Serikali yakiri kuwa zaidi ya 80% ya watalii wanaotembelea Tanzania huwa hawarudi tena

Kodi, Huduma mbovu, Miundo mbinu mibovu. Hatujiengezi kwenye suala zima la vivutio
 
Mawakala wa utalii kule Zanzibar wanatuhujumu Watanganyika, ratiba ya watalii wakifika Zanzibar huwaweka na kutembelea mbuga za bara, lakini hufanya watalii wasilale bara kwani ndege ambazo huleta watalii huku bara huwa zinaleta watalii asubuhi na kurudi nao jioni, huu upuzi unakosesha mapato kwa mahoteli na vivutio vingine kwani hao watalii huzungushwa tu humo mbugani na kurudishwa huko Zanzibar ili wazurule kwenda kula pweza Forodhani. Wazenj wabinafsi mno.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…