Serikali yakataa ombi la CHADEMA la kutaka uchaguzi wa Serikali za Mitaa urudiwe, Waziri Mkuu asema wagombea ndio walipaswa kukata rufaa

Serikali yakataa ombi la CHADEMA la kutaka uchaguzi wa Serikali za Mitaa urudiwe, Waziri Mkuu asema wagombea ndio walipaswa kukata rufaa

Asante sana waziri mkuu ,uelewa wa chadema ni mdogo sana

Sent using Jamii Forums mobile app
Awamu hii mtasifia na kushukuru sana hata Kangi Lugola alisifia sana siku ya kifo chake Kiuwaziri
IMG_-gnrga0.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Simple and clear.

Kwakweli Tanzania imepata Waziri mkuu smart Sana kichwani.
 
SEREKALI YA OVYO KABISA HAIJA WAHI KUTOKEA TANGU TUPATE UHURU
 
Sio wote walioasi serikali za kiafrika ni wabaya Kuna mahali walifikishwa ikawalazimu kuchagua njia moja tu ya mapambano ndio heshima ikatamalaki imagine ukikosoa unauwawa unatekwa unapotezwa ukitumia democrasia unaibiwa kimizengwe haki yako ukilalamika unashuhulikiwa inapofika hapo mtesi wako ameshatengeneza vimamluki vinavyopiga propaganda za kukukebehi na kuutweza utu wako mpaka kufikia kukutia vidole vya macho Hali inapokuwa hivyo option inabaki moja tu nayo ni chaguo la samsoni baaaasssi mnaanza moja kwa upendo heshima na adabu.

Ndivyo ulaya ilivyostaarabika na marekani. CIVIL WARS BRING JUSTY SOCIETY BUT PAIN IS INEVITABLE.
 
Back
Top Bottom