Serikali yamrejeshea Pascal Mayalla Press card yake iliyozuiliwa kwa takriban miaka 3 ataanza kuonekana Saba Saba!

Ashukuru abas amekuwa katibu Mkuu ilikuwa rahisi kucompromise
Hongera
Natumaini ubunge utasubiri 2025
 
Wakuu taratibu. Tuelimishane kdogo.
Hiyo Press card ndonn?
Jamaa alifanya nn hadi kunyang'anywa?
Je ilinyang'anywa kimyakimya au alimwambiwa akaikabiz maana wengne ndo kwanza tunaskia hapa.
 
Mbona umeeleza vizuri namna uhuru unavyopatikana.

Tatizo sio kuwa kwenye payrol za serikali.

Hata hapa kwetu yangekuwa yanafanyika hayo usingeona lawama.
 
Kumbukumbu zipo mkuu, ila anatakiwa atujibu sababu ni nini maana amenilike tu akacheka akanyamaza.
Pascal tupe jibu;
1.Lini hasa ulipigwa pin?
2.Sababu uliambiwa ni nini?
Duh..!
Hahahahahahahaha.......
 
NA MIMI NILIJUA KUNA KITU 'NJAA' ANAKITAFUTA. KUJIKOMBA KULE SI KWA NCHI HII
 
Pascal ahamua kumwaga like, ambaye hajapewa like kwenye comment yake ndani ya mada hii jiulize 😃!.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…