Serikali yaitaka RITA kuchunguza na kubainisha sababu za mwamko mdogo kwenye kuandika wosia

Serikali yaitaka RITA kuchunguza na kubainisha sababu za mwamko mdogo kwenye kuandika wosia

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2022
Posts
2,780
Reaction score
6,607
Wakala wa Usajili, Ufilisi na Udhamini (RITA) imetakiwa kukusanya maoni kwa wananchi kuhusu sababu ya mwamko mdogo wa Wananchi katika kuandika wosia.

Katibu Mkuu wa Wizara ya Katiba na Sheria, Mary Makondo amesema wosia siyo uchuro, mtazamo hasi kuhusu suala hilo umesababisha kuibuka migogoro mingi katika jamii ambayo kwa kiasi kikubwa imekuwa ikiathiri kina mama na watoto.

“Kifo kimendikwa kwenye vitabu vya Mwenyezi Mungu, hatutakiwi kuogopa, wosia unasaidia wakati sisi hatupo vile tulivyovitafuta vinaendelea kutumika kwa watu sahihi,” - Mary Makondo.
 
Back
Top Bottom