johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Hayo ni mawazo yakokwahiyo wameona bora wamuuzie mwarabu
This cannot be true...Masanja amesema mifugo ya nchi Jirani ndio Ilikuwa inaletwa Ngorongoro kwa ajili ya kunenepeshwa kisha kurudishwa nchini kwao kwa ajili ya mauzo na Tanzania haikuwa ikifaidika kwa chochote…
Pole sana!kwahiyo wameona bora wamuuzie mwarabu
Unamaanisha wabunge walio wachagua?Wawaruhusu na wawakilishi wa wahanga wa kule Ngorongoro wakutane nao,wawape mabalozi ufafanuzi,tena wawakilishi ambao hawajapangwa na serikali.Sakata hilo linatakiwa lifafanunuliwe na pande zote ili kudraw justice conclusion.
Hao si ndio walianza kuishitaki serikali kwa hizo balozi na taasisi kwa barua na Hashtag?Wawaruhusu na wawakilishi wa wahanga wa kule Ngorongoro wakutane nao,wawape mabalozi ufafanuzi,tena wawakilishi ambao hawajapangwa na serikali.Sakata hilo linatakiwa lifafanunuliwe na pande zote ili kudraw justice conclusion.
Serikali imeelekea kukosa wanadiplomasiaSerikali ya JMT leo imekutana na Mabalozi na wakuu wa Taasisi za kimataifa kuwafafanulia kinachoendelea Ngorongoro
Serikali ikiongozwa na Waziri Mulamula, waziri Ndumbaro na Naibu waziri Masanja
Masanja amesema mifugo ya nchi Jirani ndio Ilikuwa inaletwa Ngorongoro kwa ajili ya kunenepeshwa kisha kurudishwa nchini kwao kwa ajili ya mauzo na Tanzania haikuwa ikifaidika kwa chochote
Chanzo: ITV habari
It is very trueThis cannot be true.
Japokuwa maelezo ya mhe waziri hayaja nyooka.Ipo siku mtasema Ngorongoro ni Oman
View attachment 2268299
Mwarabu ni mjomba ake na bibi Ushungi hakuna namnaIpo siku mtasema Ngorongoro ni Oman
View attachment 2268299
Mwarabu ni mjomba ake na mazaWamenunuliwa kwa bei gani mpaka wanakosa ubidamu na hekima kiasi hiki
Haya yote ni matokeo ya kujaza wanawake kwenye uongozi wanashikwa vichwa wanapelekeshwa na hao waarabu. Sijui wanawapiga miti. Ufala mtupuIpo siku mtasema Ngorongoro ni Oman
View attachment 2268299