Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Idd Simba ni mwizi tu!
na akija kufa mtasema RIP. Mungu angekuwa anajibu on spot kuna watu msingetaja tena jina lake.
Baadaye tutaambiwa ameibukia Katavi na Kigoma kwenye ile kampuni ya kimerikani( Agrisol) iliyopewa kipande cha dunia kwa ajili ya kilimo!Idd Simba ni mwizi tu!
pride tanzania ni ya IDDI SIMBA MDAU
Pride ni ya iddi simba ndo maanahata hela iliweza kuingia kwenye akaunti ya pride nakuweza kutoka kwenda kwenye akaunti yake binafsi,ingekuwa pride ni ya serikali isingewezekana kuhamishwa kirahisi hivyo kamanda!
na akija kufa mtasema RIP. Mungu angekuwa anajibu on spot kuna watu msingetaja tena jina lake.
Pride ni ya iddi simba ndo maanahata hela iliweza kuingia kwenye akaunti ya pride nakuweza kutoka kwenda kwenye akaunti yake binafsi,ingekuwa pride ni ya serikali isingewezekana kuhamishwa kirahisi hivyo kamanda!
Kisena si ndio yule kijana aliyemtia ngwara komanda wa polisi wilaya fulani kule shinyanga hadi kofia yake na yeye wakadondoka chini? Kisa eti kwa nini kamtoa ndani mpinzani wake kisiasa, mafisadi walipoona huo ujasiri wakamleta dar kumnunulisha UDA kwa bei kama sifuri!!!!Hivi kweli jambo usilolijua ni kama usiku wa giza. Mimi naomba wanjamvi wenzangu tupunguze jazba na hiyo tusi. Tusubiri nini Idd Simba na ile wengine wataeleza.
Habari inaonekana tamu na yenye radha kamili kabla pande ingine haijasema. Ni kwa sababu Tanzania tumechoka na wizi wa ccm na kuishi maisha magumu ajili y autawala mbofu mbofu ya watawala.
Lakini inavyomfaham Kisena ambaye inamilika Simon group ni mtu ya hatari majungu na hata ukitaka kujua ile utajiri wake napata wapi, utaona nafuu Idd Simba.
Mimi iko nasema tuvute Subira tusikie utetezi. Sijawahi kuwa karibu na Idd Simba na siwezi kumtetea lakini Kisena ni mtu hatari sana yule kijana. Chochote kinaweza kutokea ukweli utakapokuwa wazi. Halafu sasa tutaanza kusema "Ahaaaaaaa, Kumbeeeeeeeeeee!"
Sijui kwa nini mzee huyu anawekwa karibu kila board wakati ni mwizi mkubwa. Anawekwa ku-facilitate ufisadi. Akiingia kwenye board basi anageuza shirika kuwa mali binafsi.Hapana mkuu, ipo chini ya serikali, check hapa; ..:::.. Promotion of Rural Initiative and Development Enterprises Limited (PRIDE Tanzania) ..:::..
PRIDE TANZANIA IN PERSPECTIVE - HISTORY
Incorporation:
PRIDE Tanzania was incorporated on 5[SUP]th[/SUP] May 1993 under Cap. 212 as a company limited by guarantee.
Source of Funding:
Main source is from NORAD under a Bilateral Agreement between the Government of Tanzania and the Royal Government of Norway from 1993 to 2001. Swedish Government joined as a donor through Sida late 2000.
Governance
- Bank of Tanzania is the implementing agency of the programme on behalf of the government.
- The role of the Implementing Agency as per the bilateral agreement is to coordinate funding for the program.
- Board of Directors responsible for strategic policy decisions and oversees the overall program implementation.
Directors
1. Iddi Simba (Chairman)
2. Mrs. Christina Nsekela
3. Mr. Salmon Odunga
4. Mr. Jonathan Campaigne
5. Mr. Damas Dandi
6. Mr. Rashid Malima
7. James Obama
Hii mijitu bana, ulafi umezidi. Sasa wewe Idi Simba mihela yote hiyo ya nini mtu mwenye Kibabu. MI-CCM bana, kazi kwelikweli. Ona anajichekelesha kama Shoga, Nyangau kabisa.
![]()
Sijui kwa nini mzee huyu anawekwa karibu kila board wakati ni mwizi mkubwa. Anawekwa ku-facilitate ufisadi. Akiingia kwenye board basi anageuza shirika kuwa mali binafsi.