Serikali yaiomba Mahakama iruhusu Akaunti ya X na Vifaa vya 'Boni Yai' viingiliwe kwa upekuzi

Serikali yaiomba Mahakama iruhusu Akaunti ya X na Vifaa vya 'Boni Yai' viingiliwe kwa upekuzi

Inategemea unatumia ios ipi,si ios zote zinapitika. Na pia kuna madhara ya kutoa icloud kwa brute force. Upotevu wa data ikiwa ni moja wapo, so kama wanataka access wajue data zitapotea which ni against malengo

Simple way ni kuwa contact apple, maana wao hutoa access kwa mamlaka husika in event ya criminal charges
Hawatoi unakumbuka ile ya wale magaidi marekani apple walikataa kutoa access cos Ulisoma EULA Ipo waz mbona
 
Na mahakama wakikubali itakuwa kuingilia uhuru wa faragha
Sidhani Kama watakubali- Kisheria kuna kitu kinaitwa self incrimination.
Huwezi kuji-self incriminate Kwa msaada wa mahakama- hiyo Haipo polite duniani humu.
Police- wakajifunze Kwa FBI namna wrnzao wanyodukua account na simu za watu. Ni ujinga mtupu kumkamata mtu halafu mumuombe password…
-Atakataa kuitoa-
-Mahakama haina uwezo wa kumlazimisha
-Ni against na rules of self incrimination
-Kesi it’s set precedent mbaya sana huko mbeleni- bad law.
-Polisi lazima waangukie pua hapa kwenye hili suala la password huko Kwa pilato…
 
Hii mitandao ya simu sio salama kama vd tg n.k
ni lazima wanataka kudukua tu ila wanataka mahakama iwape go ahead kama bosheni tu!
Na wengi tunapenda kutumia simu hata kwenye kuongea majungu yaani kutumia mawasiliano mengine kama "Skypes" na yanayofanana na hayo Kwa sie Watz huwa ni ngumu. Kuna sehemu niliwahi kufanya kazi yaani mawasiliano ni email na ku-set appointment ya muda wa kuongea via skype, simu ikipigwa ni msisisitizo wa kile mlichoongea kirefu Kwa Skype.
 
Wakati umeisahau unapigwa kwanza wiki mbili mahabusu bila dhamana wakati taratibu zingine zinaendelea, ukirudi baada ya wiki mbili kesi inahairishwa tena wiki mbili zingine bila dhamana unarudi chini ya uangalizi wa bwana jela
Hayo unayoyasema kwa mtu ambae hajui sheria na hana wakili na sio mtu maarufu.
 
Tunakoelekea Kuna siku serikali itaiomba Mahakama iruhusu Akaunti za watumiaji wa Jamii forum ziingiliwe kwa ajili ya upekuzi.

Yaja....
 
Hayo unayoyasema kwa mtu ambae hajui sheria na hana wakili na sio mtu maarufu.
Boni ana mawakili wawili na karudishwa Rumande bila dhamana na wakati kesi anayotuhumiwa nayo ni Bailable kwahiyo usikariri
 
Kwa sababu za kiusalama wa Nchi Mahakama haina budi kukubali hilo zowezi, hasa ukizingatia maombi yameletwa na watu wa ulinzi!!

Watu wa ulinzi wanaogopa maandishi ya X kuliko Watekaji wa mchana kweupe na mitutu?
 
Boni alisema kwamba kumteka kwake itakuwa tofauti na utekaji mwingine na pia amegoma kila kitu hadi kutoa maelezo hapo safi....Kutaka kujua source ya habari -source anakuwa undisclosed...Sheria za whistleblowing...wamshitaki kwa hizo taarifa alizochapisha X tu.
Hapa wanaotafutwa ni sources zao. Boniyai na buyobe walishalalamikaga hili
 
Kibatala najua anaielewa vizuri Whistleblower and witness protection act.

Hakuna kutoa Password wala nini kwa ajili ya kuwalinda Wistleblowers.
 
  • Thanks
Reactions: Lax
Back
Top Bottom