johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,639
negative minds hua hamkosekani.Viwanda vya bia na vilevi vingine itabidi wabadilishe lile katazo na tahadhari pia, kuwa hairuhusiwi kuwauzia vijana wenye umri wa miaka 21 na chini yake. Kwa maana tegemezi umri huu wanakuwa wameshafunguka macho na wanapenda kujirusha sana.
Hilo linahusiana na bima ya afya tu.kwa hiyo ukikutwa na binti wa miaka 20 wewe ni mbakaji tu
... duniani huko wasio na ajira wana posho kila mwezi kujikimu kimaisha.Wakati Dunia inabadilisha umri wa mtu kua mtu mzima kutoka 18 kuja 16,sisi tunaongeza kwenda 21.
... akili nyingi sana huyu madame wa kizanzibari. Tumuombee maisha marefu kwa kweli. Libarikiwe tumbo lililomzaa.Huyo ndo SASHA
Mnawaza Ngono tu!!kwa hiyo ukikutwa na binti wa miaka 20 wewe ni mbakaji tu
... Haters hao hata penye ukweli mkuu.negative minds hua hamkosekani.
... majinga hayo achana nayo.Mnawaza Ngono tu!!
Kwa hiyo unataka uzeekee kwenu!?haya ndio mambo sasa!
... Tushukuru hata kwa kidogo then tujenge hoja. Huyo ndiye Kiongozi msikivu.Sasa umri huo ameshamaliza chuo na kupata ajira?,kama bado yupo chini ya uangalizi wa wazazi huo umri ungeongezwa zaidi..
Wenye "negative mind" tunaonekana tu pale nyie wenye "acuity in mind" mnapogeuka kuwa mabubu na kushindwa ku "demonstrate power of your positivity" katika kuibua, kujenga, kutetea na kujibu hoja zetu dhaifu.negative minds hua hamkosekani.
Sasa umri huo ameshamaliza chuo na kupata ajira?,kama bado yupo chini ya uangalizi wa wazazi huo umri ungeongezwa zaidi..