Serikali yaiomba Mahakama iruhusu Akaunti ya X na Vifaa vya 'Boni Yai' viingiliwe kwa upekuzi

Boni ana mawakili wawili na karudishwa Rumande bila dhamana na wakati kesi anayotuhumiwa nayo ni Bailable kwahiyo usikariri
Kwaiyo kurudishwa mahabusu kwamba iwaje,sijaelewa!? Si kawaida mkuu, hata mramba na Daniel Yohna hawakujua kama watakuja kwenda jela
 
Ndo uelewe mawakili kazi yao ni kukutetea tu ila maamuzi ni ya Mahakama
 
Back
Top Bottom