Sultan MackJoe Khalifa JF-Expert Member Joined Nov 24, 2022 Posts 6,782 Reaction score 14,148 Jan 11, 2023 #41 fazili said: Huu upotevu mkubwa wa fedha za umma kukarabati meli mbovu na ya kizamani kama hii! Pia ni upotevu wa ajabu kujenga daraja la Kigogo-Busisi, bilioni 700?!!! Si tungejenga kilometer 700 za lami safi kutoka Moshi hadi Bukoba? Click to expand... hii ni ile meli mpya mv.Mwanza sio ile kukuu ya mv.Victoria. nchi yetu hii upigaji ni kila sehemu tu,umeona juzi mabehewa ya mtumba yamenunuliwa kuzidi bei ya mabehewa mapya!.
fazili said: Huu upotevu mkubwa wa fedha za umma kukarabati meli mbovu na ya kizamani kama hii! Pia ni upotevu wa ajabu kujenga daraja la Kigogo-Busisi, bilioni 700?!!! Si tungejenga kilometer 700 za lami safi kutoka Moshi hadi Bukoba? Click to expand... hii ni ile meli mpya mv.Mwanza sio ile kukuu ya mv.Victoria. nchi yetu hii upigaji ni kila sehemu tu,umeona juzi mabehewa ya mtumba yamenunuliwa kuzidi bei ya mabehewa mapya!.
UmkhontoweSizwe Platinum Member Joined Dec 19, 2008 Posts 9,454 Reaction score 8,894 Feb 6, 2023 #42 Faana said: Naam na mimi nilifikiria kitu kama hicho ila ya hapa nimestaajabu ngoja tuone itakuwaje Click to expand... Itaingizwa majini tarehe 15 February, kaa mkao wa kula
Faana said: Naam na mimi nilifikiria kitu kama hicho ila ya hapa nimestaajabu ngoja tuone itakuwaje Click to expand... Itaingizwa majini tarehe 15 February, kaa mkao wa kula