Serikali yamuanika Idd Simba kortini

Serikali yamuanika Idd Simba kortini

sasa kisena ameshanunua hisa 51 zilizokuwa zimebaki kinyemela na hiyo dili imechezwaq na masaburi na wameuza kihuni sana na hawa watapelekwa mahakamani
 
Kisena si ndio yule kijana aliyemtia ngwara komanda wa polisi wilaya fulani kule shinyanga hadi kofia yake na yeye wakadondoka chini? Kisa eti kwa nini kamtoa ndani mpinzani wake kisiasa, mafisadi walipoona huo ujasiri wakamleta dar kumnunulisha UDA kwa bei kama sifuri!!!!


Kwanza ukifaham profile yake, haina tofauti na namna mikakati yake ya kijinga alivyofanya ili eti kumshikisha adabu Idd Simba kwa personal differences. Amekuwa akihangaika kutuma watu wakahonge Hazina ama wizara ya fedha ili apewe file achakacnhue nyaraka alizonunulia UDA ili zionyeshe kwamba Idd Simba ni mdanganyifu!.

Nahisi ndiyo maana tunamwona Idd Simba ana smile wala hana hofu nadhani kwa kujua hili jamaa ni jinga, na kesi yake haina uzito.

Haiingii akilini mtu mwenye sifa ya kununua kampuni kama UDA awe mbumbumbu hajui hata sheria ununuzi wa makampuni ya umma hadi alipe kwenye account ya mtu binafsi fedha yote ile bila kujua anavunja sheria.

Hili jamaa kama halitaruka na defamation, halikosi conspiracy katika huo mchakato. Vinginevyo Idd Simba aseme hataki makuu. Jamaa chawi sana hili.
 
Sijawahi kuwa karibu na Idd Simba na siwezi kumtetea lakini Kisena ni mtu hatari sana yule kijana. Chochote kinaweza kutokea ukweli utakapokuwa wazi. Halafu sasa tutaanza kusema "Ahaaaaaaa, Kumbeeeeeeeeeee!"
Bila mashina kama Idi Simba, hayo matawi kama Kisena yangechipukia wapi?
 
Wamemuanika ila watamfunika tu. Mbona mahalu katetewa na kaka ben? Tena kwa kuwashangaa waliomshtaki! Nae waivute vute, 2016 tu jk apande kizimbani kuwashangaa waliomshtaki.
 
Back
Top Bottom