Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,108
- 10,191
Serikali imesema katika kipindi cha miezi mitatu imefanikiwa kukamata wahamiaji haramu zaidi ya elfu moja katika maeneo mbalimbali nchini.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya nchi Mh.George Simbachawene amesema hayo bungeni mkoani Dodoma.
Amesema kwa sasa kuna operesheni maalum ambayo imeanza tarehe moja mwezi huu na itafikia tamati tarehe 15 lengo kuu likiwa ni kuwakamata wahamiaji haramu.
Kauli ya Waziri Simbachawene imekuja kufuatia swali lililoulizwa kwa wizara yake kuhusiana na misako ya ukamataji wahamiaji haramu inavyofanywa mkoani Kigoma katika njia ambayo ilionekana kuwa ni onevu.