Faana
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 38,657
- 44,759
Na waarabu wabakiSitii neno kwakuwa sijaelewa kiundani kwanini wahame
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na waarabu wabakiSitii neno kwakuwa sijaelewa kiundani kwanini wahame
Fear of defeatAMRI YA MAREKEBISHO YA AMRI YA MGAWANYO WA MAENEO YA UTAWALA KATIKA SERIKALI ZA MITAA (MAMLAKA ZA WILAYA) YA MWAKA 2024
1. Amri hii itajulikana kama Amri ya Marekebisho ya Amri ya Mgawanyo wa Maeneo ya Utawala katika Serikali za Mitaa (Mamlaka za Wilaya) ya Mwaka 2024 na itasomwa pamoja na Amri ya Mgawanyo wa Maeneo ya Utawala katika Serikali za Mitaa (Mamlaka za Wilaya) ya Mwaka 2019 ambayo hapa imerejewa kama "Amri kuu".
2. Amri kuu inarekebishwa katika Jedwali kwa kufuta kata, vijiji na vitongoji katika Halmashauri za Wilaya ya Ngorongoro, Bahi, Chemba, Kasulu, Kakonko, Hai na Rombo kama ilivyoainishwa katika Jedwali.
Hili ni Tangazo la Serikali namba 673 la Agosti 2, 2024.
View attachment 3074381
Pia soma>> Wamasai wa Ngorongoro watoa tamko kunyang'anywa haki ya kupiga kura 2024 na 2025
Yani huu ni upuuzi wa karne. Absolutely stupid. Haya mambo hayavumiliki kabisa.AMRI YA MAREKEBISHO YA AMRI YA MGAWANYO WA MAENEO YA UTAWALA KATIKA SERIKALI ZA MITAA (MAMLAKA ZA WILAYA) YA MWAKA 2024...
Waza na thamani ya ngorongoro pia,Jwa kwa kweli samia kwa hili halipo njema sana kwake!
Haija chelewa bado kutafakari na kujisahihisha.
Hawana shida na hizo maliMtu anahamishiwa eneo ambalo lina miundombinu yote barabara nzuri umeme maji anapewa nyumba mpya ya room 3 anapewa shamba la hekali 2 anapewa ngombe wa3 anapewa gunia 10 za mahindi kama haitoshi na bado anapata cash tsh 10ml; bado analeta ubishi wa kiduanzi tu,, yaani hawa lolote liwakute tu,,
Nimekuelewa vizuri, nimependa mawazo yako wanapaswa kuhama ili kuweza kupokea watalii wengi kwa wakati mmojaHivi,kule kisiwani Zanzibar wale binadamu wanafanya nini kule?Kwa nini wasihamishiwe Shinyanga ili watalii wakione kisiwa hicho kwa uzuri zaidi?Wanatukosesha mapato wale.Zanzibar island(s) is for tourism industry!Zanzibar ni kwa ajili ya uchumi wa kibuluu.
Lakini utashangaa wazungu au wachina watapewa ruhusa wakafanye shughuli za uchimbaji wa madini SerengetiKule ni hifadhini sio makazi ya binadamu,wahame
Mwambie ukweli huyu pimbi hajielewi kabisa!Lakini utashangaa wazungu au wachina watapewa ruhusa wakafanye shughuli za uchimbaji wa madini Serengeti
Zanzibar ni kwa ajili ya utalii.Wale binadamu wanafanya nini kule?Kule ni hifadhini sio makazi ya binadamu,wahame
kumbe; kwaiyo shida yao nini na wanaishi wakitafuta nini sasa;Hawana shida na hizo mali
Kokote duniani hakuna utu mkuu. Utu uko mbinguni tuThis is Tanzania bhana!!!utu hakuna
HamtawezaKule ni hifadhini sio makazi ya binadamu,wahame
Kuna matatizo makubwa sana kwenye suala hili. Serikali naona kama vile inatapatapa vile.AMRI YA MAREKEBISHO YA AMRI YA MGAWANYO WA MAENEO YA UTAWALA KATIKA SERIKALI ZA MITAA (MAMLAKA ZA WILAYA) YA MWAKA 2024...