Serikali yamuanika Idd Simba kortini

Serikali yamuanika Idd Simba kortini

Idd lazima ile kwake, ingekuwa ni China angeshamfuata Ghadaf
 
Inasemekana Pride ilikua financed kama msaada kutoka nje kimagumashi mzee akaichomoa na kugeuza mali yake. 2006 wajanja walimleta UDA awafanyie kazi with first assignment kutimua management iliyokua kikwazo kwa mission yao.
 
Mimi nimeshachoka Hii yote danganya toto tu wakina yona,mramba imeishia wapi jamani?unaona hata alivyokuwa anakenua kenua meno kipindi kile kwa court anajua hapa Hanna kesi mijitu inalindana tu
 
ni kweli kaka kwani hata wafanyeje lazima wabumbulukiwe, na bado tunataka mpaka waache ujinga wa kuzungumza matusi kukandamiza wapizani
 
Sintashangaa akishinda kesi maana Iddi Simba ni mjanja, mjuaji na mwanadar. Anajua amewaudhi nini wenzake na anajua atawapoza vipi then kesi itaanza kupigwa kalenda za miezi mitatu miezi 6 na mpaka itaisha hivihivi. Si mnaona ya akina mramba na Yona inavyokaribia kwisha baada ya CCM Mkapa na CCM Kikwete kupeana terms za kushirikiana
 
Hivi kweli jambo usilolijua ni kama usiku wa giza. Mimi naomba wanjamvi wenzangu tupunguze jazba na hiyo tusi. Tusubiri nini Idd Simba na ile wengine wataeleza.

Habari inaonekana tamu na yenye radha kamili kabla pande ingine haijasema. Ni kwa sababu Tanzania tumechoka na wizi wa ccm na kuishi maisha magumu ajili y autawala mbofu mbofu ya watawala.

Lakini inavyomfaham Kisena ambaye inamilika Simon group ni mtu ya hatari majungu na hata ukitaka kujua ile utajiri wake napata wapi, utaona nafuu Idd Simba.

Mimi iko nasema tuvute Subira tusikie utetezi. Sijawahi kuwa karibu na Idd Simba na siwezi kumtetea lakini Kisena ni mtu hatari sana yule kijana. Chochote kinaweza kutokea ukweli utakapokuwa wazi. Halafu sasa tutaanza kusema "Ahaaaaaaa, Kumbeeeeeeeeeee!"
 
Nahivi ninavyomuamini mh.irvin mgeta,akipatikana na hatia haponi lazima mvua zimnyeshee
 
Pride ni ya iddi simba ndo maanahata hela iliweza kuingia kwenye akaunti ya pride nakuweza kutoka kwenda kwenye akaunti yake binafsi,ingekuwa pride ni ya serikali isingewezekana kuhamishwa kirahisi hivyo kamanda!
 
Kamanda tembelea www.mof.go.tz angalia assets za serikali utaona si tu Pride kamanda. Tatizo ni kama mwenye mali anajua kama anazo hizo mali. Tembelea tu hiyo web site kamanda.
 
na akija kufa mtasema RIP. Mungu angekuwa anajibu on spot kuna watu msingetaja tena jina lake.

yule mwingine alikufa akazikiwa America ss cjui uyu atazikiwa china ama uarabuni na kumbuka waandishi wa habari hamtoruusiwa kupiga picha....ha ha ha kweli ii bongo unaibiwa kweupeeeeeeee
 
Pride ni ya iddi simba ndo maanahata hela iliweza kuingia kwenye akaunti ya pride nakuweza kutoka kwenda kwenye akaunti yake binafsi,ingekuwa pride ni ya serikali isingewezekana kuhamishwa kirahisi hivyo kamanda!

Hapana mkuu, ipo chini ya serikali, check hapa; http://www.pride-tz.org/pwinner.asp?pcat=&cat=aboutus&sid=7

PRIDE TANZANIA IN PERSPECTIVE - HISTORY

Incorporation:
PRIDE Tanzania was incorporated on 5[SUP]th[/SUP] May 1993 under Cap. 212 as a company limited by guarantee.
Source of Funding:
Main source is from NORAD under a Bilateral Agreement between the Government of Tanzania and the Royal Government of Norway from 1993 to 2001. Swedish Government joined as a donor through Sida late 2000.
Governance

  • Bank of Tanzania is the implementing agency of the programme on behalf of the government.
  • The role of the Implementing Agency as per the bilateral agreement is to coordinate funding for the program.
  • Board of Directors responsible for strategic policy decisions and oversees the overall program implementation.

Directors
1. Iddi Simba (Chairman)
2. Mrs. Christina Nsekela
3. Mr. Salmon Odunga
4. Mr. Jonathan Campaigne
5. Mr. Damas Dandi
6. Mr. Rashid Malima

7. James Obama
 
Hivi kweli jambo usilolijua ni kama usiku wa giza. Mimi naomba wanjamvi wenzangu tupunguze jazba na hiyo tusi. Tusubiri nini Idd Simba na ile wengine wataeleza.

Habari inaonekana tamu na yenye radha kamili kabla pande ingine haijasema. Ni kwa sababu Tanzania tumechoka na wizi wa ccm na kuishi maisha magumu ajili y autawala mbofu mbofu ya watawala.

Lakini inavyomfaham Kisena ambaye inamilika Simon group ni mtu ya hatari majungu na hata ukitaka kujua ile utajiri wake napata wapi, utaona nafuu Idd Simba.

Mimi iko nasema tuvute Subira tusikie utetezi. Sijawahi kuwa karibu na Idd Simba na siwezi kumtetea lakini Kisena ni mtu hatari sana yule kijana. Chochote kinaweza kutokea ukweli utakapokuwa wazi. Halafu sasa tutaanza kusema "Ahaaaaaaa, Kumbeeeeeeeeeee!"
Kisena si ndio yule kijana aliyemtia ngwara komanda wa polisi wilaya fulani kule shinyanga hadi kofia yake na yeye wakadondoka chini? Kisa eti kwa nini kamtoa ndani mpinzani wake kisiasa, mafisadi walipoona huo ujasiri wakamleta dar kumnunulisha UDA kwa bei kama sifuri!!!!
 
Hapana mkuu, ipo chini ya serikali, check hapa; ..:::.. Promotion of Rural Initiative and Development Enterprises Limited (PRIDE Tanzania) ..:::..

PRIDE TANZANIA IN PERSPECTIVE - HISTORY

Incorporation:
PRIDE Tanzania was incorporated on 5[SUP]th[/SUP] May 1993 under Cap. 212 as a company limited by guarantee.
Source of Funding:
Main source is from NORAD under a Bilateral Agreement between the Government of Tanzania and the Royal Government of Norway from 1993 to 2001. Swedish Government joined as a donor through Sida late 2000.
Governance

  • Bank of Tanzania is the implementing agency of the programme on behalf of the government.
  • The role of the Implementing Agency as per the bilateral agreement is to coordinate funding for the program.
  • Board of Directors responsible for strategic policy decisions and oversees the overall program implementation.

Directors
1. Iddi Simba (Chairman)
2. Mrs. Christina Nsekela
3. Mr. Salmon Odunga
4. Mr. Jonathan Campaigne
5. Mr. Damas Dandi
6. Mr. Rashid Malima

7. James Obama
Sijui kwa nini mzee huyu anawekwa karibu kila board wakati ni mwizi mkubwa. Anawekwa ku-facilitate ufisadi. Akiingia kwenye board basi anageuza shirika kuwa mali binafsi.
 
Gari lenyewe ndio lile v8 jeupe,analoendeshwa nayule dereva wake anayejichubua,kuna tetesi mitaani eti ni .......ya mzee Idd,sasa hawa wakina Iddi Simba si walifungua Taasisi pale ChefsPride,Mjumbe mwengine wa hiyo Taasisi ni yule Jangili Hassanoo,tena nasikia hiyo Taasisi ni ya Dini ya Kiislamu.Hebu vuta picha ujionee jinsi Dini Inavyochezewa!
 
Hii mijitu bana, ulafi umezidi. Sasa wewe Idi Simba mihela yote hiyo ya nini mtu mwenye Kibabu. MI-CCM bana, kazi kwelikweli. Ona anajichekelesha kama Shoga, Nyangau kabisa.

iddi.JPG

Huyu Jamaa si ni yule Mrudi aliyekuja akiwa na mika nane? Si juyu aliyeutaka Urais na sera yake ya Uzawa kwanza, si ndiye huyu anayetapeli kwa kutumia SIDA-Hisa, sasa UDA na uzee huu kafuata nini zaidi ya Haibu kubwa. Hilooo jizi
 
Sijui kwa nini mzee huyu anawekwa karibu kila board wakati ni mwizi mkubwa. Anawekwa ku-facilitate ufisadi. Akiingia kwenye board basi anageuza shirika kuwa mali binafsi.

Yaani acha tu ndugu yangu, hawa wazee wamekosa kabisa uzalendo, toka enzi za EADB katengeneza pesa, bado hawaridhiki!
 
Back
Top Bottom