Serikali yafanya ubaguzi kwenye nyongeza ya mshahara

Wewe Uko Idara gani hapo serikalini?

Samahani Lakini 😀
 
Serikali ipo sahihi , unajua maana ya annual. Unatakiwa uwe umepokea mishahara 12 ndo utaweza nufaika na annual
Asipokuelewa basi kaamua tu kukaza fuvu. Yani mtu kaajiriwa mwezi wa sita, halafu adai annual increment ya mwezi wa saba na nane! Huyo ni kichaa.
 
Hujui maana ya annual increment wewe. Acheni vilawama visivyo na msingi wowote. Wewe unataka aliyeanza kazi juzi apewe ongezeko gani la mwaka wakati hajautumikia?
Kama hoja ni kutumikia vyeo Kwa kipindi cha miezi 12 basi tupeni increment zetu za vyeo vyetu vya awali kabla ya kupanda madaraja
 
Acheni blaaah blaaah. Kama Vipin tupeni increment ya vyeo vyetu vya awali tulivyovitumikia Kwa zaidi ya miezi 12 kabla ya kupanda madaraja na hao walimu mnasema hawana miezi 12 kazini mbona hata posho zao za kujikimu hamjawapa?...
Acheni uhuni...
 
Watumishi wa umma mna matatizo sana , sasa mtu unatokwa na povu kabisa la foma gold kisa nyongez ya buku sita mia tano? loh naendelea kuwasisitiza utumishi wa umma wa kibongo ni umasikini, nawasanueni tu.
 
Walimu mabingwa wa kulalamika... Mkipewa nafasi mnatenda ovyo!
 
Acheni blaaah blaaah. Kama Vipin tupeni increment ya vyeo vyetu vya awali tulivyovitumikia Kwa zaidi ya miezi 12 kabla ya kupanda madaraja na hao walimu mnasema hawana miezi 12 kazini mbona hata posho zao za kujikimu hamjawapa?...
Acheni uhuni...
Wewe mbona unakuwa mbishi kuelewa? Unataka kuifundisha serikali namna ya kufanya kazi?
 
Wanadhani wao tu pekee yao ndiyo wana haki
 
Wote wanaodhaniwa kuwa kinyume na matakwa ya mama yao huyo Bibi hawajapata nyongeza ya mshahara wala increment habari ndio hio. Sasa hivi ni mwendo wa ubaguzi tu
 
😅😅Hivi zinawahusu mpaka watu wa mashirika ya umma?
 
Mkuu pamoja na kwamba upo Uhuru sana, siyo kila jambo la Mwajiri wako upeleke Mitandaoni hasa nyaraka za malipo serikalini. Imagine wewe jalada lako binafsi pia serikali au Afisa mmoja akachapisha hapa taarifa zako utajiskiaje? Kanuni Na.8 ya ajira yako imekusisitiza Kamwe taarifa za Mwajiri wako usizitoe kwa mtu yeyote yule lkn wewe hapo umenakili maneno ya Waraka wa SIRI mtandaoni ambao hata Rais hakuutaja wakati wa MEI MOSI. Sio tu kwamba unaleta usumbufu kwa Wafanyakazi wenzako lkn inakuweka kwenye wakati mgumu sana ikitokea bahati mbaya ukabainika. Jiepusha sana na haya makitu Mkuu. Ni ushauri tuu mkuu otherwise nyongeza tunaisubir huku Mtaani iongeze mzunguko wa pesa.
 
Kwan we uko umeona ngap??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…