Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Mradi ulianzishwa kwa jazba au kwa pupaSerikali imefuta ndoto ya kuendeleza mradi wa Dege Eco Village uliopo Kigamboni jijini Dar es Salaam baada ya kujiridhisha kuwa itakuwa hasara kuendelea nao.
Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu, Patrobas Katambi ametoa kauli hiyo leo Alhamisi Juni 26, 2025 wakati akijibu swali la Mbunge wa Viti Maalumu Mariam Kisangi.
Mradi wa Dege Eco Village ulinzishwa kwa lengo la kuwekeza fedha za Mfuko wa Hifadhi ya Jamii wa NSSF, ambao ulilenga kuwa na faida zaidi kutokana na uwekezaji wake.
Mradi huo ulisimamishwa na Serikali na umekuwa na maswali mengi kutoka kwa wabunge na wananchi ikiwa inakaribia miaka tisa sasa tangu usimamishwe.
Serikali imekuwa ikielekeza kuwa inatafuta mwekezaji wa kuununua mradi huo ambao hadi mwishoni mwa 2023 ulikuwa na thamani ya Dola za Marekani 220 milioni (Sh501 bilioni).
Serikali imefuta ndoto ya kuendeleza mradi wa Dege Eco Village uliopo Kigamboni jijini Dar es Salaam baada ya kujiridhisha kuwa itakuwa hasara kuendelea nao.
Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu, Patrobas Katambi ametoa kauli hiyo leo Alhamisi Juni 26, 2025 wakati akijibu swali la Mbunge wa Viti Maalumu Mariam Kisangi.
Mradi wa Dege Eco Village ulinzishwa kwa lengo la kuwekeza fedha za Mfuko wa Hifadhi ya Jamii wa NSSF, ambao ulilenga kuwa na faida zaidi kutokana na uwekezaji wake.
Mradi huo ulisimamishwa na Serikali na umekuwa na maswali mengi kutoka kwa wabunge na wananchi ikiwa inakaribia miaka tisa sasa tangu usimamishwe.
Serikali imekuwa ikielekeza kuwa inatafuta mwekezaji wa kuununua mradi huo ambao hadi mwishoni mwa 2023 ulikuwa na thamani ya Dola za Marekani 220 milioni (Sh501 bilioni).
Kati ya miradi ya ovyo iliyo anzishwa wakati wa Jakaya Mrisho Kikwete.
Mambo ya akina Day, Mchechu, na wenzao...
Prof. Anna Tibaijuka anasemaje kuhusu hili?
Nikimsikia anauoigia debe wakati akiwa Waziri wa Ardhi.
Mi naona busara waendeleze kuliko kuacha majengo yaoze.
NSSF wamelemewa na madai ya Wastaafu- So Serikali aijauterekeza mradi isipokuwa wanatafuta mbia wamuuzie warudishe pesa .So Serikali aitopoteza kituSerikali imefuta ndoto ya kuendeleza mradi wa Dege Eco Village uliopo Kigamboni jijini Dar es Salaam baada ya kujiridhisha kuwa itakuwa hasara kuendelea nao.
Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu, Patrobas Katambi ametoa kauli hiyo leo Alhamisi Juni 26, 2025 wakati akijibu swali la Mbunge wa Viti Maalumu Mariam Kisangi.
Mradi wa Dege Eco Village ulinzishwa kwa lengo la kuwekeza fedha za Mfuko wa Hifadhi ya Jamii wa NSSF, ambao ulilenga kuwa na faida zaidi kutokana na uwekezaji wake.
Mradi huo ulisimamishwa na Serikali na umekuwa na maswali mengi kutoka kwa wabunge na wananchi ikiwa inakaribia miaka tisa sasa tangu usimamishwe.
Serikali imekuwa ikielekeza kuwa inatafuta mwekezaji wa kuununua mradi huo ambao hadi mwishoni mwa 2023 ulikuwa na thamani ya Dola za Marekani 220 milioni (Sh501 bilioni).
Mtaani wakavumisha mradi wa George Walker Bush.nakumbuka walikuwa wanasema eti usa anakuja kujenga mji kigamboni yaani usa miji yao kama detroit inaangamia halafu waje kujenga mji tanzagiza? hii nchi tunaongozwa na really low iq stupid people labda na sisi (wananchi) tuko hivyo pia kwa maana wanasema every country gets the leaders it deserves …
Washenzi wameharibu pesa za mifuko ya pensheni.Serikali imefuta ndoto ya kuendeleza mradi wa Dege Eco Village uliopo Kigamboni jijini Dar es Salaam baada ya kujiridhisha kuwa itakuwa hasara kuendelea nao.
Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu, Patrobas Katambi ametoa kauli hiyo leo Alhamisi Juni 26, 2025 wakati akijibu swali la Mbunge wa Viti Maalumu Mariam Kisangi.
Mradi wa Dege Eco Village ulinzishwa kwa lengo la kuwekeza fedha za Mfuko wa Hifadhi ya Jamii wa NSSF, ambao ulilenga kuwa na faida zaidi kutokana na uwekezaji wake.
Mradi huo ulisimamishwa na Serikali na umekuwa na maswali mengi kutoka kwa wabunge na wananchi ikiwa inakaribia miaka tisa sasa tangu usimamishwe.
Serikali imekuwa ikielekeza kuwa inatafuta mwekezaji wa kuununua mradi huo ambao hadi mwishoni mwa 2023 ulikuwa na thamani ya Dola za Marekani 220 milioni (Sh501 bilioni).
Huu mradi na mengine mingi imekuwa hasara kwa sababu target yake ilikuwa watumishi wa serikali wauziwe hizi nyumba....Serikali kuhamia Dodoma ndo sababu kubwa mradi kutoendelea..Kuna watu binafsi pia wameathirika na hili sio serikali peke akeHawa jamaa wanachezea pesa za Watanzania kweli kwa kuwa wanajua hakuna ch kuwafanya.
Serikali haiwezi kurudisha pesa za mradi ambao unaonekana hauwezi kuendesheka kwa faida mpaka unataka kuuzwa hivi.NSSF wamelemewa na madai ya Wastaafu- So Serikali aijauterekeza mradi isipokuwa wanatafuta mbia wamuuzie warudishe pesa .So Serikali aitopoteza kitu
Na hamana cha kuwafanya wala nini!Hawa jamaa wanachezea pesa za Watanzania kweli kwa kuwa wanajua hakuna ch kuwafanya.
Kweli kabisa, hawa ndio kioo cha namna watanzania tulivyo.labda na sisi (wananchi) tuko hivyo pia kwa maana wanasema every country gets the leaders it deserves …
Ni dhahiriKwa hivyo zile billion 30 alizoomba na kupewa Riz1 akiwa wizara ya ardhi na makazi kwa lengo la kumalizia mradi jamaa washatafuna.