kishapu boy
Member
- Jul 31, 2015
- 19
- 32
Ila usisahau kuwa hyo 59,000 inajumuisha July & August, September itakuwa 29,500Na kweli tumepata, nimepata 59, 000/=
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ila usisahau kuwa hyo 59,000 inajumuisha July & August, September itakuwa 29,500Na kweli tumepata, nimepata 59, 000/=
Kwani hiyo anyo bei gani?Hapo ndo ushangae Kwa sababu kama ni gharama za maisha kupanda zinapanda Kwa wote sasa iweje nyongeza ilenge kundi Fulani tu?
Mimi nafikiri serikali haina hela wala haikuwa imejipanga kwenye hili suala
Wewe Uko Idara gani hapo serikalini?Serikali ipo sahihi kabisa kwa vigezo ilivyo vitumia,wewe kama hujalizika unaweza kuacha kazi na kuingia mitaani ujiajili maana kuna vijana wengi sana mitaani ambao wapo tayari kufanya kazi mahali popote pale hata kwa kujitolea tu. Ulitakiwa pia uipongeze serikali kwa kutimiza ahadi yake. Watumishi wa umma wamekaa miaka mingapi pasipo kupewa haki hiyo ya nyongeza? Miaka mingapi serikali ilikaa kimya bila kuajiri vijana waliokuwa mitaani ili kupisha zoezi la uhakiki wa vyeti pamoja na kuondoa watumishi hewa? Sasa kwanini usiipongeze serikali ya Rais samia ambayo ilianza kutoa ajira kwa kasi pamoja na kuwapa watumishi wa umma stahiki mbalimbali?
Siyo kila kitu wewe ni kulalamika tu utafikiri mtoto mdogo, . Mshahara ni akili katika kuutumia maana unaweza kupewa mshahara mkubwa lakini kama huna akili ya namna ya kupanga na kupangilia matumizi na vipaombele vyako utajikuta una weka hadi kadi ya benki kwa wakopeshaji wakitaani. Kama umechoka na unaona mshahara hautoshi acha kazi hata leo tuuu. Siku zote mshahara haujawahi kutosha. Njoo mitaani huku kama unaona kazi kwako ni mzigo ili ishike akili
Asipokuelewa basi kaamua tu kukaza fuvu. Yani mtu kaajiriwa mwezi wa sita, halafu adai annual increment ya mwezi wa saba na nane! Huyo ni kichaa.Serikali ipo sahihi , unajua maana ya annual. Unatakiwa uwe umepokea mishahara 12 ndo utaweza nufaika na annual
Kama hoja ni kutumikia vyeo Kwa kipindi cha miezi 12 basi tupeni increment zetu za vyeo vyetu vya awali kabla ya kupanda madarajaHujui maana ya annual increment wewe. Acheni vilawama visivyo na msingi wowote. Wewe unataka aliyeanza kazi juzi apewe ongezeko gani la mwaka wakati hajautumikia?
Acheni blaaah blaaah. Kama Vipin tupeni increment ya vyeo vyetu vya awali tulivyovitumikia Kwa zaidi ya miezi 12 kabla ya kupanda madaraja na hao walimu mnasema hawana miezi 12 kazini mbona hata posho zao za kujikimu hamjawapa?...Naona umeongea kama layman ngoja nikufafanulie.
1. Wakuu wa Idara na Vitengo hawa mishahara yao ni fixed zaidi ya milioni 3 na ushehe
2. Ajira mpya hawa kwa kanunii za utumishi wa umma baada ya mwaka mmoja ndio wanakua confirmed ni utaratibu wa kawaida kabisa
3. Waliopanda vyeo mwaka huu 2023 bado hawajamaliza mwaka 1 yaani bado wanatumikia increment ya mshahara walio nao huwezi kupandishia tena nyongeza.
Wanaistahili ni hao waliobaki so the government is in right direction
Walimu mabingwa wa kulalamika... Mkipewa nafasi mnatenda ovyo!Licha ya serikali kujigamba kuongeza mshahara "annual increment" kuna baadhi ya makundi ya watumishi wa umma hususani walimu hawajanufaika na ongezeko Hilo.
Miongoni mwa makundi yaliyofanyowa ubaguzi ni pamoja na,
1. Walimu waliopandishwa vyeo tarehe 1/5/2023 kwa madai kwamba wanaendelea kutumikia na wapo katika matazamio ya vyeo vyao vipya hivyo wataendelea kusalia kwenye mshahara wa daraja jipya walilonalo Kwa sasa.
2. Walimu wa ajira mpya. Licha ya kwamba tangu wameripoti kwenye vituo vyao vya kazi mwezi June hawajanufaika Kwa chochote kwenye ongezeko Kwa madai kwamba hawajamaliza miezi 12 tangu kuajiriwa kwao na bado wapo kwenye muda wa matazamio.
Lakini itakumbukwa kuwa walimu hawa tangu wameripoti bado hawajalipwa stahiki zao zingine ikiwemo posho ya kujikimu na mishahara ya mwezi June n.k
3. Wakuu wa idara na vitengo. Ingawa Wana majukumu makubwa ya kiutendaji ya kusimamia idara wanazoziongoza lakini serikali haijawakumbuka kabisa kwenye suala la nyongeza ya mshahara Kwa kigezo cha kanuni za utumishi wa umma.
N:B, wakati mwingine kama ni nyongeza ya mshahara ni muhimu ikafanyika Kwa watumishi wote bila ubaguzi kwani wote ni watumishi wa serikali na wanafanya majukumu sawa na hao walioongezewa na kama ni inshu ya kibajeti ni Bora suala la nyongeza lingeachwa kwanza Hadi pale serikali itakapojipanga Kwa wakati mwingine.
Wewe mbona unakuwa mbishi kuelewa? Unataka kuifundisha serikali namna ya kufanya kazi?Acheni blaaah blaaah. Kama Vipin tupeni increment ya vyeo vyetu vya awali tulivyovitumikia Kwa zaidi ya miezi 12 kabla ya kupanda madaraja na hao walimu mnasema hawana miezi 12 kazini mbona hata posho zao za kujikimu hamjawapa?...
Acheni uhuni...
Awamu ya 5 haikupandisha madaraja wala mishahara ya watumishi mlaumu marehemu.Kama hoja ni kutumikia vyeo Kwa kipindi cha miezi 12 basi tupeni increment zetu za vyeo vyetu vya awali kabla ya kupanda madaraja
Sasa mchaguwe mama samia 2025 achana na hao M4C hawana jipya .Na kweli tumepata, nimepata 59, 000/=
Kundi la walimu lina watu wajinga sn kutwa kulalamika tu, kama mtu amepandishwa daraja 1-5-2023 leo anataka tena increament ya nini?Serikali ipo sahihi , unajua maana ya annual. Unatakiwa uwe umepokea mishahara 12 ndo utaweza nufaika na annual
Wanadhani wao tu pekee yao ndiyo wana hakiSerikali ipo sahihi kabisa kwa vigezo ilivyo vitumia,wewe kama hujalizika unaweza kuacha kazi na kuingia mitaani ujiajili maana kuna vijana wengi sana mitaani ambao wapo tayari kufanya kazi mahali popote pale hata kwa kujitolea tu. Ulitakiwa pia uipongeze serikali kwa kutimiza ahadi yake. Watumishi wa umma wamekaa miaka mingapi pasipo kupewa haki hiyo ya nyongeza? Miaka mingapi serikali ilikaa kimya bila kuajiri vijana waliokuwa mitaani ili kupisha zoezi la uhakiki wa vyeti pamoja na kuondoa watumishi hewa? Sasa kwanini usiipongeze serikali ya Rais samia ambayo ilianza kutoa ajira kwa kasi pamoja na kuwapa watumishi wa umma stahiki mbalimbali?
Siyo kila kitu wewe ni kulalamika tu utafikiri mtoto mdogo, . Mshahara ni akili katika kuutumia maana unaweza kupewa mshahara mkubwa lakini kama huna akili ya namna ya kupanga na kupangilia matumizi na vipaombele vyako utajikuta una weka hadi kadi ya benki kwa wakopeshaji wakitaani. Kama umechoka na unaona mshahara hautoshi acha kazi hata leo tuuu. Siku zote mshahara haujawahi kutosha. Njoo mitaani huku kama unaona kazi kwako ni mzigo ili ishike akili
Nasisitiza sio tu mishahara 12 na uwe na barua ya uthibitishoSerikali ipo sahihi , unajua maana ya annual. Unatakiwa uwe umepokea mishahara 12 ndo utaweza nufaika na annual
Mkuu pamoja na kwamba upo Uhuru sana, siyo kila jambo la Mwajiri wako upeleke Mitandaoni hasa nyaraka za malipo serikalini. Imagine wewe jalada lako binafsi pia serikali au Afisa mmoja akachapisha hapa taarifa zako utajiskiaje? Kanuni Na.8 ya ajira yako imekusisitiza Kamwe taarifa za Mwajiri wako usizitoe kwa mtu yeyote yule lkn wewe hapo umenakili maneno ya Waraka wa SIRI mtandaoni ambao hata Rais hakuutaja wakati wa MEI MOSI. Sio tu kwamba unaleta usumbufu kwa Wafanyakazi wenzako lkn inakuweka kwenye wakati mgumu sana ikitokea bahati mbaya ukabainika. Jiepusha sana na haya makitu Mkuu. Ni ushauri tuu mkuu otherwise nyongeza tunaisubir huku Mtaani iongeze mzunguko wa pesa.Licha ya serikali kujigamba kuongeza mshahara "annual increment" kuna baadhi ya makundi ya watumishi wa umma hususani walimu hawajanufaika na ongezeko Hilo.
Miongoni mwa makundi yaliyofanyowa ubaguzi ni pamoja na,
1. Walimu waliopandishwa vyeo tarehe 1/5/2023 kwa madai kwamba wanaendelea kutumikia na wapo katika matazamio ya vyeo vyao vipya hivyo wataendelea kusalia kwenye mshahara wa daraja jipya walilonalo Kwa sasa.
2. Walimu wa ajira mpya. Licha ya kwamba tangu wameripoti kwenye vituo vyao vya kazi mwezi June hawajanufaika Kwa chochote kwenye ongezeko Kwa madai kwamba hawajamaliza miezi 12 tangu kuajiriwa kwao na bado wapo kwenye muda wa matazamio.
Lakini itakumbukwa kuwa walimu hawa tangu wameripoti bado hawajalipwa stahiki zao zingine ikiwemo posho ya kujikimu na mishahara ya mwezi June n.k
3. Wakuu wa idara na vitengo. Ingawa Wana majukumu makubwa ya kiutendaji ya kusimamia idara wanazoziongoza lakini serikali haijawakumbuka kabisa kwenye suala la nyongeza ya mshahara Kwa kigezo cha kanuni za utumishi wa umma.
N:B, wakati mwingine kama ni nyongeza ya mshahara ni muhimu ikafanyika Kwa watumishi wote bila ubaguzi kwani wote ni watumishi wa serikali na wanafanya majukumu sawa na hao walioongezewa na kama ni inshu ya kibajeti ni Bora suala la nyongeza lingeachwa kwanza Hadi pale serikali itakapojipanga Kwa wakati mwingine.
Kwan we uko umeona ngap??Licha ya serikali kujigamba kuongeza mshahara "annual increment" kuna baadhi ya makundi ya watumishi wa umma hususani walimu hawajanufaika na ongezeko Hilo.