Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Prince January Makamba from Msoga Kingdom aliondoa Engineers kwenye Bodi ya TANESCO akaweka rafiki zake Bankers wakina Mafuru, Mchechu et al, funny enough Mama akamuondoa Engineer Tito kuwa Director General akatuwekea yule muuza vifurushi vya DSTV Mheshimiwa Mpakwa mafuta na Mwenyeheri Maharage Chande, nchi ngumu hii Mkuu🤣🤣🤣🤣Makamba alisema tuna ziada alipokuwa akifanya mahojiano na 360 clouds,huyu naibu Byabato anasema tuna upungufu,nani mkweli,?
"RAIS SAMIA FUMUA TANESCO,HII NI DHIHAKA,LABDA KAMA NA WEWE NI MNUFAIKA WA YANAYOENDELEA NISHATI,"
Makamba umembeba habebeki, kwahiyo ilifumuliwa Tanesco kutuletea hii dhahama?
Yani kamtoa Engineer katuwekea muuza ving'amuzi na madish.Prince January Makamba from Msoga Kingdom aliondoa Engineers kwenye Bodi ya TANESCO akaweka rafiki zake Bankers wakina Mafuru,Mchechu et al, funny enough Mama akamuondoa Engineer Tito kuwa Director General akatuwekea yule muuza vifurushi vya DSTV Mheshimiwa Mpakwa mafuta na Mwenyeheri Maharage Chande,nchi ngumu hii Mkuu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
🤣🤣🤣🤣🏃🏃🏃Yani kamtoa Engineer katuwekea muuza ving'amuzi na madish.
Na hio ndio plan yenu mpige pesa kwenye mageneratorNunua
Generator
Installed capacity ina ziada ila generated kwa sasa kuna upungufu..tatal installed capacity vs peak demand,angalia mwisho wa attachment utaona,hicho ndicho aliongea Makamba.Makamba alisema tuna ziada alipokuwa akifanya mahojiano na 360 clouds,huyu naibu Byabato anasema tuna upungufu,nani mkweli,?
"RAIS SAMIA FUMUA TANESCO,HII NI DHIHAKA,LABDA KAMA NA WEWE NI MNUFAIKA WA YANAYOENDELEA NISHATI,"
Makamba umembeba habebeki, kwahiyo ilifumuliwa Tanesco kutuletea hii dhahama?
😂😂😂😂😂 Kimsingi sio wao wanakata sometimes umeme unakuwa mwingi kwenye line ,njia zinazidiwa ko unajikata tena unarudi ila sio kwamba wao wanakata..Hivi ile kukata umeme sekunde kadhaa halafu wanarudisha huwa wanafanya nini?
Katika miundo mbinu ya usambazaji umeme wa juu (overhead distribution) hutokea changamoto (faults) ambazo zinaweza kusababisha umeme kukatika. Sababu hizo huitwa.Hivi ile kukata umeme sekunde kadhaa halafu wanarudisha huwa wanafanya nini?
Huyu Byabato anapingana na waziri wake Makamba?Serikali imekiri kuwa na upungufu wa umeme kwa megawati 190 na ndiyo sababu za kukatika au kuwa na mgawo wa mara kwa mara. Kauli hiyo imetolewa leo Novemba 2, 2022 bungeni na Naibu Waziri wa Nishati, Stephen Byabato wakati akitoa maelezo kama alivyotakiwa na Spika wa bunge Dk Tulia Akson.
Dk Tulia alimtaka Naibu Waziri kutoa majibu ya jumla kuhusu kukatika umeme kwani jambo hilo limekuwa kero. Katika swali la msingi Mbunge wa Ndanda (CCM), Cecil Mwambe ametaka kujua mkakati wa Serikali kumaliza kero ya kukatika kwa umeme mara Kwa mara ikiwemo mikoa ya kusini.
"Tatizo tulilonalo ni upungufu katika vyanzo vya kuzalisha umeme, mheshimiwa Spika, kwa sasa tuna upungufu wa megawati 190 katika vyanzo vya kuzalisha umeme nchini," amesema Byabato. Hata hivyo ameliambia Bunge kuwa mwezi ujao mradi wa Kinyelezi One utakamilika na kuingiza megawati 185 ambazo zitapunguza makali ya mgawo wa umeme.
Kingine ni mpango wa Serikali wa kutenga Sh500 bilioni kwa ajili ya kusaidia kwenye ukarabati wa miundombinu. Hata hivyo Spika ameagiza suala la mgawo wa umeme litazame vipaumbele kwa baadhi ya maeneo ambayo yanahitaji umeme kwa shughuli za viwanda na huduma muhimu ikiwemo Afya
Hapo solution ni kuwapa wazungu tu wenye umeme wao tu,Sie waswahili kusimamia taasisi hatujui,ni kama leo Tigo ilivyosimama vile,tukachukua management ya Ttcl tukawapeleka tigo bado hao tigo itakufa tuKatika miundo mbinu ya usambazaji umeme wa juu (overhead distribution) hutokea changamoto (faults) ambazo zinaweza kusababisha umeme kukatika. Sababu hizo huitwa.
Faults zipo nyingi (sina haja ya kuelezea)
Tabia ya fault inasababisha circuit Breaker (protection device) kujifungua kulingana na settings zilizowekwa. Hii yote ni kuilinda transformer pamoja na vifaa vingine.
Faults zipo ambazo zinang'ang'ania na kuondolewa ni mpaka mtu afike aondoe au arebishe tatizo. Mfano nguzo imeanguka kwenye msongo wa 11 au 33kV, au mti umeangukia waya za umeme kwenye misongo tajwa hapo. Hizi ni mpaka watu wafike watatue tatizo.
Kuna baadhi ya Faults ambazo hazing'ang'anii (transient Faults) au faults za kupita. Mfano tawi la mti limegusa tu na kutoka kutokana na upepo, au ndege kama kunguru kapigwa na kuanguka. Hapo ukirudisha umeme unawaka. Na hapa ndio jibu lako lilipo.
Kwa hiyo umeme unapokatika kuna kitu kinaitwa trial. Ikigoma kuwaka unajua shida hiyo fault ya kwanza ila ikiwaka ujue ni hiyo fault ya pili ambayo ndio inasababisha unaona umeme umekatika ndani ya sekunde kadhaa umeme umerudi.
Naamini umeelewa japo kidogo.
Asante sana, kwa kozi hii nimejitunuku uhandisi wa umeme 👩🎓Katika miundo mbinu ya usambazaji umeme wa juu (overhead distribution) hutokea changamoto (faults) ambazo zinaweza kusababisha umeme kukatika. Sababu hizo huitwa.
Faults zipo nyingi (sina haja ya kuelezea)
Tabia ya fault inasababisha circuit Breaker (protection device) kujifungua kulingana na settings zilizowekwa. Hii yote ni kuilinda transformer pamoja na vifaa vingine.
Faults zipo ambazo zinang'ang'ania na kuondolewa ni mpaka mtu afike aondoe au arebishe tatizo. Mfano nguzo imeanguka kwenye msongo wa 11 au 33kV, au mti umeangukia waya za umeme kwenye misongo tajwa hapo. Hizi ni mpaka watu wafike watatue tatizo.
Kuna baadhi ya Faults ambazo hazing'ang'anii (transient Faults) au faults za kupita. Mfano tawi la mti limegusa tu na kutoka kutokana na upepo, au ndege kama kunguru kapigwa na kuanguka. Hapo ukirudisha umeme unawaka. Na hapa ndio jibu lako lilipo.
Kwa hiyo umeme unapokatika kuna kitu kinaitwa trial. Ikigoma kuwaka unajua shida hiyo fault ya kwanza ila ikiwaka ujue ni hiyo fault ya pili ambayo ndio inasababisha unaona umeme umekatika ndani ya sekunde kadhaa umeme umerudi.
Naamini umeelewa japo kidogo.
Tungeendelea na gas tungeuza ila Mwendazake alikuja na blaa blaa zake za Bwawa la Nyerere matokeo yake ndio hivyo.
Rost maini Aziza wa UajemiKwa kauli hii ya Byabato Janauari akiendelea kukaa ofisini nitajua fika Kuna mtu kamuweka hapo na mtu huyo ndiye anayeongiza nchii hii ya wajinga!
Unajua hii nchi inatakiwa kupinduliwa na jeshi, vinginevyo tutateswa na na wanasiasaPrince January Makamba from Msoga Kingdom aliondoa Engineers kwenye Bodi ya TANESCO akaweka rafiki zake Bankers wakina Mafuru,Mchechu et al, funny enough Mama akamuondoa Engineer Tito kuwa Director General akatuwekea yule muuza vifurushi vya DSTV Mheshimiwa Mpakwa mafuta na Mwenyeheri Maharage Chande,nchi ngumu hii Mkuu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hivi wewe kiumbe dhaifu kila kitu Magufuli kawaachia nchi mbona mnashindwa halafu excuse zenu mnamtupia huyo marehemu,is that one sense in your head?[emoji706][emoji706][emoji706][emoji706]na bado huo mzimu utawatesa sana Ku.....ya mama yako wewe na timu nzima ya Tanesco wanaokutumaTungeendelea na gas tungeuza ila Mwendazake alikuja na blaa blaa zake za Bwawa la Nyerere matokeo yake ndio hivyo.
Kwa hiyo mambo aliyoharibu kwa miaka 6 unaweza rekebisha kwa mwaka na nusu? Acha upumbavu basi..Hivi wewe kiumbe dhaifu kila kitu Magufuli kawaachia nchi mbona mnashindwa halafu excuse zenu mnamtupia huyo marehemu,is that one sense in your head?[emoji706][emoji706][emoji706][emoji706]na bado huo mzimu utawatesa sana Ku.....ya mama yako wewe na timu nzima ya Tanesco wanaokutuma
Dah, Faults zipo Tanzania tu!!!Katika miundo mbinu ya usambazaji umeme wa juu (overhead distribution) hutokea changamoto (faults) ambazo zinaweza kusababisha umeme kukatika. Sababu hizo huitwa.