Kwani wahindi sio watu or si wanachama wa hivyo vilabu? Hao wazee wapo wapi sasa? Akina mzee Akilimali na Kinesi? Acha ubaguziHizi club zinafanya ujinga tu, wanaweka club rehani kwa wahindi.
Wazee wetu wamezianzisha halafu wao wanapewa kirahisi namna hiyo tena baada kashindwa kwenye siasa.
Kusema wahindi ni sawa kusema wasukuma au wasamba na ndio maaana watoto wao wanajua kuongea kihindi kwanza kabla ya kiswahili.Kwani wahindi sio watu or si wanachama wa hivyo vilabu? Hao wazee wapo wapi sasa? Akina mzee Akilimali na Kinesi? Acha ubaguzi
Acha ubaguzi, ukija huku kwetu Lusewa utakuta watoto wote wanaongea kidendeule na kiyao baadaye ndio kiswahili kinafuata, kwa hio na sisi hatuna credibility?Kusema wahindi ni sawa kusema wasukuma au wasamba na ndio maaana watoto wao wanajua kuongea kihindi kwanza kabla ya kiswahili.
Hao watu wanataka kuchukua hizo club hawana credibility yoyote.
Kama kuna wasambaa, au wasukuma maanake kuna wahindi pia hapo tatizo liko wapi.Acha ubaguzi, ukija huku kwetu Lusewa utakuta watoto wote wanaongea kidendeule na kiyao baadaye ndio kiswahili kinafuata, kwa hio na sisi hatuna credibility?
UnambwatoDifference between Trump and Clinton jamiiforums.com
Tatizo hapa si Serikali, wewe mwanzisha mada, vilabu husika wala wananchi wanaotaka kuwekeza kwenye vilabu hivyo. Tatizo ni vyombo vya habari vinavyotumia matukio yaliyopo katika kujipatia faida, bila ya kujali athari ya uandishi huo wa kuvutia mashabiki, iwe kwa kuwafurahisha au kuwatisha.Jamani naomba kuuliza mi sifaham hili suala kwani serikali inaweza kubatilisha maamuzi ya wanachama wa klabu ya soka?
mfani wanachama wa simba wameamua kubadili mfumo wa uendeshaj wa timu yao kutoka ya wanachama mpaka jampuni na Yanga kukodisha je,serikali wana impact gani katika maamuz hayo ya wanachama maana nimeona magazeti mengi yanasema serikali inapinga uamuz huo...kwani simba na yana ni mali ya nani?View attachment 414310