Serikali yaonesha picha matengenezo ya MV Mwanza yalipofikia leo Januari 11, 2023

Wachaga watanuna mno kuona kanda ya ziwa inadhidi kupepea kimaendeleo, alikufa Magufuli wakashangilia sana
Wamnataka uongozi unaoendeleza kwao tu na wao kupata fursa kupiga hela ya taifa peke yao😂
 
Huu upotevu mkubwa wa fedha za umma kukarabati meli mbovu na ya kizamani kama hii! Pia ni upotevu wa ajabu kujenga daraja la Kigogo-Busisi, bilioni 700?!!! Si tungejenga kilometer 700 za lami safi kutoka Moshi hadi Bukoba?
Wew ni mwehu hakika.Hio ni meli ya zaman?
Wew unajua faida ya daraja la busisi au unaongea ilimrad?
 
Sikuwahi kufikiria kwamba meli inajengwa ikiwa nchi kavu, siku zote nilidhani inajengewa majini.
Sasa hapo na uzito huo itaingizwaje ziwani
Google mkuu utaona.

ikitaka kuingizwa majini baada ya kukamilika, kuna roler flani zinapangwa chini yake.

Kunakuwa na mtego umewekwa wa kufyatua kuruhusu meli iegemee ilikoelekezwa.
roler zile huviringika kama magurudumu kuifanya meli ikatumbukie majini kuanza kutumika bila ya kuanguka ovyo ovyo.
 
Huu upotevu mkubwa wa fedha za umma kukarabati meli mbovu na ya kizamani kama hii! Pia ni upotevu wa ajabu kujenga daraja la Kigogo-Busisi, bilioni 700?!!! Si tungejenga kilometer 700 za lami safi kutoka Moshi hadi Bukoba?
NDio lishajengwa sasa...kama huamini nenda saiti
 
Huu upotevu mkubwa wa fedha za umma kukarabati meli mbovu na ya kizamani kama hii! Pia ni upotevu wa ajabu kujenga daraja la Kigogo-Busisi, bilioni 700?!!! Si tungejenga kilometer 700 za lami safi kutoka Moshi hadi Bukoba?
Wacha ujinga! Hii meli ni mpya! Inajengwa na Wakorea! Hujui adha ya kusubiri kivuko wewe, wacha Mwanza wajikomboe aisee! Mtu unafika kivukoni unakaa saa zaidi ya 3 u asubiri kuvuka! Hili daraja ni ukombozi!
 
Sikuwahi kufikiria kwamba meli inajengwa ikiwa nchi kavu, siku zote nilidhani inajengewa majini.
Sasa hapo na uzito huo itaingizwaje ziwani
Ha ha haaaa, mkuu kama una nafasi kutembelea hapo kwenye mradi ukajionee! Magu kwenye haya maswala ya ujenzi alikuwa nyoko sana yule mzee! Mungu amsamehe maovu yake yote na amweke mahali pema peponi! Hapo mkuu iko kwenye cherezo ikikamilika itakuja kusukumwa kudumbukia majini. Huwa kunawekwa mabomba makubwa huko mbele ambayo yamezibwa sehemu zote yanapangwa mengi sasa inakuwa inaserereka kwenye hayo mabomba kwenda majini! Kazi nzuri kwa mama Samia kwa kumalizi hii miradi!
 
Wachaga watanuna mno kuona kanda ya ziwa inadhidi kupepea kimaendeleo, alikufa Magufuli wakashangilia sana
Jiwe alikufa au aliuliwa na Mungu kupitia maombi ya Watanzania?
 
Sikuwahi kufikiria kwamba meli inajengwa ikiwa nchi kavu, siku zote nilidhani inajengewa majini.
Sasa hapo na uzito huo itaingizwaje ziwani
Wasukuma mkoa wa Mwanza wote na vitongoji vyake wataitwa kuja kushiriki kuibeba kuipeleka majini.
 
Ha ha haaaa, mkuu kama una nafasi kutembelea hapo kwenye mradi ukajionee! Magu kwenye haya maswala ya ujenzi alikuwa nyoko sana yule mzee! Mungu amsamehe maovu yake yote na amweke mahali pema peponi! Hapo mkuu iko kwenye cherezo ikikamilika itakuja kusukumwa kudumbukia majini. Huwa kunawekwa mabomba makubwa huko mbele ambayo yamezibwa sehemu zote yanapangwa mengi sasa inakuwa inaserereka kwenye hayo mabomba kwenda majini! Kazi nzuri kwa mama Samia kwa kumalizi hii miradi!
Jiwe alikuwa muovu sana, hata wakina Bashite, Nyeti, Saambaya na wengine, haya yote ni mazao yake.
 
Naam na mimi nilifikiria kitu kama hicho ila ya hapa nimestaajabu ngoja tuone itakuwaje
Hapo imetegwa na imekalia madude kama mipira,

Ikishakamilika wanafyatua ule mtego kisha inatembea kwa kupitia yale mamipira hadi kwenye maji

Nenda YouTube kuna video nyingi sana zinaonesha meli zikiingia kwenye maji kwa mara ya kwanza.
 
Huu upotevu mkubwa wa fedha za umma kukarabati meli mbovu na ya kizamani kama hii! Pia ni upotevu wa ajabu kujenga daraja la Kigogo-Busisi, bilioni 700?!!! Si tungejenga kilometer 700 za lami safi kutoka Moshi hadi Bukoba?
Acha upumbavu wewe au sababu hukai kanda ya ziwa na hujua adha inayo patikana huko
 
Back
Top Bottom