James Comey
JF-Expert Member
- May 14, 2017
- 8,759
- 14,831
Madeleka ni kihiyo???Kesi ya Vodacom vs Kabendera
Imeifanya serikali sasa kufuata njia sahihi badala ya kudukua kama ilivyokuwa chini ya utawala wa awamu ya 5 wa rais John Pombe Joseph Magufuli .
Mambo ya farujohn haya!Mkuu umeenda mbali, sidhani kama alistahili matusi yote hayo
Wewe na nani?Tatizo dogo sana hilo. Tuna uwezo wa kumkumbusha na akaikumbuka vizuri tu.
Kumbe jina la Bon yai limetokana na bzness ya mayai 🤣 nilikuwa najiulizabon YAI ,sio bwege atumie laini za kitanzania kupangia mambo ya kiharakati labda kwenye biashara zake za mayai
Ile nyumba umeiona, polisi wote walioenda kusachi hata waungane wajenge Moja tu miaka na miaka hawaweziKumbe jina la Bon yai limetokana na bzness ya mayai 🤣 nilikuwa najiuliza
There is more than one way of skining a cat!!Faragha ikiatarisha usalama wa nchi, lazima itafutiwe tiba mbadala.
Hawatoi unakumbuka ile ya wale magaidi marekani apple walikataa kutoa access cos Ulisoma EULA Ipo waz mbonaInategemea unatumia ios ipi,si ios zote zinapitika. Na pia kuna madhara ya kutoa icloud kwa brute force. Upotevu wa data ikiwa ni moja wapo, so kama wanataka access wajue data zitapotea which ni against malengo
Simple way ni kuwa contact apple, maana wao hutoa access kwa mamlaka husika in event ya criminal charges
Sidhani Kama watakubali- Kisheria kuna kitu kinaitwa self incrimination.Na mahakama wakikubali itakuwa kuingilia uhuru wa faragha
Na wengi tunapenda kutumia simu hata kwenye kuongea majungu yaani kutumia mawasiliano mengine kama "Skypes" na yanayofanana na hayo Kwa sie Watz huwa ni ngumu. Kuna sehemu niliwahi kufanya kazi yaani mawasiliano ni email na ku-set appointment ya muda wa kuongea via skype, simu ikipigwa ni msisisitizo wa kile mlichoongea kirefu Kwa Skype.Hii mitandao ya simu sio salama kama vd tg n.k
ni lazima wanataka kudukua tu ila wanataka mahakama iwape go ahead kama bosheni tu!
Hayo unayoyasema kwa mtu ambae hajui sheria na hana wakili na sio mtu maarufu.Wakati umeisahau unapigwa kwanza wiki mbili mahabusu bila dhamana wakati taratibu zingine zinaendelea, ukirudi baada ya wiki mbili kesi inahairishwa tena wiki mbili zingine bila dhamana unarudi chini ya uangalizi wa bwana jela
Boni ana mawakili wawili na karudishwa Rumande bila dhamana na wakati kesi anayotuhumiwa nayo ni Bailable kwahiyo usikaririHayo unayoyasema kwa mtu ambae hajui sheria na hana wakili na sio mtu maarufu.
X will not complyWaiombe mahakama au waiombe mahakama iwashurutishe X?
Kwa sababu za kiusalama wa Nchi Mahakama haina budi kukubali hilo zowezi, hasa ukizingatia maombi yameletwa na watu wa ulinzi!!
Hapa wanaotafutwa ni sources zao. Boniyai na buyobe walishalalamikaga hiliBoni alisema kwamba kumteka kwake itakuwa tofauti na utekaji mwingine na pia amegoma kila kitu hadi kutoa maelezo hapo safi....Kutaka kujua source ya habari -source anakuwa undisclosed...Sheria za whistleblowing...wamshitaki kwa hizo taarifa alizochapisha X tu.
Hapa wanaotafutwa ni sources zao. Boniyai na buyobe walishalalamikaga hili