Aina hii ya Watanzania mnaturudisha nyuma sana kwakweli.
Hivi unaelewa hata ABCs za economics mkuu? Ni factor gani zinasababisha kupanda kwa bei ya bidhaa/raw materials?
Ni rais anapandisha bei?
Vipi mkuu bei za mafuta zinazidi kupaa tumlaumu Samia?Hizo factors zote zilikuwa zimamsuniri Samia? Acheni roho mbaya Mama kayapatia mambo kirahisi sana
BEI YA KAKAO ( COCOA) NI ZAIDI YA SHANGWE SASA NI TZS 5,000/Kg KUTOKA TZS 2,000/Kg FY2020|21
__________________________________
Kuna baadhi ya wazembe wache wa kufikiri wanasema kupanda ghafla kwa bei ya mazao hasa ya kibiashara nchini wakati huu wa Rais Samia Suluhu Hassan ni Matokeo ya Lock down ya CORONA,No hii si Sahihi na sikweli,Watu hawa Kwanini wasijiulize why bei hii haikupanda wakati Ule zaidi ya 3/4 ya dunia ilikuwa imejifungia ndani kwa "Lock down "wakiwa "Hawapandi wala Hawavuni " Kwanini Leo, ipande hasa kwa mazao yote ya kibiashara wakati huu ambao dunia yote iko nje na Rais ni Samia Suluhu Hassani? Ukweli ni kwamba wafanyabiashara wa ndani na nje ya Tanzania wamemuamini sana Rais Samia Suluhu Hassan hasa kwa kuondoa milolongo ya tozo|kodi zaidi 232 zilizoisababishia serikali kupoteza mapato yanayozidi Tshs 55BL na hii ndio dhana halisi ya Mzee JK "Ukitaka kula lazima uliwe",
Rais Samia Suluhu Hassan amepandisha bei ya kakao|Cocoa kwa zaidi ya 150% yaani bei imepanda marambili na nusu zaidi ya ile iliyokuwepo hadi mwanzoni mwamwaka huu wa 2021| Baadhi wanasema haya ni matokeo ya demand|Supply fine, Lakini kwanini Leo demand iwe kubwa wakati Samia Suluhu Hassan ni rais wa JMT au demand inamwogopa Rais Samia?! Ukweli ni kwamba demand ya Vyakula nje ni kubwa toka enzi na enzi kuliko tunavyoweza kusupply nje tatizo lilikuwa ni Urasimu|Sera zetu za kibiashara yote haya Rais Samia Suluhu Hassan ameyaweka sawa ndani ya muda mfupi,Waswahili wanasema "Mnyonge Mnyongeni lakini haki yake Mpeni, Hatakama Rais Samia Suluhu Hassan si wa chama Chako,Hata kama humuungi mkono kwa sababu zozote zile lakini kazi anazozifanya kwaajili yetu na Watoto wetu,na kwa watoto wa watoto wetu zinastahili pongezi kubwa kwani zinaacha alama kwa kizazi hiki na kile kijacho,Tumuunge mkono ili tufike kwa kuwahi,
...Kazi iendelee...
Aina hii ya Watanzania mnaturudisha nyuma sana kwakweli.
Hivi unaelewa hata ABCs za economics mkuu? Ni factor gani zinasababisha kupanda kwa bei ya bidhaa/raw materials?
Ni rais anapandisha bei?
Well saidmsanehe bure amevimbiwa uyo
Hakika....😍BEI YA KAKAO ( COCOA) NI ZAIDI YA SHANGWE SASA NI TZS 5,000/Kg KUTOKA TZS 2,000/Kg FY2020|21

“If you live off of a man’s compliments, you’ll die from his criticismmeans bei ikishuka wakulaumia pia ni Samia.
Aina hii ya Watanzania mnaturudisha nyuma sana kwakweli.
Hivi unaelewa hata ABCs za economics mkuu? Ni factor gani zinasababisha kupanda kwa bei ya bidhaa/raw materials?
Ni rais anapandisha bei?
😍Mnada wa Cacao wenye Catalogue no 10 ya 2021/2022 mnada umefanyika Mkoani Mbeya Wilayani kyela , Mwambusye Amcos mnamo tarehe 06/09/2021 . Jumla ya uzito ni kg 266,980, bean count 88, slate 1.9, flate 1.0, mould 0.2.
Bei tsh 5015 per kg Mzigo kwa bei hiyo Thamani yake ni Tsh.Bilion 1,338,904,700/=.Ahsante Mhe Rais kwa kusimamia vyema ushirika na wananchi kupata bei nzuri kutoka 2500 Mpaka 5015 kwa kilo moja Bei ya Cacao
Kazi iendelee na Mhe Rais wetu Mpendwa Samia Suhulu Hassana
Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Mhe Juma Zuberi Homera.
Watanzania tuna ushabiki wa kutisha, mpaka tunazuzuka. Bei ya mazao yote huamuliwa na mlaji, serikali ni 'speaker' tu. Tena 'speaker' iliowekwa sauti ya juu kabisa. Na ni ya njia moja, kuongea yale sisi wananchi yanatufurahisha. Siku soko la dunia bei ikiporomoka wananchi wakapiga kelele, sauti hupunguzwa na kusikika 'itaundwa tume kujadiliana na wanunuzi'.Mnada wa Cacao wenye Catalogue no 10 ya 2021/2022 mnada umefanyika Mkoani Mbeya Wilayani kyela , Mwambusye Amcos mnamo tarehe 06/09/2021 . Jumla ya uzito ni kg 266,980, bean count 88, slate 1.9, flate 1.0, mould 0.2.
Bei tsh 5015 per kg Mzigo kwa bei hiyo Thamani yake ni Tsh.Bilion 1,338,904,700/=.Ahsante Mhe Rais kwa kusimamia vyema ushirika na wananchi kupata bei nzuri kutoka 2500 Mpaka 5015 kwa kilo moja Bei ya Cacao
Kazi iendelee na Mhe Rais wetu Mpendwa Samia Suhulu Hassana
Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Mhe Juma Zuberi Homera.
Wanasiasa ni wajinga na wapumbavu. Leo hii hakuna kiongozi asimamae jukwaani kubwabwaja uongo wake bila kumtaja 'mama'. Kuongoza nchi si kama kulima mchicha. Kusema 'mama' kafanya hili au lile ni uhuni mkubwa. Bora hata wasemao hajafanya hili au lile, kwa sababu mwanzo hubashiri mwisho.Kapandishaje?
Yeye binafsi amefanya kitu gani hadi bei imepanda?
Apandishe na mahindi kama anao huo uwezo.
Wakulima wa mahindi wanasaga meno kwe bei ndogo ya mahindi.
Hajui, huyo ni shabiki kindakindaki. Kesho atakuja na agenda ya mama kutawazwa kuwa mkuu wa watemi Tanzania nzima. Utemi ni kushabikia ukabila. Yale yale ya hayati Magufuli kuhutubia kisukuma tv ya taifa.Hujui unachoongea
Hujazuiwa, na wenzio wa aina yako wapo kibao. Ambao saa nne asubuhi yupo bado kitandani akiulizwa kwa nini hajaamka anajibu bado amelala.Huyu Mama anakibali cha Mungu Case Closed,
Watu wa rohoni watanielewa,
Mimi nitamchagua 2025 tuombe uzima,
Mwendazake alipowatingishia kiberiti Wakenya kwa kuzuia mahindi kuingia Kenya, ilibidi Kenya igeukie Brazili kuagiza mahindi jambo ambalo walikua ni nadra kufanya. Kenya ilitegemea sana Tanzania kwa mahindi ili kupeleka SOMALIA, SUDAN NA ETHIOPIA. Asili mia kubwa ya mahindi ya TZ yakiwepo ya kusini yaliuzwa Kenya na bei ilikua mpaka 120000shs gunia la kg 100. Ikushuka sana shs 80000. Walipoleta mahindi ya Brazil wakatuuzia Watanzania gunia elfu thelathini na huo ukawa ndio mwanzo wa kuporomoka soko la mahindi hadi leo. Waswahili husema ukila na kipofu usimshike mkono.Kapandishaje?
Yeye binafsi amefanya kitu gani hadi bei imepanda?
Apandishe na mahindi kama anao huo uwezo.
Wakulima wa mahindi wanasaga meno kwe bei ndogo ya mahindi.
Wauze njeKapandishaje?