mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 96,490
- 138,365
Hao sasa ndiyo wahainiHawa wtu wanafaa sana kushitakiwa
Ova
Hao sasa ndiyo wahainiHawa wtu wanafaa sana kushitakiwa
Serikali imefuta ndoto ya kuendeleza mradi wa Dege Eco Village uliopo Kigamboni jijini Dar es Salaam baada ya kujiridhisha kuwa itakuwa hasara kuendelea nao.
Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu, Patrobas Katambi ametoa kauli hiyo leo Alhamisi Juni 26, 2025 wakati akijibu swali la Mbunge wa Viti Maalumu Mariam Kisangi.
Mradi wa Dege Eco Village ulinzishwa kwa lengo la kuwekeza fedha za Mfuko wa Hifadhi ya Jamii wa NSSF, ambao ulilenga kuwa na faida zaidi kutokana na uwekezaji wake.
Mradi huo ulisimamishwa na Serikali na umekuwa na maswali mengi kutoka kwa wabunge na wananchi ikiwa inakaribia miaka tisa sasa tangu usimamishwe.
Serikali imekuwa ikielekeza kuwa inatafuta mwekezaji wa kuununua mradi huo ambao hadi mwishoni mwa 2023 ulikuwa na thamani ya Dola za Marekani 220 milioni (Sh501 bilioni).
Wanataka wauuze kwa bei ya hasara. Ili wauziane wenyewe kwa wenyewe au watafute muarabuHasara ya kutokuendelea nao ni ipi?sio baada ya muda mfupi utaona yanaendelezwa na mfanybiashara mmoja na anapiga hela,au panauzwa kabisa na hela hazitajulikana zimeingia mfuko gani.Kwanini serikali isiendeleze hata kila mwaka maghorofa mowili na watu wakapanga kama kwenye apartments za Morocco au hata kule Kawe ili angalau hela iwe inarudi kidogo kidogo?
Huyu Naibu waziri ndo baibai, yaani hata akigombea uenyekiti wa mtaa hapati.Serikali imefuta ndoto ya kuendeleza mradi wa Dege Eco Village uliopo Kigamboni jijini Dar es Salaam baada ya kujiridhisha kuwa itakuwa hasara kuendelea nao.
Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu, Patrobas Katambi ametoa kauli hiyo leo Alhamisi Juni 26, 2025 wakati akijibu swali la Mbunge wa Viti Maalumu Mariam Kisangi.
Mradi wa Dege Eco Village ulinzishwa kwa lengo la kuwekeza fedha za Mfuko wa Hifadhi ya Jamii wa NSSF, ambao ulilenga kuwa na faida zaidi kutokana na uwekezaji wake.
Mradi huo ulisimamishwa na Serikali na umekuwa na maswali mengi kutoka kwa wabunge na wananchi ikiwa inakaribia miaka tisa sasa tangu usimamishwe.
Serikali imekuwa ikielekeza kuwa inatafuta mwekezaji wa kuununua mradi huo ambao hadi mwishoni mwa 2023 ulikuwa na thamani ya Dola za Marekani 220 milioni (Sh501 bilioni).
Kwahiyo umeona walimu na polisi ndiyo wenye umasikini wa makazi kaka ?Kwanini wasimalizie baadhi ya majengo wakawaweka walimu na wenzao polisi wakaishi?
Sababu gharama za kupanga Kigamboni sio mchezo
Rafiki zako hao watoto wa mjini kina Dau wamepiga hela.Inasikitisha sana hyo kuna siku tuliingia humo ndani ni kama ghost town
Mabilion yamelala yametelekezwa
Ova
Mradi ulianzishwa kwa jazba au kwa pupa
Huo mradi ulikuwa mzuri tu sema ufisadi wa yule jamaa aliye geuza ofisi za serikali kuwa msikiti na kufa na kuzikwa marekani ndiyo cganzo waislamu wanatuhalibia nchiSerikali imefuta ndoto ya kuendeleza mradi wa Dege Eco Village uliopo Kigamboni jijini Dar es Salaam baada ya kujiridhisha kuwa itakuwa hasara kuendelea nao.
Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu, Patrobas Katambi ametoa kauli hiyo leo Alhamisi Juni 26, 2025 wakati akijibu swali la Mbunge wa Viti Maalumu Mariam Kisangi.
Mradi wa Dege Eco Village ulinzishwa kwa lengo la kuwekeza fedha za Mfuko wa Hifadhi ya Jamii wa NSSF, ambao ulilenga kuwa na faida zaidi kutokana na uwekezaji wake.
Mradi huo ulisimamishwa na Serikali na umekuwa na maswali mengi kutoka kwa wabunge na wananchi ikiwa inakaribia miaka tisa sasa tangu usimamishwe.
Serikali imekuwa ikielekeza kuwa inatafuta mwekezaji wa kuununua mradi huo ambao hadi mwishoni mwa 2023 ulikuwa na thamani ya Dola za Marekani 220 milioni (Sh501 bilioni).
Akili za kipumbavu kabisa hivi kwani nchi ni wafanyakazi wa serikali tu.. yule mpuuzi aliye geuza NSSF kuwa msikiti ndiyo chanzo cha huu uoumbavu wote ...Garama za mradi zinaongezeka Kila kukicha
1.kuna wizi mkubwa sana ulitokea wa vitu mbalimbali pale
2. Kwa kuchelewa huu mradi Interest rate ya deni inaongezeka
3.Tayari depreciasion ya majengo inaendelea kukuwa kabla majengo ayajakaliwa
4.kuna kampuni ya ulinzi inalipwa kukinda majengo ambayo ayaingizi kitu
Ukweli ni kuwa mradi huu walengwa wote wameamia Dodoma kikazi na Akuna mtu anefanya kazi Dodoma akanunua nyumba Dar kwa sasa. Serikali siitetei lakini hii do hali halisi kuwa mradi umeshindwa endelea kwa sababu ya Watumishi wa serikali kuhamia Dodoma .mradi huu kwa sasa kama ungelifanyika Dodoma hakika ungeisha fasta.nini Kifanyike??? Muhimbili kwa sasa Wapo Mbioni kujenga Hospitali Shule pale Mlonganzila....Kutokana na Population ya Dar kwa sasa ikiwemo na Kigamboni Serikali inaweza kutumia pesa za kujenga hii hospital shule Kigamboni na kusave 1. Pesa zikanunua huu mradi 2.Wakazi wa Kigamboni wakapata hospital ya rufaa ikawa win win situation. Au IFM Wana miaka zaidi ya mitano wanatafuta pesa ya kujenga new campus pale Msata. Wangeyachukuwa haya majengo yakawa new IFM campus na uzuri wake vijana wengi wa IFM wanaishi tayari Kigamboni....hii ni mifano michache tu ambayo if done Dege Eco City can be profitable🙏
Walioanzisha wako wapi? 😂😂😂😂
JAMAA ALIGEUZA OFISI ZA NSSF KUWA MSIKITI CHA AJABU ALIPOKUFA KAZIKWA KWA MAKAFIRI ANAO WAPENDAwaislamu wa tanzagiza …
JAMAA ALIGEUZA OFISI ZA NSSF KUWA MSIKITI CHA AJABU ALIPOKUFA KAZIKWA KWA MAKAFIRI ANAO WAPENDA
Haha hvi huo mradi dau alikuwa mkurugenzi,mzee dau kutwa swala 5 ukimuonaRafiki zako hao watoto wa mjini kina Dau wamepiga hela.
Bongo unaharibu, halafu unazawadiwa ubalozi.Haha hvi huo mradi dau alikuwa mkurugenzi,mzee dau kutwa swala 5 ukimuona
Ova
Ili kupunguza hasara ya fedha zilizotumika ni bora wayapige mnada ili wawekezaji wapatikane; yanaweza kutumika kama hoteli n.k