Isanga family
JF-Expert Member
- Feb 25, 2015
- 17,080
- 33,076
Wangefuta Ada hata kwa shule binafsi na vijana wanaorudia mitihani wapunguze vizingiti kwa Wasomi..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii nchi ina viongozi wenye mawazo mgando sana! Cha kushangaza hao wazazi wenye watoto wanaosoma shule za kujitegemea, ndiyo hao hao wanao kamuliwa tozo nyingi zaidi kila siku na serikali.Hivi wanafunzi wa shule binafsi sio Watanzania?
Wazazi wao hawalipi kodi?
Waumizwe ada na mitihani ambayo ni ya serikali?
shukrani nyingi na za kipekee kabisa ziende kwa serikali ya CcmTaarifa iliyotolewa na Baraza la Mitihani Tanzania (NECTA) imesema watahiniwa wa Darasa la 7, Kidato cha 4 na 6 kutoka shule za Serikali hawatolipa ada hizo kuanzia sasa.
Hata hivyo Baraza limesema ada hizo zitaendelea kulipwa na wanafunzi wa shule za binafsi.
View attachment 2357463
Lengo ni kutaka wanafunzi wote wasome shule za serikali (umma). Kusoma shule za binafsi maana yake unajimudu na ukijimudu maana yake unafaa kuwa chanzo cha mapato, serikali tunakitumia chanzo hicho. Halafu hii ada ya mtihani wala hamjawahi kulalamika kuwa inawaumiza, kelele zinatoka wapi kuwasamehe wanaosoma shule za serikali??Hivi wanafunzi wa shule binafsi sio Watanzania?
Wazazi wao hawalipi kodi?
Waumizwe ada na mitihani ambayo ni ya serikali?
Taarifa iliyotolewa na Baraza la Mitihani Tanzania (NECTA) imesema watahiniwa wa Darasa la 7, Kidato cha 4 na 6 kutoka shule za Serikali hawatolipa ada hizo kuanzia sasa.
Hata hivyo Baraza limesema ada hizo zitaendelea kulipwa na wanafunzi wa shule za binafsi.
View attachment 2357463
Kutoka chekechea hadi chuo Kikuu elimu ni bure,Samia oyeeeThis is rubbish, danganya toto, rubbish of the highest dsegree
Mbona shule zilishafunguliwa na hizo ada tayari zimelipwa.
Tufunge shule zote za binafsi tuone matokeo yake. Shule za Serikali haziwezi kutosheleza mahitaji na wanao soma huko ni watanzania hivyo maamuzi haya ni ya kibaguzi. Serikali yetu bado ina kasumba ya ujamaa.Hivi wanafunzi wa shule binafsi sio Watanzania?
Wazazi wao hawalipi kodi?
Waumizwe ada na mitihani ambayo ni ya serikali?
Kwani kusomea private ni sawa na wanafunzi ambao ni jukumu la serekali ila wamesaidiwa na mzazi Kwa kwenda private!? Sasa Kwa nini wabaguliwe!?Ubaguzi, za mitihani ya VETA nazo waondoe
Ubaguzi unaanza hivihivi kama maumivu ya kichwaKwa speed ya kutisha. Mwisho watakuja na kusema hawatapata fursa kwenye vyuo vya serikali,ajira nk.Yetu macho huwa wanaanza hivi hivi