Swali la msingi kwanini wanapandisha tozo bila kutoa taarifa kwa mlaji? Kampuni haiwezi kukukata hela bila kupata Go Ahead ya Serikali(TCRA),mwanzo ilikuwa 1.1% leo ni 2%,Katika kipindi hiki cha Korona bado wanatuongezea mzigo wananchi? Hivi hiyo 1.1% wanaona ni ndogo?Aliekuuzia token ni tanesco sio kampuni ya simu, kampuni ya simu kawa daraja la kukuunganisha wewe mlaji na mtoa huduma tu, nasisitiza tena, unapokuwa na Tsh 5000.00/= kwenye simu yako ukataka kununua umeme wa hela hyohyo hutopata huduma cos anaekuunganisha na tanesco hatopata kitu
Hii ndiyo Afrika bana, "i can't breath"
Mkuu kwa 5000 inatakiwa upate Unit 14.1 ila ukinunua wa Buku Buku mara 5 utapata 2.9 Unit x 5 = 14.5 UnitJamani. Nimeingiza umeme hivi karibuni, walinipa unit 10, Sasa juzi nanunua umeme was 5000 nikapewa unit 4.1 Mbona Kama niliibiwa au mi ndo mshamba?
Jamani. Nimeingiza umeme hivi karibuni, walinipa unit 10, Sasa juzi nanunua umeme was 5000 nikapewa unit 4.1 Mbona Kama niliibiwa au mi ndo mshamba?
Kwahiyo unit zile za ofa 10. Ni za bure au ndo lazima niwalipe?Mkuu kwa 5000 inatakiwa upate Unit 14.1 ila ukinunua wa Buku Buku mara 5 utapata 2.9 Unit x 5 = 14.5 Unit
Ndo nilikuwa nalipia mara ya Kwanza tangu umeme kuingia.Shs 5000/= units 4.1 ???!!!----- cheki vyema hiyo token risiti siyo unit 14.1
Unit za kwanza ni Bure wanatoa kama offer.Kwahiyo unit zile za ofa 10. Ni za bure au ndo lazima niwalipe?
Ndo nilikuwa nalipia mara ya Kwanza tangu umeme kuingia.
Hili watu hawalielewi ndo maana wanakuja na nyuzi za hivi.Haya makato ya hivi wanadeal nayo hao watu wa mitandao ya simu.Nilitaka kusema hili.
Watu tunalalamika bila kufikiri kwa kina.
Hebu nenda vituo vya LUKU na ununue umeme wa 10,000 uone kama utakatwa Sh. 200.
Ukikatwa kwenye simu ujue kampuni ya simu ndio imefanya hivyo.
Acha uongo mkuu.Mi nafikiri tofauti kidogo juu ya jambo hili, makato ya 2% hayaendi serikalin ila yanaenda kwa mtoa huduma yaani kampuni ya simu iliyokupa huduma ya kununua umeme na ndiyo maana katika recept hukut hyo charge
Nani kakudanganya kuwa kuna unit za offer!Unit za kwanza ni Bure wanatoa kama offer.
Nani kakudanganya kuwa kuna unit za offer!
Hajui kwamba serikali ina GePG ndio ime replace kina Maxmalipo,Selcom etcAcha uongo mkuu.
Ipo hivi mkuu, hujaibiwa ila zile 5unit wanakukopesha ikiwa na maana wanapokuja kufunga service line ile meter mpya imewekwa tayari hizo 10unit za kuunganishia pamoja na mteja kuanzia.Jamani. Nimeingiza umeme hivi karibuni, walinipa unit 10, Sasa juzi nanunua umeme was 5000 nikapewa unit 4.1 Mbona Kama niliibiwa au mi ndo mshamba?