Serikali yamtaka Luhaga Mpina Kuomba na kupata Ufafanuzi kwa Serikali kabla ya kuzungumza mambo yasiyo na ukweli hadharani

Hata majinga na matapeli Yana wafuasi wapumbavu kumbe. Hangaika na jimama lako bovu ambalo lipo mafichoni sasa. Achana na Mpina kabisa. Mungu chukua hili lishetani haraka
Wewe ulishalaaniwa muda mrefu sana ndio maana akili za kibinadamu hunazo kwa sasa.
 
Anafanya sana upotoshaji wa kitakwimu na masuala mbalimbali hapa nchini. Huwezi ukamisikia anazungumzia yale yaliyofanywa na serikali katika hata jimbo lake tu.yeye ni kuzungumza vitu visivyokuwa na ukweli na vyenye kuleta sintofahamu kwa watu.
kiukweli ana gubu sana baada ya kutemwa serikalini...
anayoyaongea yanaeleweka kwa manyumbu na mapanyarodi tyuuu.....
 
kiukweli ana gubu sana baada ya kutemwa serikalini...
anayoyaongea yanaeleweka kwa manyumbu na mapanyarodi tyuuu.....
Yaani anashangaza sana.ngoja aende kwa mafisi na manyumbu ya CHADEMA akagombee maana hawanaga wagombea zaidi ya kuvizia watu wa CCM walikulia Ndani ya CCM.
 
Yaani anashangaza sana.ngoja aende kwa mafisi na manyumbu ya CHADEMA akagombee maana hawanaga wagombea zaidi ya kuvizia watu wa CCM walikulia Ndani ya CCM.
hapati tena ubungu yule,
imeisha iyo,
kajimaliza mwenyewe na kiherehere chake,
ujuaji mwingi mbele kiza totoro....
 
Hata majinga na matapeli Yana wafuasi wapumbavu kumbe. Hangaika na jimama lako bovu ambalo lipo mafichoni sasa. Achana na Mpina kabisa. Mungu chukua hili lishetani haraka
Mlinda legacy stressini.......🤣🤣🤣🤣🤣
 
Sasa naona Waziri anakataa halafu anakubali kwamba Serikali ilianza kufanya hivi vitu siku nyingi, kwa hiyo vinafanyika siyo? Ndo Luhaga anasema kwa nn serikali iwekeze huko?
 
Mpina yupo sawa msijitoe ufahamu, majizi yanatolea jisho kila shilingi ya mlipa kodi.
 
Sasa naona Waziri anakataa halafu anakubali kwamba Serikali ilianza kufanya hivi vitu siku nyingi, kwa hiyo vinafanyika siyo? Ndo Luhaga anasema kwa nn serikali iwekeze huko?
Naona hujaelewa hoja ya serikali .hoja ni kuwa vifaa tiba hivyo havikununuliwa kwa ajili ya kurekebisha makalio bali vifaa hivyo ambavyo vilinunuliwa kwa ajili ya plastic surgery vinauwezo uwezo wa kufanya na kutumika katika kazi hiyo ya kurekebisha makalio .
 
huyu empty sana mimi simuelewagi na sielewagi rais alimteua kwa kigezo kipi 😎
Mheshimiwa Naibu waziri ameeleweka vyema kabisa.asiyeeleweka ni Luhaga Mpina ndiye amekuwa mpotoshaji sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…