Serikali yaombwa kumchunguza Mrisho Gambo juu ya utata wa Ufisadi wa kutisha alioufanya Arusha

Serikali yaombwa kumchunguza Mrisho Gambo juu ya utata wa Ufisadi wa kutisha alioufanya Arusha

Mradi wa bodaboda 2017 - 2020 pesa za wadau wa maendeleo gambo na genge lake walikusanya bila kamati pikipiki 200 kila moja 2,100,000. Bila kamati na kwenye kampeni alisema pesa ziko bank kwenye account ya NMB na paka Sasa azipo na hakuna kilicho fanyika mtu uyu aivumiliki na akisema ya watu wengine watu wanaona kinya na kichefu chefu kua iyo haki anatoa wapi uyu tapeli wa kisiasa arusha jiji

Mtu uyu alishawahi hujumu pesa za rambi rambi kwenye msiba wa ajali ya lack visent kuchangishwa bila kamati zaidi ya ml300 tunataka uyu mtu ashunguzwe

Wanawake 600 wa jiji mikopo ya laki 2 kila mmoja chanzo wadau pesa za wadau kwake yeye bila kamati kwa uwazi na paka Sasa uo mradi kauhujumu atujui izo pesa ziko wapi swali je wadau walimchangia yeye au wamama wa jiji la arusha Yani laki 2 Mara 600 ziko wapi atoke adharani aseme ziliko pesa za wamama

Ujenzi wa yumba za polisi bila kamati chanzo za pesa wadau na paka Rais jpm aligoma kukagua na kutoa cheti Cha pongezi kwa wadau

Kituo cha polisi utali chanzo wadau pesa bila kamari yeye na genge lake

Msikiti murueti pesa wadau bila kamati yeye akiwa kiongozi wa serekali na genge lake

Kituo cha polisi murueti pesa za wadau bila kamati yeye na genge lake

Mabati feki 200 murieti bila kamati paka ikaleta ugovi na DC jiji na yeye kama RC kipindi icho

Tunataka uchunguzi wa shule ya mrisho gambo pesa za wadau bila kamati yeye na genge lake paka jina la shule kuletwa bila utaratibu wala kikao cha jiji kupitisha.

Timu ya mpira wamigu ya arusha uneted pesa wadau bila kamati na paka timu imeuzwa kinyamela.

LESENI za wafanya biashara WADOGO wamadini 100 walio changiwa kupata LESENI na mafisadi wamadini bila kamati MUHUSIKA yeye na ndio maana paka sasa anakosa utamu wahoja Ata utetezi wake bungeni kwenye sekta ya MADINI anakosea kutetea UFISADI wake.

SOKO la samunge kuchomwa Moto na ujenzi kufanyika kinyamela pesa wadau bila kamati.

Mwsho ayo yote Akuna ushirikishwaji niyeye na genge lake la ndani ya chama na serekali lawapanga safu ndani ya chama paka Sasa arusha jiji.

Swali langu a napata haki wapi kumlaumu mtu au kiongozi yeyote jiji kwa Sasa kwa lolote tena wazi adharani bila ushaidi wala kufata taratibu na kanuni za vikao vya jiji.

Mtu uyu ni joka kuu kwenye jiji letu tunataka na yeye kwa Sasa achunguzwe kwanza.

Hapo ziko pesa nyingi Sana anatakiwa azitapike ili miradi ya maendeleo kwa wananchi iwe salama.
Gambo hana ufisadi wowote, acha kumchafua, yeye ndiyo kafichua ufisadi
 
Ulisubili mpk Dr. Pima asimamishwe ndo utoe ushuzi wako. Wee chawa wa Dr. Pima kakutuma ukalopoke huo ujinga.

Ushahidi uko wapj wa hizo accusations. Peleka kwenye hiyo tume na TAKUKURU iliyoundwa PM.

Ole wako ziwe za kubumba, ukiingia hautaruhusiwa kurudi ukotoka. Utaganganiwa, na kushitakiwa kusema uongo chini ya KIAPO. Mwanangu uongo huo ukidhibitika unapata mzigo wa miaka 7 jela. Wee ishia tu hapa JF uko kwingine hakuitaji miemuko ya kishamba.
 
Mlikuwa wapi kuyasema mpaka leo ,acheni unafiki hapa, kawa Mbunge mpo leo kisa kamchana uyo bwana mdogo ndo mnakuja na porojo hapa,
Ndo ile ya familia baba anamkamata ugoni mkewe watoto ndo wanaibuka kutaja mademu wa dingi. Haisaidii sana sana ni kuharibu ndoa tu.
 
Ulisubili mpk Dr. Pima asimamishwe ndo utoe ushuzi wako. Wee chawa wa Dr. Pima kakutuma ukalopoke huo ujinga.

Ushahidi uko wapj wa hizo accusations. Peleka kwenye hiyo tume na TAKUKURU iliyoundwa PM.

Ole wako ziwe za kubumba, ukiingia hautaruhusiwa kurudi ukotoka. Utaganganiwa, na kushitakiwa kusema uongo chini ya KIAPO. Mwanangu uongo huo ukidhibitika unapata mzigo wa miaka 7 jela. Wee ishia tu hapa JF uko kwingine hakuitaji miemuko ya kishamba.
Wajinga hawa! Yaani wanaona aliyetoa taarifa kaharibu bora wao walikuwa kimya, ko wanashinikiza mwizi asije kujaribu kufichua waharifu maana nao watamfichua. 😀😀 sa hv kwa Gambo ni kama mnatupigia kelele bora mngelisema mapema kabla yeye hajawalipua.
 
Back
Top Bottom