi uruhusiwi kutoa mikopo bila ya kusajiliiwa na BoT.

Labda ndio maana huyo mkopeshaji sijui mnunuzi hataki kwenda mahakamani; kwa sababu biashara yake ni racketeering in the first place.

Regardless on who is playing who, as yet the law appears to be on the widow side (but then sijasikiliza full version ya sakata lote).
 
This is the form of discrimination,it leads to animosity prejudice or exclusion of outsiders based of group differences
I didn't care because it's the truth, ni Muhindi na siwezi kusema yule Mmsai kwa kuwa si Mmasai au siwezi kusema yule Muhaya kwa kuwa si Muhaya au siwezi kusema yule Mchaga kwa kuwa si Mchaga.
Kipindi cha Jiwe alikimbilia kwao India, is that discrimination too?
 
Sidhani hata kama uliielewa comment yangu coz unarudi kule kule kwenye tribalism!
Watu hutambuliwa kwa majina yao na sio makabila yao,unadhani Mahakamani watatambulika kwa makabila yao?

Comment 63 # nae alitumia ukabila ila baada ya comment yangu,naona amerekebisha,huyo ni muelewa,ila wewe badala ya kuelewa issue,ni kama vile umesha jikoki kubishana!!
 
Kuna watu kwenye kuwaelezea tunawabainisha kama Caucasians, Asians, Latinos and so on and so forth. Kwanini muwe sensitive na vitu ambavyo viko wazi kabisa, Wabongo shida tupu unless if you're protecting 'something'. Kusema ukweli haiwezi kuwa kosa hata siku moja.
 
Huyo uliyemtaja wewe ulimtaja kwa grp gani kati ya hayo uliyoyaweka hapo?
 
Hapa kuna kale kamchezo tuuziane bilioni mbili lakini tuseme tumeuziana milioni mia mbili kukwepa kodi alafu baadaye mmoja anamzunguka mwenzake na kushikilia pale pale.
 
Inasemekana Alice na mumewe walishatengana na mkorofi ni Alice, kutengana kwao kukasababisha mwanaume kuanzisha mji mwingine na mwanamke mwingine na kuzaa watoto wengine, wakiwa kwenye mchakato wa talaka mahakamani mume akaanza kuumwa, kaugua kwa muda mrefu na Alice hakumuuguza mumewe na msiba haukufanyika nyumba yenye mgogoro ila Alice alifika msibani na watoto wakashiriki maziko.
Inawezekana marehemu kauza nyumba kimyakimya ili kumkomoa Alice, Alice naye anakomaa hapo hatoki maana hajaachiwa nyumba nyingine tofauti na hiyo.
Kwa taarifa hizi inawezekana Mohamed na marehemu walikubaliana kuandika gharama ya mauziano chini ili kukwepa kulipa kodi(capital gain tax) kwa kujiona wao watoto wa mjini pasi na kujua madhara yake.
 
Grouping Kibongobongo inawekwa Kibongobongo hivyohivyo, flexibility.
Comment yako 67# unasema "wabongo shida tupu" halafu hapa unarudi kusema umeweka grouping Kibongobongo!

Nilitegemea ungesema umeweka kizungu coz hao wabongo si umesha waponda tayari!

Something wrong in you.
 
Comment yako 67# unasema "wabongo shida tupu" halafu hapa unarudi kusema umeweka grouping Kibongobongo!

Nilitegemea ungesema umeweka kizungu coz hao wabongo si umesha waponda tayari!

Something wrong in you.
Wabongo shida tena sana hasa kwenye uelewa yeah, hiyo categorization kimesema Kibongobongo kwa kuwa ndiyo ilivyo kwa Bongo hata seheme nyingi za dunia wanukuwa categorized hivyo 'Indians' au 'Pakistanis'.
 
Wabongo shida tena sana hasa kwenye uelewa yeah, hiyo categorization kimesema Kibongobongo kwa kuwa ndiyo ilivyo kwa Bongo hata seheme nyingi za dunia wanukuwa categorized hivyo 'Indians' au 'Pakistanis'.
Kwahiyo wewe ndio unajiona una uelewa mkubwa sana sio? Umeishia kusema wabongo wabongo! Unajadili na mimi,acha kuingiza wingi na kusema wabongo,

Wewe ndio una tatizo katika uelewa wako,ndio nyie mnaofuga ujinga,hata mkielekezwa hua mnakaza fuvu,

Jaribu kwenda na Dunia inavyokwenda,acha kukariri maisha,
Mtu hatambuliki kwa kabila lake,wewe umemtaja mtu mmoja ila unakuja na utetezi eti "grouping" wewe umetaja mtu mmoja hujataja group,

Kua na akili ya uelewa au piga kimya ili usionekana kua hujui.
 

Hati imebadilishwa kimagumashi ,mama anasema hata sign wameweka dole gumba ambalo siyo lake ,ni easy tu kwenda NIDA au Mambo ya ndani na kudetect hiyo finger print.

Ukiangalia huyu Mohamed anakimbia kimbia anatuma wawakilishi ,anaogopa maana anajua amefanya FOJI FOJI NANGAI ,anaona akija anaweza kudakwa ndiyo maana anajifanya yupo nje ya nchi amemtuama MAMA BONGE,mara oh anataka amalizane na mama nje ya mahakama.

Mohamed ni TAPELI anataka kumdhulumu mama mjane na usikute hata huyo rafiki yake alimpa sumu ndiyo maana UTUMBO ukakatika ili adhulumu jumba kwa maana ana HISTORIA ya utapeli ndiyo maana JPM alimfunga.
 
Hapo akikazia ata win wengi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…