Detective J
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 24,058
- 41,518
Kaka hii chai haina vitafunwa 😂😂Wanaojua historia watakwambia.....wachaga kwa maelfu walihamishiwa Mkoa wa Morogoro enzi za Mwalimu Julius Kambarage Nyerere. Wengi walikita kambi maeneo ya Turiani, na sasa wamekuwa matajiri wakubwa, hata tajiri wa mabasi ya BM ni mchaga wa Turiani.
#twendeMsomera