Serikali yamtaka Luhaga Mpina Kuomba na kupata Ufafanuzi kwa Serikali kabla ya kuzungumza mambo yasiyo na ukweli hadharani

Kichwa Cha LUHAGA MPINA, hakikurupuki na ili kichwan hiki kisikuaibishe wee unayekipinga, HAKIKISHA NI MSOMI MWENYE AKILI, SIO TU UWE NA ELIMU.
 
Nasimama na LUHAGA MPINA, Hadi mwisho wa dahari.
Simama naye ukiwa na hoja mkononi na yenye ushahidi na siyo unasimama na mtu kama sanamu tu na mtu unayefuata upepo kama bendera pasipo kuelewa kitu zaidi ya kuzoa na kunyonya kila taarifa kama dodoki.
 
Je wizi huu ambao uko wazi nani kafugwa. Fanyeni kazi uchawa sio kazi uwezi kuishi wa uchawa hata Mungu atakunyima

 
Kichwa Cha LUHAGA MPINA, hakikurupuki na ili kichwan hiki kisikuaibishe wee unayekipinga, HAKIKISHA NI MSOMI MWENYE AKILI, SIO TU UWE NA ELIMU.
Muulize Mheshimiwa Mpina akupatie ushahidi wa hizo pesa za kununulia mashine za kurekebisha makalio zilipotolewa na serikali yetu.
 
Muulize Mheshimiwa Mpina akupatie ushahidi wa hizo pesa za kununulia mashine za kurekebisha makalio zilipotolewa na serikali yetu.
Wee lijinga, MPINA alishayaelezeaa hayo Bungeni , akawachorea ramani nzima , hakika ni mjinga tu ambaye angeweza kupuuza hoja za MPINA.

Ukweli ni kua UFISADI UMEONGEZEKA, RUSHWA IMEZIDI .


Kaa Kwa kutulia, Unayembeza ndio kiongozi wa kesho.
 
Nawashangaa wale wanaoweza kupoteza mda wao kusoma upuuzi sugu wako
 
Tetezi la mafisadi upo up front
 
wanamchelewesha sana na sio potential, ila nahisi kumuengua itakua ndio kazi ya kwanza ya Nchimbi NA Makonda kuamuru kuanzisha mchakato wa kumuengua kuanzia ngazi ya tawi wilaya na hatimae out of bunge....
 
wanamchelewesha sana na sio potential, ila nahisi kumuengua itakua ndio kazi ya kwanza ya Nchimbi NA Malonda kuamuru kuanzisha mchakato wa kumuengua kuanzia ngazi ya tawi wilaya na hatimae out of bunge....
Anafanya sana upotoshaji wa kitakwimu na masuala mbalimbali hapa nchini. Huwezi ukamisikia anazungumzia yale yaliyofanywa na serikali katika hata jimbo lake tu.yeye ni kuzungumza vitu visivyokuwa na ukweli na vyenye kuleta sintofahamu kwa watu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…