Serikali yafuta vijiji na vitongoji vyote vya wamasai wa Ngorongoro kupitia Amri ya tangazo la Serikali namba 673

AMRI YA MAREKEBISHO YA AMRI YA MGAWANYO WA MAENEO YA UTAWALA KATIKA SERIKALI ZA MITAA (MAMLAKA ZA WILAYA) YA MWAKA 2024

1. Amri hii itajulikana kama Amri ya Marekebisho ya Amri ya Mgawanyo wa Maeneo ya Utawala katika Serikali za Mitaa (Mamlaka za Wilaya) ya Mwaka 2024 na itasomwa pamoja na Amri ya Mgawanyo wa Maeneo ya Utawala katika Serikali za Mitaa (Mamlaka za Wilaya) ya Mwaka 2019 ambayo hapa imerejewa kama "Amri kuu".

2. Amri kuu inarekebishwa katika Jedwali kwa kufuta kata, vijiji na vitongoji katika Halmashauri za Wilaya ya Ngorongoro, Bahi, Chemba, Kasulu, Kakonko, Hai na Rombo kama ilivyoainishwa katika Jedwali.

Hili ni Tangazo la Serikali namba 673 la Agosti 2, 2024.

Kwa mujibu wa tangazo hili, vitongoji 96 na vijiji 25 vya Ngorongoro vimefutwa.
View attachment 3074381

Pia soma
serikali hii ni mbovu tu; haijui kushawishi. Kuhamisha watu kutoka eneo moja kwenda eneo jingine ni la kawaida sana ila huwa halifanyiki kwa nguvu. Nyerere alihamisha watu kutoka kisiwa cha Ukara kwenda Sengerema na Geita na mpaka leo wanaishi vizuri na wala hakuna aliyelalamika kwa sababu walielimishwa kwanza halafu wakapewa uhuru wa kuamua ama kuhama au vipi. Nyerere pia alihamisha wamasai wengi sana kuwapeleka maeneo ya Morogoro na Iringa bila kuwalazimisha bali kwa kuwaelimisha na kuwashahwishi. Serikali hii inakosea kwa kutumia nguvu.
 
AMRI YA MAREKEBISHO YA AMRI YA MGAWANYO WA MAENEO YA UTAWALA KATIKA SERIKALI ZA MITAA (MAMLAKA ZA WILAYA) YA MWAKA 2024

1. Amri hii itajulikana kama Amri ya Marekebisho ya Amri ya Mgawanyo wa Maeneo ya Utawala katika Serikali za Mitaa (Mamlaka za Wilaya) ya Mwaka 2024 na itasomwa pamoja na Amri ya Mgawanyo wa Maeneo ya Utawala katika Serikali za Mitaa (Mamlaka za Wilaya) ya Mwaka 2019 ambayo hapa imerejewa kama "Amri kuu".

2. Amri kuu inarekebishwa katika Jedwali kwa kufuta kata, vijiji na vitongoji katika Halmashauri za Wilaya ya Ngorongoro, Bahi, Chemba, Kasulu, Kakonko, Hai na Rombo kama ilivyoainishwa katika Jedwali.

Hili ni Tangazo la Serikali namba 673 la Agosti 2, 2024.

Kwa mujibu wa tangazo hili, vitongoji 96 na vijiji 25 vya Ngorongoro vimefutwa.
View attachment 3074381

Pia soma
Hakuna vitongoji vya wamasai, wala vijiji, hivyo ni vitongoji katika nchi ya Tanzania.
 
Kule ni hifadhini sio makazi ya binadamu,wahame
Ngorongoro si hifadhi hata kidogo kama hujui uliza ujuzwe.

TANAPA ndipo zilipo hifadhi za taifa kama Serengeti,Mikumi,Tarangire,Kilimanjaro na nk.

Ngorongoro ni Conservation area.Ni eneo ambalo shughuli za utalii na muingiliano na binadamu upatikana.

Ngorongoro ni tofauti kabisa na hifadhi za taifa.
 
Hivi,kule kisiwani Zanzibar wale binadamu wanafanya nini kule?Kwa nini wasihamishiwe Shinyanga ili watalii wakione kisiwa hicho kwa uzuri zaidi?Wanatukosesha mapato wale.Zanzibar island(s) is for tourism industry!Zanzibar ni kwa ajili ya uchumi wa kibuluu.
Kweli mkuu, Zanzibar watu wahamishwe ili mikoko iote kwa wingi, mazalia ya samaki na mwani yaongezeke. Wazanzibari wote wapelekwe Kigoma.
 
Kumbe mambo ya mwarabu ni uzushi.
Mbona hadi sasa hakuna sababu iliyoonyesha wanahusika.

Kama wanatolewa kwa Nia njema watoke tu kama wasukuma walivyotolewa kwenye bonde la mto ruaha
 
Hivi,kule kisiwani Zanzibar wale binadamu wanafanya nini kule?Kwa nini wasihamishiwe Shinyanga ili watalii wakione kisiwa hicho kwa uzuri zaidi?Wanatukosesha mapato wale.Zanzibar island(s) is for tourism industry!Zanzibar ni kwa ajili ya uchumi wa kibuluu.
Kweli mkuu, Zanzibar watu wahamishwe ili mikoko iote kwa wingi, mazalia ya samaki na mwani yaongezeke. Wazanzibari wote wapelekwe Kigoma.
 
Hivi,kule kisiwani Zanzibar wale binadamu wanafanya nini kule?Kwa nini wasihamishiwe Shinyanga ili watalii wakione kisiwa hicho kwa uzuri zaidi?Wanatukosesha mapato wale.Zanzibar island(s) is for tourism industry!Zanzibar ni kwa ajili ya uchumi wa kibuluu.
Kweli mkuu, Zanzibar watu wahamishwe ili mikoko iote kwa wingi, mazalia ya samaki na mwani yaongezeke. Wazanzibari wote wapelekwe Kigoma.
 
We ni mpuuz tu kwahyi kikwete hakuona umuhimu wa kuwaondoa? Mkapa? Nyerere? Magufuri? Mama yako asha ndio aone umuhimu mjinga sana wewe
Proportionality ilikuwa ilikuwa haihatarishi uhifadhi kwa wakati ule, pia kila kiongozi huja na utashi wake, SSH, NI MWANA MAZINGIRA ZAIDI.
 
Sio kila sheria ni haki, sheria nyingi ni kwa ajili ya kulinda interests za kikundi au watu..hata wakoloni waliweka sheria kibao ambazo zilikuwa kinyume na haki.
 
Ngorongoro si hifadhi hata kidogo kama hujui uliza ujuzwe.

TANAPA ndipo zilipo hifadhi za taifa kama Serengeti,Mikumi,Tarangire,Kilimanjaro na nk.

Ngorongoro ni Conservation area.Ni eneo ambalo shughuli za utalii na muingiliano na binadamu upatikana.

Ngorongoro ni tofauti kabisa na hifadhi za taifa.
Upande wa pili wa Shilingi
 
Wamasai nao ni watanzania, ila kwa jinsi unavyoshabikia hili suala hauonyeshi kuwa hiyo Ngorongoro ni mali ya watanzania.
Wanafukuzwa au wanahamishwa ? Mara ngapi jamii zingine zimehqmishwa kupisha migodi au maendeleo ya jamii? What is so spesho Kwa masai?i
Waaraabu wamewafanya nini mpaka mnnauza ndugu zenu?
Ni ujinga kuleta siasa za kipumbavu hizo za ukabila kwenye ishu ya Ngorongoro,eti Waarabu..Kama ni ishu ya Waarabu Wazungu wapo hapo kabla hata ya hao unaoita Waarabu.

Masai wanahamishwa Kwa shughuli za uhifadhi, Vijijini vingi sana hapa Tanzania vimefutwa kisa uhifadhi zote huko wapo Waarabu? Acheni ujinga basi
 
itabidi wakomae chura kiziwi akimaliza naamini atakaefuata atakuwa na huruma
 
Wamasai nao ni watanzania, ila kwa jinsi unavyoshabikia hili suala hauonyeshi kuwa hiyo Ngorongoro ni mali ya watanzania.
Sikuelewi kwanza Mimi sio shabikia ila naeleza jinsi imefanyika else where ila hapo Kwa Masai mnataka kufanya siasa za kipuuzi sijui mnataka kumfaidisha nani.

Samia hakutunga sheria iliyozuia Masai kuishi hapo ila ametekeleza sheria kulinda Hifadhi ikizingatiwa wameongezeka Kwa kiasi kikubwa kuzidi idadi iliyoruhusiwa.

Masai Wana hamishwa Ina mnasema wananyanyaswa,hapa nani ni shabiki?

Pili Jamii zingine na watu waliohamishwa maeneo Yao kupisha maendeleo sio Watanzania ila masaia ndio Watanzania sana si ndio? Nikisema Masai ni WaKenya utabisha? Acheni utoto basi.
 
Back
Top Bottom