Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 25,725
- 78,589
Nasimama na LUHAGA MPINA, Hadi mwisho wa dahari.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tupigane kwa ajili ya nini ndugu yangu.Mpaka january iishe kuna watu mtakua mshapigana live live
Simama naye ukiwa na hoja mkononi na yenye ushahidi na siyo unasimama na mtu kama sanamu tu na mtu unayefuata upepo kama bendera pasipo kuelewa kitu zaidi ya kuzoa na kunyonya kila taarifa kama dodoki.Nasimama na LUHAGA MPINA, Hadi mwisho wa dahari.
Je wizi huu ambao uko wazi nani kafugwa. Fanyeni kazi uchawa sio kazi uwezi kuishi wa uchawa hata Mungu atakunyimaNdugu zangu Watanzania,
Siku chache baada ya Mheshimiwa Luhaga Mpina kuzungumza hadharani na kulaumu au kutoa shutuma zinazoonyesha matumizi mabaya ya fedha za umma kwa kununua vifaa vya kuongeza makalio badala ya kutumia pesa hizo kutoa huduma kwa wananchi.
Serikali kupitia naibu waziri wa afya mheshimiwa Godwini Mollel imejitokeza hadharani na kutoa ufafanuzi wa kina wa kusikitishwa sana na habari za Luhaga Mpina ambazo kwa kiasi kikubwa zilikuwa za upotoshaji na zenye kukosa ukweli.
Mheshimiwa Naibu waziri amesema kuwa siyo kweli kuwa serikali ilitoa pesa kwa ajili ya kununua vifaa kwa ajili ya kurekebisha au kufanyia watu huduma kama alivyodai Mh Luhaga Mpina.bali huduma hiyo ya plastic surgery ipo na imekuwepo muda tangia serikali ya CCM ilipoamua kuwekeza pesa za kutosha kwa ajili ya kununua vifaa tiba pamoja na kuandaa wataalamu wa kutosha.
Amesema ya kuwa plastic surgery hufanyika pale mtu anapokuwa amepata matatizo yanayotokana na kuumia sana kunakoweza kuwa kumetokana na kusababishwa na ajali .mfano mtu anaweza akapata ajali halafu akajikuta mkono wote umetoka nyama zote na kubaki mifupa tu au mtu ameumia ambapo eneo la lipsi za juu za mdomo imetoka yote na kubaki meno tu.hivyo kinachofanyika ni kumsaidia mhusika kurejea katika hali yake ya awali kwa kumfanyia plastic surgery kwa kuchukua nyama kutoka sehemu nyingine za mwili wake na kuweke eneo lililopata jeraha .
Amesema huduma hizi awali wagonjwa wa aina hii walikuwa wanakwenda kupata huduma huko uturuki au india na maeneo mbalimbali nje ya nchi.jambo ambalo lilikuwa linapunguza hata hazina yetu ya pesa za kigeni. Hivyo serikali yetu katika kutatua changamoto hiyo ikaona ifanye uwekezaji wa kununua vifaa tiba ili huduma hizo zipatikane hapa hapa nchini na watu watibiwe hapa hapa kwa gharama rafiki hasa kwa wanyonge wanaotokea maeneo mbalimbali nchini.na hivyo pesa kubakia hapa hapa nchini kwaajili ya kuwasaidia Watanzania wanyonge wengine.
Amefafanua kuwa hata huduma ya kuongeza au kurekebisha au kurejesha katika hali ya awali makalio ni sehemu ya huduma ambayo inapatikana na kufanyika kwa kutumia vifaa tiba hivyo hivyo vilivyokuwepo na siyo kwamba kuna pesa iliyotolewa wakati huu kwa ajili ya kununua vifaa maalum kwa ajili ya kazi hiyo ya kurekebisha makalio..
Rai yangu ni kuwa ningemuomba na kumsihi Mheshimiwa Luhaga Mpina kuacha kuleta Taharuki na kuichonganisha serikali yetu na wananchi kwa maneno na takwimu zinazokuwa hazina ukweli wowote .mfano suala na madai yake ya kusema kuwa kuna wizi au ufisadi wa zaidi ya Trilioni 30 ni jambo ambalo haliingii akili hata kidogo.yaani bajeti yetu ni Trilioni 44 halafu kufanyike ufisadi na wizi wa Trilioni 30?
Hivi serikali ingewezaje kuendelea kulipa mishahara kwa watumishi wa umma? Ingewezaje kujenga miradi ? Ingewezaje kutoa ajira? Ingewezaje kulipa wakandarasi madai yao? Ingewezaje kukamilisha mradi wa bwawa la mwalimu Nyerere? Ingewezaje kutoa na kugharamia elimu bure hapa nchini? Ingewezaje kujenga shule mpya, zahanati na vituo vya afya kila kona ya nchi yetu?
Ingetoa wapi hizo pesa za kufanya yote hayo wakati Trilioni 30 zimeibiwa? Kwanini yeye kama mbunge na mtu aliyewahi kuwa waziri asingeomba ufafanuzi kwa serikali ambapo anayo nafasi ya kuonana na waziri yeyote yule kuomba majibu ya jambo lolote lile? Hili suala la plastic surgery Kama angewasiliana na serikali na kuomba muongoza si angekuwa amepata majibu na kutokuleta upotoshaji kwa umma?
Kwanini anapenda muda wote kutoa maneno yenye dhamira ya kutaka watu waichukie serikali yetu na kuonekana kana kwamba rushwa na Vitendo vya rushwa vimeshamiri sana wakati huu? Kwanini anakuwa anatoa takwimu na vitu visivyo na ukweli na vinavyoleta sintofahamu katika jamii? ieleweke kuwa mimi sipingi kuwa asikosoe serikali bali napinga kuzungumza vitu bila kuwa na uhakika na ushahidi wa kutosha na wenye ukweli .
Kazi iendelee,Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.
0742-676627.
Muulize Mheshimiwa Mpina akupatie ushahidi wa hizo pesa za kununulia mashine za kurekebisha makalio zilipotolewa na serikali yetu.Kichwa Cha LUHAGA MPINA, hakikurupuki na ili kichwan hiki kisikuaibishe wee unayekipinga, HAKIKISHA NI MSOMI MWENYE AKILI, SIO TU UWE NA ELIMU.
Samahani naomba kukuuliza hivi huyu chawa Lucas ndio yule aliefukuzwa na mwendazake kule kisarawe?Yeye ni PS anapewa kuchapa pekee
Wee lijinga, MPINA alishayaelezeaa hayo Bungeni , akawachorea ramani nzima , hakika ni mjinga tu ambaye angeweza kupuuza hoja za MPINA.Muulize Mheshimiwa Mpina akupatie ushahidi wa hizo pesa za kununulia mashine za kurekebisha makalio zilipotolewa na serikali yetu.
Alikuibia nini? Nilishakwambia usipende kuchafua watu kwa vitu usivyo na ushahidi navyo mdogo wangu.
Naona chawa wa mama wanaonesha umoja wao kwenye kutetea kila aina ya ujinga, kama ilivyo kawaida yao.Alikuibia Mke wako?
Nawashangaa wale wanaoweza kupoteza mda wao kusoma upuuzi sugu wakoNdugu zangu Watanzania,
Siku chache baada ya Mheshimiwa Luhaga Mpina kuzungumza hadharani na kulaumu au kutoa shutuma zinazoonyesha matumizi mabaya ya fedha za umma kwa kununua vifaa vya kuongeza makalio badala ya kutumia pesa hizo kutoa huduma kwa wananchi.
Serikali kupitia naibu waziri wa afya mheshimiwa Godwini Mollel imejitokeza hadharani na kutoa ufafanuzi wa kina wa kusikitishwa sana na habari za Luhaga Mpina ambazo kwa kiasi kikubwa zilikuwa za upotoshaji na zenye kukosa ukweli.
Mheshimiwa Naibu waziri amesema kuwa siyo kweli kuwa serikali ilitoa pesa kwa ajili ya kununua vifaa kwa ajili ya kurekebisha au kufanyia watu huduma kama alivyodai Mh Luhaga Mpina.bali huduma hiyo ya plastic surgery ipo na imekuwepo muda tangia serikali ya CCM ilipoamua kuwekeza pesa za kutosha kwa ajili ya kununua vifaa tiba pamoja na kuandaa wataalamu wa kutosha.
Amesema ya kuwa plastic surgery hufanyika pale mtu anapokuwa amepata matatizo yanayotokana na kuumia sana kunakoweza kuwa kumetokana na kusababishwa na ajali .mfano mtu anaweza akapata ajali halafu akajikuta mkono wote umetoka nyama zote na kubaki mifupa tu au mtu ameumia ambapo eneo la lipsi za juu za mdomo imetoka yote na kubaki meno tu.hivyo kinachofanyika ni kumsaidia mhusika kurejea katika hali yake ya awali kwa kumfanyia plastic surgery kwa kuchukua nyama kutoka sehemu nyingine za mwili wake na kuweke eneo lililopata jeraha .
Amesema huduma hizi awali wagonjwa wa aina hii walikuwa wanakwenda kupata huduma huko uturuki au india na maeneo mbalimbali nje ya nchi.jambo ambalo lilikuwa linapunguza hata hazina yetu ya pesa za kigeni. Hivyo serikali yetu katika kutatua changamoto hiyo ikaona ifanye uwekezaji wa kununua vifaa tiba ili huduma hizo zipatikane hapa hapa nchini na watu watibiwe hapa hapa kwa gharama rafiki hasa kwa wanyonge wanaotokea maeneo mbalimbali nchini.na hivyo pesa kubakia hapa hapa nchini kwaajili ya kuwasaidia Watanzania wanyonge wengine.
Amefafanua kuwa hata huduma ya kuongeza au kurekebisha au kurejesha katika hali ya awali makalio ni sehemu ya huduma ambayo inapatikana na kufanyika kwa kutumia vifaa tiba hivyo hivyo vilivyokuwepo na siyo kwamba kuna pesa iliyotolewa wakati huu kwa ajili ya kununua vifaa maalum kwa ajili ya kazi hiyo ya kurekebisha makalio..
Rai yangu ni kuwa ningemuomba na kumsihi Mheshimiwa Luhaga Mpina kuacha kuleta Taharuki na kuichonganisha serikali yetu na wananchi kwa maneno na takwimu zinazokuwa hazina ukweli wowote .mfano suala na madai yake ya kusema kuwa kuna wizi au ufisadi wa zaidi ya Trilioni 30 ni jambo ambalo haliingii akili hata kidogo.yaani bajeti yetu ni Trilioni 44 halafu kufanyike ufisadi na wizi wa Trilioni 30?
Hivi serikali ingewezaje kuendelea kulipa mishahara kwa watumishi wa umma? Ingewezaje kujenga miradi ? Ingewezaje kutoa ajira? Ingewezaje kulipa wakandarasi madai yao? Ingewezaje kukamilisha mradi wa bwawa la mwalimu Nyerere? Ingewezaje kutoa na kugharamia elimu bure hapa nchini? Ingewezaje kujenga shule mpya, zahanati na vituo vya afya kila kona ya nchi yetu?
Ingetoa wapi hizo pesa za kufanya yote hayo wakati Trilioni 30 zimeibiwa? Kwanini yeye kama mbunge na mtu aliyewahi kuwa waziri asingeomba ufafanuzi kwa serikali ambapo anayo nafasi ya kuonana na waziri yeyote yule kuomba majibu ya jambo lolote lile? Hili suala la plastic surgery Kama angewasiliana na serikali na kuomba muongoza si angekuwa amepata majibu na kutokuleta upotoshaji kwa umma?
Kwanini anapenda muda wote kutoa maneno yenye dhamira ya kutaka watu waichukie serikali yetu na kuonekana kana kwamba rushwa na Vitendo vya rushwa vimeshamiri sana wakati huu? Kwanini anakuwa anatoa takwimu na vitu visivyo na ukweli na vinavyoleta sintofahamu katika jamii? ieleweke kuwa mimi sipingi kuwa asikosoe serikali bali napinga kuzungumza vitu bila kuwa na uhakika na ushahidi wa kutosha na wenye ukweli .
Kazi iendelee,Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.
0742-676627.
Wewe,ntakuchapa!Acha matusi.Amemwibia mamako?
Tetezi la mafisadi upo up frontNdugu zangu Watanzania,

Uwe unasoma tu asijinyonge.Nawashangaa wale wanaoweza kupoteza mda wao kusoma upuuzi sugu wako
Hoja hupingwa kwa hoja ndugu yangu. Pinga hoja yangu na siyo kunishambulia pasipo hoja.Tetezi la mafisadi upo up front
Tupo hapa kuusema ukweli na siyo kutafuta uteuzi ndugu yangu. Tunaleta habari zenye kukata kiu ya watanzania wanaokuwa wamepatwa na sintofahamuNaona chawa wa mama wanaonesha umoja wao kwenye kutetea kila aina ya ujinga, kama ilivyo kawaida yao.
Unachezea ndoto za uteuzi wewe!! 😇
wanamchelewesha sana na sio potential, ila nahisi kumuengua itakua ndio kazi ya kwanza ya Nchimbi NA Makonda kuamuru kuanzisha mchakato wa kumuengua kuanzia ngazi ya tawi wilaya na hatimae out of bunge....Ndugu zangu Watanzania,
Siku chache baada ya Mheshimiwa Luhaga Mpina kuzungumza hadharani na kulaumu au kutoa shutuma zinazoonyesha matumizi mabaya ya fedha za umma kwa kununua vifaa vya kuongeza makalio badala ya kutumia pesa hizo kutoa huduma kwa wananchi.
Serikali kupitia naibu waziri wa afya mheshimiwa Godwini Mollel imejitokeza hadharani na kutoa ufafanuzi wa kina wa kusikitishwa sana na habari za Luhaga Mpina ambazo kwa kiasi kikubwa zilikuwa za upotoshaji na zenye kukosa ukweli.
Mheshimiwa Naibu waziri amesema kuwa siyo kweli kuwa serikali ilitoa pesa kwa ajili ya kununua vifaa kwa ajili ya kurekebisha au kufanyia watu huduma kama alivyodai Mh Luhaga Mpina.bali huduma hiyo ya plastic surgery ipo na imekuwepo muda tangia serikali ya CCM ilipoamua kuwekeza pesa za kutosha kwa ajili ya kununua vifaa tiba pamoja na kuandaa wataalamu wa kutosha.
Amesema ya kuwa plastic surgery hufanyika pale mtu anapokuwa amepata matatizo yanayotokana na kuumia sana kunakoweza kuwa kumetokana na kusababishwa na ajali .mfano mtu anaweza akapata ajali halafu akajikuta mkono wote umetoka nyama zote na kubaki mifupa tu au mtu ameumia ambapo eneo la lipsi za juu za mdomo imetoka yote na kubaki meno tu.hivyo kinachofanyika ni kumsaidia mhusika kurejea katika hali yake ya awali kwa kumfanyia plastic surgery kwa kuchukua nyama kutoka sehemu nyingine za mwili wake na kuweke eneo lililopata jeraha .
Amesema huduma hizi awali wagonjwa wa aina hii walikuwa wanakwenda kupata huduma huko uturuki au india na maeneo mbalimbali nje ya nchi.jambo ambalo lilikuwa linapunguza hata hazina yetu ya pesa za kigeni. Hivyo serikali yetu katika kutatua changamoto hiyo ikaona ifanye uwekezaji wa kununua vifaa tiba ili huduma hizo zipatikane hapa hapa nchini na watu watibiwe hapa hapa kwa gharama rafiki hasa kwa wanyonge wanaotokea maeneo mbalimbali nchini.na hivyo pesa kubakia hapa hapa nchini kwaajili ya kuwasaidia Watanzania wanyonge wengine.
Amefafanua kuwa hata huduma ya kuongeza au kurekebisha au kurejesha katika hali ya awali makalio ni sehemu ya huduma ambayo inapatikana na kufanyika kwa kutumia vifaa tiba hivyo hivyo vilivyokuwepo na siyo kwamba kuna pesa iliyotolewa wakati huu kwa ajili ya kununua vifaa maalum kwa ajili ya kazi hiyo ya kurekebisha makalio..
Rai yangu ni kuwa ningemuomba na kumsihi Mheshimiwa Luhaga Mpina kuacha kuleta Taharuki na kuichonganisha serikali yetu na wananchi kwa maneno na takwimu zinazokuwa hazina ukweli wowote .mfano suala na madai yake ya kusema kuwa kuna wizi au ufisadi wa zaidi ya Trilioni 30 ni jambo ambalo haliingii akili hata kidogo.yaani bajeti yetu ni Trilioni 44 halafu kufanyike ufisadi na wizi wa Trilioni 30?
Hivi serikali ingewezaje kuendelea kulipa mishahara kwa watumishi wa umma? Ingewezaje kujenga miradi ? Ingewezaje kutoa ajira? Ingewezaje kulipa wakandarasi madai yao? Ingewezaje kukamilisha mradi wa bwawa la mwalimu Nyerere? Ingewezaje kutoa na kugharamia elimu bure hapa nchini? Ingewezaje kujenga shule mpya, zahanati na vituo vya afya kila kona ya nchi yetu?
Ingetoa wapi hizo pesa za kufanya yote hayo wakati Trilioni 30 zimeibiwa? Kwanini yeye kama mbunge na mtu aliyewahi kuwa waziri asingeomba ufafanuzi kwa serikali ambapo anayo nafasi ya kuonana na waziri yeyote yule kuomba majibu ya jambo lolote lile? Hili suala la plastic surgery Kama angewasiliana na serikali na kuomba muongoza si angekuwa amepata majibu na kutokuleta upotoshaji kwa umma?
Kwanini anapenda muda wote kutoa maneno yenye dhamira ya kutaka watu waichukie serikali yetu na kuonekana kana kwamba rushwa na Vitendo vya rushwa vimeshamiri sana wakati huu? Kwanini anakuwa anatoa takwimu na vitu visivyo na ukweli na vinavyoleta sintofahamu katika jamii? ieleweke kuwa mimi sipingi kuwa asikosoe serikali bali napinga kuzungumza vitu bila kuwa na uhakika na ushahidi wa kutosha na wenye ukweli .
Kazi iendelee,Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.
0742-676627.
Anafanya sana upotoshaji wa kitakwimu na masuala mbalimbali hapa nchini. Huwezi ukamisikia anazungumzia yale yaliyofanywa na serikali katika hata jimbo lake tu.yeye ni kuzungumza vitu visivyokuwa na ukweli na vyenye kuleta sintofahamu kwa watu.wanamchelewesha sana na sio potential, ila nahisi kumuengua itakua ndio kazi ya kwanza ya Nchimbi NA Malonda kuamuru kuanzisha mchakato wa kumuengua kuanzia ngazi ya tawi wilaya na hatimae out of bunge....