Serikali yafufua mchakato ujenzi Bandari ya Bagamoyo

Kuna watu walisema China walipewa bandari ya bagamoyo bure kubadilishana na ONE mmoja aliyekamatwa China kumbe ni uzushi mtupu
Amini maneno yangu. Asilimia 90 ya mambo unayosikiaga kwenye mitandao na mitaani kuhusu wanasiasa na siasa hapa bongo ni uzushi na chuki
 
Mwekezaji keshapatikana ni SADC kutoka Saudia Serikali yafufua mchakato ujenzi Bandari ya Bagamoyo
 
Tukibana matumizi ya serikali hiyo ni pesa ndogo sana serikali ikipunguza anasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…