Savimbi Jr
JF-Expert Member
- Sep 23, 2011
- 6,818
- 9,195
Naona yeye kasikia leo(angekuwa mnunuaji asengekuja na huu Uzi)Mmh mbona haya makato yapo mda
Yamepanda lini Shunie mie nakumbuka makato yalikuwa ni 1% au 1.1% ila sio 2% kama yalipanda muda unaweza kunipa link ya taarifa ya serikali kupandisha tozo?Mmh mbona haya makato yapo mda
Tatizo sio kusikia leo wala jana,wakati wanaweka tozo walitangaza watakuwa wanachaji 1.1% ukinunua umeme sasa iweje wawe wanachaji 2% kununua umeme bila kutoa taarifa kwa walaji(consumer)? Kama wewe ulikuwa unajua unaweza kutupa maelezo ya kutosheleza lini walipandisha hiyo tozo? Unaweza kushare link ya hiyo taarifa.Naona yeye kasikia leo(angekuwa mnunuaji asengekuja na huu Uzi)
Huu ni wizi kama Wizi wa Services Charges! Yaani nakatwa mara mbili VAT na Pia Tozo ya Manunuzi kununua Umeme!! Tunaona 2% ni ndogo lakini REA wana 3% na wanaweza kusambaza umeme vijijini,Serikali inatuibia sana wanyonge!! Huo umeme wa REA wanaojisifia kusambaza vijiji vyote nchi nzima mapato yao ni 3% sasa ebu fikiria 2% serikali inatuibia Tsh ngapi?Savimbi Jr,
Uko sahihi mkuu nilikuwa Tsh.10000 nikaambiwa salio halitoshi Hadi nilipo kopTimiza tsh.500 ndiyo nikata unit 28 na kubaki na tsh.300
Mi nafikiri tofauti kidogo juu ya jambo hili, makato ya 2% hayaendi serikalin ila yanaenda kwa mtoa huduma yaani kampuni ya simu iliyokupa huduma ya kununua umeme na ndiyo maana katika recept hukut hyo chargeHuu ni wizi kama Wizi wa Services Charges! Yaani nakatwa mara mbili VAT na Pia Tozo ya Manunuzi kununua Umeme!! Tunaona 2% ni ndogo lakini REA wana 3% na wanaweza kusambaza umeme vijijini,Serikali inatuibia sana wanyonge!! Huo umeme wa REA wanaojisifia kusambaza vijiji vyote nchi nzima mapato yao ni 3% sasa ebu fikiria 2% serikali inatuibia Tsh ngapi?
Ndiyo iwe 2%?!?? Kwani wamenifuata nyumbani!Mi nafikiri tofauti kidogo juu ya jambo hili, makato ya 2% hayaendi serikalin ila yanaenda kwa mtoa huduma yaani kampuni ya simu iliyokupa huduma ya kununua umeme na ndiyo maana katika recept hukut hyo charge
Nilitaka kusema hili.Mi nafikiri tofauti kidogo juu ya jambo hili, makato ya 2% hayaendi serikalin ila yanaenda kwa mtoa huduma yaani kampuni ya simu iliyokupa huduma ya kununua umeme na ndiyo maana katika recept hukut hyo charge
Wamekupa hiyo huduma wao wananufaikaje?Ndiyo iwe 2%?!?? Kwani wamenifuata nyumbani!
Watu walalamishi sana ila sio wafatiliaji wa taarifa sahihi.Nilitaka kusema hili.
Watu tunalalamika bila kufikiri kwa kina.
Hebu nenda vituo vya LUKU na ununue umeme wa 10,000 uone kama utakatwa Sh. 200.
Ukikatwa kwenye simu ujue kampuni ya simu ndio imefanya hivyo.
Kwani Kampuni ya simu inaweza ikakurupuka na kupandisha tu tozo bila baraka za serikali(TCRA)? Lini tulipewa taarifa ya kupanda kwa hiyo TOZO? Mapato yoyote ya kampuni yanakatwa kodi mwisho wa siku na kurejesha serikalini hivyo na hili kuongezeka kwa tozo ni mapato pia yanaenda serikalini kama kodi kutoka kampuni husika.Watu walalamishi sana ila sio wafatiliaji wa taarifa sahihi.
Mmh mbona haya makato yapo muda
Udikteta umezidi.Naona yeye kasikia leo(angekuwa mnunuaji asengekuja na huu Uzi)
Aliekuuzia token ni tanesco sio kampuni ya simu, kampuni ya simu kawa daraja la kukuunganisha wewe mlaji na mtoa huduma tu, nasisitiza tena, unapokuwa na Tsh 5000.00/= kwenye simu yako ukataka kununua umeme wa hela hyohyo hutopata huduma cos anaekuunganisha na tanesco hatopata kituKwani Kampuni ya simu inaweza ikakurupuka na kupandisha tu tozo bila baraka za serikali(TCRA)? Lini tulipewa taarifa ya kupanda kwa hiyo TOZO? Mapato yoyote ya kampuni yanakatwa kodi mwisho wa siku na kurejesha serikalini hivyo na hili kuongezeka kwa tozo ni mapato pia yanaenda serikalini kama kodi kutoka kampuni husika.