Serikali yaonesha picha matengenezo ya MV Mwanza yalipofikia leo Januari 11, 2023

Wachaga watanuna mno kuona kanda ya ziwa inadhidi kupepea kimaendeleo, alikufa Magufuli wakashangilia sana
Huu upotevu mkubwa wa fedha za umma kukarabati meli mbovu na ya kizamani kama hii! Pia ni upotevu wa ajabu kujenga daraja la Kigogo-Busisi, bilioni 700?!!! Si tungejenga kilometer 700 za lami safi kutoka Moshi hadi Bukoba?
 
Kazi nzuri but ikiwa tayari ifanye kazi ipasavyo kwa ukanda wote wa ziwa kwenye bandari na uhitaji wa usafiri huo.

Hiyo ndio itakua inachapa ziwa viktoria lote hadi bandari za uganda na kenya itafika vizuri tu
 
Huu upotevu mkubwa wa fedha za umma kukarabati meli mbovu na ya kizamani kama hii! Pia ni upotevu wa ajabu kujenga daraja la Kigogo-Busisi, bilioni 700?!!! Si tungejenga kilometer 700 za lami safi kutoka Moshi hadi Bukoba?
Lami ipo mkuu.
 
Sikuwahi kufikiria kwamba meli inajengwa ikiwa nchi kavu, siku zote nilidhani inajengewa majini.
Sasa hapo na uzito huo itaingizwaje ziwani
Sijui hapo ila meli huwa inatengenezwa sehemu ambayo maji yaningia na kutoka. Maanake ikikamilka wanaruhusu maji yaingie halafu meli inatoka.
 
Huu upotevu mkubwa wa fedha za umma kukarabati meli mbovu na ya kizamani kama hii! Pia ni upotevu wa ajabu kujenga daraja la Kigogo-Busisi, bilioni 700?!!! Si tungejenga kilometer 700 za lami safi kutoka Moshi hadi Bukoba?
Wewe ni taahira nini?

Hii ni Meli mpya inajengwa na mkandarasi kampuni ya kikorea!

Na kwa kuwa hujui na hujawahi kufika Busisi,na hata umuhimu wake kiuchumi pia huwezi kuujua.

Unachokijua zaidi ni Ugoko wa mkeo au mamayo.

Na pia unachoweza zaidi ni kubofya bofya hiyo simu yako.
 
Sijui hapo ila meli huwa inatengenezwa sehemu ambayo maji yaningia na kutoka. Maanake ikikamilka wanaruhusu maji yaingie halafu meli inatoka.
Naam na mimi nilifikiria kitu kama hicho ila ya hapa nimestaajabu ngoja tuone itakuwaje
 
Wakati mwingine huwa najiuliza! Hivi kama nchi inakuwaje na uchumi imara kama huna miundombinu ya usafirishaji? Nikikaa na nakutulia nawaza mwenyewe jinsi Magufuli alivyokuwa na nia yakuifungua nchi kwenda kwenye uchumi wa kweli ambao mataifa jirani yangetutegea nasisi kujiatia kipato cha kufanya vitu vizuri zaidi na zaidi.
 
Punguzeni hasira...matusi ya nini

Kula wale wengine nyie mnaishia

Tukanana

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…