Mzee makoti JF-Expert Member Joined Jul 27, 2016 Posts 3,482 Reaction score 4,673 Sep 20, 2024 #61 Lucha said: Boni ana mawakili wawili na karudishwa Rumande bila dhamana na wakati kesi anayotuhumiwa nayo ni Bailable kwahiyo usikariri Click to expand... Kwaiyo kurudishwa mahabusu kwamba iwaje,sijaelewa!? Si kawaida mkuu, hata mramba na Daniel Yohna hawakujua kama watakuja kwenda jela
Lucha said: Boni ana mawakili wawili na karudishwa Rumande bila dhamana na wakati kesi anayotuhumiwa nayo ni Bailable kwahiyo usikariri Click to expand... Kwaiyo kurudishwa mahabusu kwamba iwaje,sijaelewa!? Si kawaida mkuu, hata mramba na Daniel Yohna hawakujua kama watakuja kwenda jela
Lucha JF-Expert Member Joined Aug 24, 2018 Posts 14,516 Reaction score 50,658 Sep 20, 2024 #62 Mzee makoti said: Kwaiyo kurudishwa mahabusu kwamba iwaje,sijaelewa!? Si kawaida mkuu, hata mramba na Daniel Yohna hawakujua kama watakuja kwenda jela Click to expand... Ndo uelewe mawakili kazi yao ni kukutetea tu ila maamuzi ni ya Mahakama
Mzee makoti said: Kwaiyo kurudishwa mahabusu kwamba iwaje,sijaelewa!? Si kawaida mkuu, hata mramba na Daniel Yohna hawakujua kama watakuja kwenda jela Click to expand... Ndo uelewe mawakili kazi yao ni kukutetea tu ila maamuzi ni ya Mahakama
Lior JF-Expert Member Joined Jul 30, 2018 Posts 1,617 Reaction score 3,697 Sep 20, 2024 #63 Kama ipo ipo said: Wewe na nani? Click to expand... Black hat professional.