Serikali yakutana na Mabalozi na Taasisi za kimataifa kuwafafanulia kinachoendelea Ngorongoro

Serikali yakutana na Mabalozi na Taasisi za kimataifa kuwafafanulia kinachoendelea Ngorongoro

Tusidanganyane na Tukadanganyika,historia inaonyesha Tanganyika haikuwa na ntu hata mmoja ni pori kubwa na misitu minene hadi pwani ,ambako athari za kuishi kwa Simba na Tembo ufukweni bado zingalipo katika bahari ya Saadani.

Wamasai asili yao inasemekana ni kutokea Ethiopia,na waliobakia wanatokea katika misitu ya Congo ,vijana someni historia kutoka kwenye mitandao ,haya mafundisho karudi baba mmoja toka safari ya mbali yeshapitwa na wakati,vitabu vingi vipo mitandaoni.

Ngorongoro ni National Park ,watu kuachwa kukaa ndani ni upole wa serikali tu,lakini tusidanganyane kule juu ndani ya ngorongoro kwa anaekujua kulikuwa hakuishi binadamu,ingawa wengi wanasema ile ndio Bustani ya Aden ,kama mlikuwa hilo nalo hamlijui ndipo ambapo Eva aliwekwa na kasehemu hako kutoka peponi ,na ndipo alipokutwa na Adam na kama mnajua historia ya binadamu wa mwanzo olduvai mafuvu .

Kwa sasa bora mrusi au mwarabu, wazungu mwisho hukugeuka na kukufanya adui huo ndio ukweli unaotandaa duniani.
 
Haya yote ni matokeo ya kujaza wanawake kwenye uongozi wanashikwa vichwa wanapelekeshwa na hao waarabu. Sijui wanawapiga miti. Ufala mtupu
mama yako ni ng'ombe ? au humjui au hunae ,wacha kutukana waliobeba mimba yako ni aibu kubwa sana.Umeonyesha dharau kubwa mno ,na moderato wanakuchekea.
 
Hoja dhaifu sana,wao wanajua hao mabalozi hawajui uhalisia wa mambo ulivyo...
Hoja potofu, Mabalozi hao wana barua na vielelezo toka kwa Tundu Lissu, Maria, Ngurumo, Asasi za Haki za binadamu, Wanaharakati wa Kenya na Tanzania, kutaja baadhi tu. Mlitaka Serikali ikae kimya isitolee majibu madai yao?
 
Sioni mantiki ya hizi kelele, ni upunguani mtupu.
Hao wamasai wameoteshwa hapo kwamba waking'olewa hawatastawi sehemu nyingine?
Wawe wanaondolewa kwa madhumuni ya uhifadhi au uwekezaji yote ni sawa. Wao ni raia wa kwanza kuhamisha kupisha uwekezaji?

Tena wamepata upendeleo na nyumba wanajengewa halafu bado kuna mbwa wanabweka ati wanaonewa.

Halafu baada ya kufikiri kisiasa na kiuanaharakati utambue bottom line Rais ndiye mwenye ardhi kwa mujibu wa sheria. Anafanya uamuzi juu ya matumizi ya ardhi kwa maslahi mapana ya nchi sio kwa kuangalia maslahi ya Watu fulani tu.
Sheria ipi,ya ccm eti!Ardhi ni ya Mungu pekeee aliyeiumba na akawapa wanadamu waitunze na siyo Rais wa nchi yoyote ile kuitumia ardhi kwa mapenzi ya kichwa chake na familia yake.
 
Tusidanganyane na Tukadanganyika,historia inaonyesha Tanganyika haikuwa na ntu hata mmoja ni pori kubwa na misitu minene hadi pwani ,ambako athari za kuishi kwa Simba na Tembo ufukweni bado zingalipo katika bahari ya Saadani.

Wamasai asili yao inasemekana ni kutokea Ethiopia,na waliobakia wanatokea katika misitu ya Congo ,vijana someni historia kutoka kwenye mitandao ,haya mafundisho karudi baba mmoja toka safari ya mbali yeshapitwa na wakati,vitabu vingi vipo mitandaoni.

Ngorongoro ni National Park ,watu kuachwa kukaa ndani ni upole wa serikali tu,lakini tusidanganyane kule juu ndani ya ngorongoro kwa anaekujua kulikuwa hakuishi binadamu,ingawa wengi wanasema ile ndio Bustani ya Aden ,kama mlikuwa hilo nalo hamlijui ndipo ambapo Eva aliwekwa na kasehemu hako kutoka peponi ,na ndipo alipokutwa na Adam na kama mnajua historia ya binadamu wa mwanzo olduvai mafuvu .

Kwa sasa bora mrusi au mwarabu, wazungu mwisho hukugeuka na kukufanya adui huo ndio ukweli unaotandaa duniani.
Wewe huna akili kabisaa na kama unazo ni madawa ya kulevya na bangi zimetawala kichwa chako.
 
Sioni mantiki ya hizi kelele, ni upunguani mtupu.
Hao wamasai wameoteshwa hapo kwamba waking'olewa hawatastawi sehemu nyingine?
Wawe wanaondolewa kwa madhumuni ya uhifadhi au uwekezaji yote ni sawa. Wao ni raia wa kwanza kuhamisha kupisha uwekezaji?

Tena wamepata upendeleo na nyumba wanajengewa halafu bado kuna mbwa wanabweka ati wanaonewa.

Halafu baada ya kufikiri kisiasa na kiuanaharakati utambue bottom line Rais ndiye mwenye ardhi kwa mujibu wa sheria. Anafanya uamuzi juu ya matumizi ya ardhi kwa maslahi mapana ya nchi sio kwa kuangalia maslahi ya Watu fulani tu.
Uwekezaji wenye manufaa kwa kikundi fulani cha wachache kwa kutumia rasilimali za taifa ni uhuni, unafaa kulaaniwa.

Hata kama Rais ndie mwenye haki, lakini hawezi kuitumia haki yake kwa kumfurahisha mjomba wake kwa kutumia rasilimali za taifa.
 
mjadala wa ngorongoro umefungwa, watahama watake wasitake, masai wa TZ watapelekwa handeni, Masai wa kenya warudi kwao Narok na wale waliokua wanatumia wamasai kupeleka mifugo yao Ngorongoro watajua pa kuipeleka
 
mama yako ni ng'ombe ? au humjui au hunae ,wacha kutukana waliobeba mimba yako ni aibu kubwa sana.Umeonyesha dharau kubwa mno ,na moderato wanakuchekea.
Vipindi vingine muwe mnatumia akili,hivyo hao wamama walibeba mimba kutoka mbinguni au mimba wanazipata kutoka kwa wanaume tena vipindi vingine bila hata kupenda ila mtoto akikua anasifiwa mama tu huo ni upumbavu,Acheni Mungu aitwe Mungu aliyempa mwanaume ya kutawala na kuineemesha dunia.
 
Serikali ya JMT leo imekutana na Mabalozi na wakuu wa Taasisi za kimataifa kuwafafanulia kinachoendelea Ngorongoro

Serikali ikiongozwa na Waziri Mulamula, waziri Ndumbaro na Naibu waziri Masanja

Masanja amesema mifugo ya nchi Jirani ndio Ilikuwa inaletwa Ngorongoro kwa ajili ya kunenepeshwa kisha kurudishwa nchini kwao kwa ajili ya mauzo na Tanzania haikuwa ikifaidika kwa chochote

Chanzo: ITV habari
Hapo wanaenda kujitia aibu tu. Mabeberu wameshafanya uchunguzi wao wana data kamili hawahitaji kusimuliwa ndoto za alinacha
 
Nafuatilia hili sakata ndani ya bunge na kuona jinsi wabunge wanavyolidadavua sakata hili.

Kuna wabunge wa aina mbili katika saga hili,wapo ambao wanapinga utaratibu ambao Serikali inautumia katika kuwaondoa wakazi wa vijiji vilivyomo ndani ya Ngorongoro,ya kwamba zoezi si shirikishi na linakiuka sheria ya aridhi ya vijiji na wakiweka refences za sheria hizo.

Wapo Wabunge wengine ambao wanaiunga mkono serikali kwa hatua hii bila kuangalia sheria inasemaji bali wanaongea jumla jumla sana na ukiangalia si wabunge wawakilishi wa eneo husika .

Swali linabaki ni nani yuko nyuma ya sakata hili la ngorongoro na Loliondo?
 
Ardhi ni mali ya serikali, wananchi wanapanga tuu, na mdhamini wake ni Rais!!

Mpangaji anaweza akapewa order mda wowote wa kuondoka kwa maslahi ya nchi, na ikitokea lazima watapewa fidia kwa ulichowekeza juu ya ardhi.

Wamasai siyo wa kwanza kuhamishwa kupisha upanuzi wa mapori ya wanyama!! Kwa nn wao ndo wapigiwe kelele na tena wanaopiga kelele siyo wazawa ni non resident!!

Wakubali kwa sababu hata iweje serikali haitarudi nyuma, nafikiri huu ulikuwa mpango wa siku nyingi wa serikali na haujaanza leo!! Maana kesi zilikuwepo za kuzuia kutoondolewa kabla hata ya Mama Samia kushik nchi.
 
Back
Top Bottom