Serikali yakiri Umeme hautoshi, TANESCO ina upungufu wa Megawati 190

Prince January Makamba from Msoga Kingdom aliondoa Engineers kwenye Bodi ya TANESCO akaweka rafiki zake Bankers wakina Mafuru, Mchechu et al, funny enough Mama akamuondoa Engineer Tito kuwa Director General akatuwekea yule muuza vifurushi vya DSTV Mheshimiwa Mpakwa mafuta na Mwenyeheri Maharage Chande, nchi ngumu hii Mkuu🤣🤣🤣🤣
 
Yani kamtoa Engineer katuwekea muuza ving'amuzi na madish.
 
Installed capacity ina ziada ila generated kwa sasa kuna upungufu..tatal installed capacity vs peak demand,angalia mwisho wa attachment utaona,hicho ndicho aliongea Makamba.

Point ni kwamba in case mvua zikanyesha mabwawa yakajaa maji uwezo ukarudi kule kule ziada ya umeme ipo ila Ukame ukikomaa lazima.upungufu inatokana na kupungua kwa uzalishaji kwenye vyanzo vya umeme wa maji..

Mwisho huo mradi wa gas kinyerezi ukamilke kwa wakati yasije kuwa ni majibu ya ku buy time..

Pia kukatika katika hakitakuja kuisha maana Makamba alishasema Tanesco wanahitaji Til.4 kufanya repair ya systems za umeme na wakapwwa bil.500 ambazo wanaendelea na ukarabati..👇
 

Attachments

  • Screenshot_20221031-114814.png
    95.8 KB · Views: 2
  • Screenshot_20221031-114739.png
    68.9 KB · Views: 3
Hivi ile kukata umeme sekunde kadhaa halafu wanarudisha huwa wanafanya nini?
Katika miundo mbinu ya usambazaji umeme wa juu (overhead distribution) hutokea changamoto (faults) ambazo zinaweza kusababisha umeme kukatika. Sababu hizo huitwa.

Faults zipo nyingi (sina haja ya kuelezea)

Tabia ya fault inasababisha circuit Breaker (protection device) kujifungua kulingana na settings zilizowekwa. Hii yote ni kuilinda transformer pamoja na vifaa vingine.

Faults zipo ambazo zinang'ang'ania na kuondolewa ni mpaka mtu afike aondoe au arebishe tatizo. Mfano nguzo imeanguka kwenye msongo wa 11 au 33kV, au mti umeangukia waya za umeme kwenye misongo tajwa hapo. Hizi ni mpaka watu wafike watatue tatizo.

Kuna baadhi ya Faults ambazo hazing'ang'anii (transient Faults) au faults za kupita. Mfano tawi la mti limegusa tu na kutoka kutokana na upepo, au ndege kama kunguru kapigwa na kuanguka. Hapo ukirudisha umeme unawaka. Na hapa ndio jibu lako lilipo.

Kwa hiyo umeme unapokatika kuna kitu kinaitwa trial. Ikigoma kuwaka unajua shida hiyo fault ya kwanza ila ikiwaka ujue ni hiyo fault ya pili ambayo ndio inasababisha unaona umeme umekatika ndani ya sekunde kadhaa umeme umerudi.

Naamini umeelewa japo kidogo.
 
Huyu Byabato anapingana na waziri wake Makamba?
 
Hayuna back up supply kucompasate the shortage incase. Ina maana watalaam huko Tanesco hawajui maana ya backup supply kunapotokea breadown.

Umeme ni moja ya critical area, ambalo lazima uwe na mbadala pale mapungufu yanapotokea.
 
Hapo solution ni kuwapa wazungu tu wenye umeme wao tu,Sie waswahili kusimamia taasisi hatujui,ni kama leo Tigo ilivyosimama vile,tukachukua management ya Ttcl tukawapeleka tigo bado hao tigo itakufa tu
 
Asante sana, kwa kozi hii nimejitunuku uhandisi wa umeme 👩‍🎓
 
Unajua hii nchi inatakiwa kupinduliwa na jeshi, vinginevyo tutateswa na na wanasiasa
 
Tungeendelea na gas tungeuza ila Mwendazake alikuja na blaa blaa zake za Bwawa la Nyerere matokeo yake ndio hivyo.
Hivi wewe kiumbe dhaifu kila kitu Magufuli kawaachia nchi mbona mnashindwa halafu excuse zenu mnamtupia huyo marehemu,is that one sense in your head?[emoji706][emoji706][emoji706][emoji706]na bado huo mzimu utawatesa sana Ku.....ya mama yako wewe na timu nzima ya Tanesco wanaokutuma
 
Kwa hiyo mambo aliyoharibu kwa miaka 6 unaweza rekebisha kwa mwaka na nusu? Acha upumbavu basi..

Kwanza Mwendazake angekufa limradi lake lake la Bwawa lingekuwa kwenye preliminary stages Serikali ingelipiga chini Ili ikomae na gas.

Mradi ulishafikia 30% no way utauacha labda waamue kujenga taratibu which is more expensive kwenye riba so lazima uishe.

Hilo limradi ambalo sio sustainable ndio linakula pesa za kuwekeza kwenye gas..Ukame ukija piga Nchi Kwa miaka 2 mfululizo libwawa nalo litakuwa useless licha ya kuwa too expensive.
 
Dah, Faults zipo Tanzania tu!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…