Serikali yamaliza mgogoro wa ardhi Bonde la Usangu

vizuri
 
..familia za vigogo 12 zimeshinda.

..gn namba 28 ambayo waandishi wana mazingira waliiasa serikali kuizingatia imetupiliwa mbali.

..maagizo ya VP Dr.Mipango yametupiliwa mbali.
Balile anasemaje? Ukiona hivyo ujue ni majizi ya ccm
 
Zimbwabwe 2.0
Ukiona wanahabarisha kiujumla jumla(general terms) ujue kuna Mibeberu huko.

Wangefanya na haya Loliondo, wangefanya haya kwa Wamasai.

Sijakuja bishana wala sitaki kongole. Msg Sent
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…