Serikali yapania kuziba mianya ya ukwepaji kodi, Rais Samia atoa msimamo

Habari za Zanzibar

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2024
Posts
651
Reaction score
433
SERIKALI YAPANIA KUZIBA MIANYA YA UKWEPAJI KODI, RAIS SAMIA ATOA MSISITIZO

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan, leo tarehe 18 Machi 2026 amepokea Ripoti ya Tume ya Rais ya Kutathmini Maboresho ya Mfumo wa Kodi katika hafla iliyofanyika Ikulu Dar es Salaam.

Akizungumza wakati wa hafla hiyo, Rais Samia amesisitiza kuwa Serikali kwa kushirikiana na wadau ina wajibu wa kujenga mfumo imara wa kodi utakaorahisisha ufuatiliaji wa makusanyo na kudhibiti mianya ya ukwepaji kodi, ili kuongeza ufanisi na uwazi katika ukusanyaji wa mapato.

“Nchi inapaswa kukusanya kodi zaidi ili kwa kiasi kikubwa iweze kugharamia maendeleo yake yenyewe kupitia mapato ya ndani,” ameeleza Rais Samia.

Rais amebainisha kuwa maboresho ya mfumo wa kodi ni hatua muhimu katika kuimarisha uchumi wa taifa, kupunguza utegemezi wa misaada ya nje na kuhakikisha upatikanaji endelevu wa rasilimali kwa ajili ya huduma za kijamii.

Ripoti hiyo inatarajiwa kuwa nyenzo muhimu katika kuongoza mageuzi ya sera na mifumo ya kodi nchini, kwa lengo la kuongeza mapato ya Serikali na kukuza uchumi jumuishi.

IMG-20260318-WA0152.jpg
IMG-20260318-WA0154.jpg
8
 
Attachments

  • IMG-20260318-WA0158.jpg
    IMG-20260318-WA0158.jpg
    293.8 KB · Views: 39
  • IMG-20260318-WA0157.jpg
    IMG-20260318-WA0157.jpg
    275.2 KB · Views: 36
SERIKALI YAPANIA KUZIBA MIANYA YA UKWEPAJI KODI, RAIS SAMIA ATOA MSISITIZO

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan, leo tarehe 18 Machi 2026 amepokea Ripoti ya Tume ya Rais ya Kutathmini Maboresho ya Mfumo wa Kodi katika hafla iliyofanyika Ikulu Dar es Salaam.

Akizungumza wakati wa hafla hiyo, Rais Samia amesisitiza kuwa Serikali kwa kushirikiana na wadau ina wajibu wa kujenga mfumo imara wa kodi utakaorahisisha ufuatiliaji wa makusanyo na kudhibiti mianya ya ukwepaji kodi, ili kuongeza ufanisi na uwazi katika ukusanyaji wa mapato.

“Nchi inapaswa kukusanya kodi zaidi ili kwa kiasi kikubwa iweze kugharamia maendeleo yake yenyewe kupitia mapato ya ndani,” ameeleza Rais Samia.

Rais amebainisha kuwa maboresho ya mfumo wa kodi ni hatua muhimu katika kuimarisha uchumi wa taifa, kupunguza utegemezi wa misaada ya nje na kuhakikisha upatikanaji endelevu wa rasilimali kwa ajili ya huduma za kijamii.

Ripoti hiyo inatarajiwa kuwa nyenzo muhimu katika kuongoza mageuzi ya sera na mifumo ya kodi nchini, kwa lengo la kuongeza mapato ya Serikali na kukuza uchumi jumuishi.

View attachment 3559606View attachment 35596078
Yote hii ni ktk kukabiliana na madhara ya kauli ya "WHO ARE YOU" baada ya misaada na mikopo kuondolewa na hao walioambiwa Who are you! Hivyo serikali Haina fedha za kuendesha nchi kimaendeleo. Tutarajie maumivu makubwa sana kiuchumi
 
Hakuna serikali isiyojitegemea duniani. Ukiweza kuishi kwa sehemu kubwa ya mapato ya ndani unaheshimika kimataifa.

Lazima ubunifu na elimu zilizo vichwani zitumike vilivyo kwa faida ya Tanzania nzima.
 
SERIKALI YAPANIA KUZIBA MIANYA YA UKWEPAJI KODI, RAIS SAMIA ATOA MSISITIZO

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan, leo tarehe 18 Machi 2026 amepokea Ripoti ya Tume ya Rais ya Kutathmini Maboresho ya Mfumo wa Kodi katika hafla iliyofanyika Ikulu Dar es Salaam.

Akizungumza wakati wa hafla hiyo, Rais Samia amesisitiza kuwa Serikali kwa kushirikiana na wadau ina wajibu wa kujenga mfumo imara wa kodi utakaorahisisha ufuatiliaji wa makusanyo na kudhibiti mianya ya ukwepaji kodi, ili kuongeza ufanisi na uwazi katika ukusanyaji wa mapato.

“Nchi inapaswa kukusanya kodi zaidi ili kwa kiasi kikubwa iweze kugharamia maendeleo yake yenyewe kupitia mapato ya ndani,” ameeleza Rais Samia.

Rais amebainisha kuwa maboresho ya mfumo wa kodi ni hatua muhimu katika kuimarisha uchumi wa taifa, kupunguza utegemezi wa misaada ya nje na kuhakikisha upatikanaji endelevu wa rasilimali kwa ajili ya huduma za kijamii.

Ripoti hiyo inatarajiwa kuwa nyenzo muhimu katika kuongoza mageuzi ya sera na mifumo ya kodi nchini, kwa lengo la kuongeza mapato ya Serikali na kukuza uchumi jumuishi.

View attachment 3559606View attachment 35596078
😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀.Pale fisadi mfuja fedha anapotaka kusimamia kodi...
 
Mimi sio mtaalamu wa kodi.
Nazunguka vijiji vya mkoa wakigoma. Kila wiki kuna siku maalum eneo na wilaya fulani hufanya soko( gulio). Naambiwa kessho ni zamu ya Uvinza. Kuna kitu cha kufikirisha katika masoko haya.

Vitambaa vya nguo (magauni,skketi) kutoka bara hibdi mita moja huuzwa sh 2000. Najiuliza, huko waluko toa wamenunua, wamesafirisha, wamelipa kodi na wamepata faida kabla ya kuuza kwa super dealer ili naye auze ,apate faida kisha imfikie muuzake wa kazulamimva hapa Uvinza naye aweke faida; huko walikotoa wamenunua kiasi gani? Wamelipa kodi?.

Siombi wapabdisge vei ili kuwakomoa wanunuzi wa mwisho. Lakini vinalipiwa kodi?
 
😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀.Pale fisadi mfuja fedha anapotaka kusimamia kodi...
Mkuu , wamebanwa kila kona haya majizi ya kura misaada imekatwa , pesa yalifuja kwenye ufisadi , kutengeneza project fake kama CHAUBWABWA kuhadaa watu na kampeni na uchafuzi mkuu.

Sasa ndio wanakuja na kila aina ya kodi ili kufidia, uzuri wa haya mambo ni kodi zitakavyozidi na ufisadi unaendelea ndio wananchi watarudi barabarani haitajalisha ni chawa au nani na ndio kaburi la CCM linaanza kuchimbwa hivyo.
 
Ukiuliza Tume imetumia bilioni ngapi kufanya kazi iyo, utasikia bilioni hamsini. 😁
Nchi ya kifala sana hii. 😁
 
SERIKALI YAPANIA KUZIBA MIANYA YA UKWEPAJI KODI, RAIS SAMIA ATOA MSISITIZO

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan, leo tarehe 18 Machi 2026 amepokea Ripoti ya Tume ya Rais ya Kutathmini Maboresho ya Mfumo wa Kodi katika hafla iliyofanyika Ikulu Dar es Salaam.

Akizungumza wakati wa hafla hiyo, Rais Samia amesisitiza kuwa Serikali kwa kushirikiana na wadau ina wajibu wa kujenga mfumo imara wa kodi utakaorahisisha ufuatiliaji wa makusanyo na kudhibiti mianya ya ukwepaji kodi, ili kuongeza ufanisi na uwazi katika ukusanyaji wa mapato.

“Nchi inapaswa kukusanya kodi zaidi ili kwa kiasi kikubwa iweze kugharamia maendeleo yake yenyewe kupitia mapato ya ndani,” ameeleza Rais Samia.

Rais amebainisha kuwa maboresho ya mfumo wa kodi ni hatua muhimu katika kuimarisha uchumi wa taifa, kupunguza utegemezi wa misaada ya nje na kuhakikisha upatikanaji endelevu wa rasilimali kwa ajili ya huduma za kijamii.

Ripoti hiyo inatarajiwa kuwa nyenzo muhimu katika kuongoza mageuzi ya sera na mifumo ya kodi nchini, kwa lengo la kuongeza mapato ya Serikali na kukuza uchumi jumuishi.

View attachment 3559606View attachment 35596078

Ela tunazo nyingi ila matumizi ni makubwa na hatuna priority

1. Safari za viongozi zinakula ela sana Coz wakiwa wanaenda nje ya inchi wote wanakaa business na wanalala five star hotel,

2. Safari za ndani za viongozi wakuu zipungue let's say pm now ni zaidi ya mwezi yuko ziara mikoani, hizo zote ni ela za posho, mafuta,

3. Wote tuamue kujibana na kutumia ela kwa ubahili, hata Muda wa bunge upunguwe, miez 3 wanajadili nini muda wote huo?

Hayo mambo yakikatwa ela itaonekana na miradi itapata fedha
 
ukifungua ka ka fremu ka mtaji wa milioni moja mbili ,au ka kikabanda,utakutana kodi za aina nyingi sana kama 4 au 5

Kwa nini wasirahisishe iwe kodi aina moja hizo zote waziunganishe iwe kodi moja tu kwa mwaka...Kama alivyofanya Magufuli elfu 20,000/= kwa mwaka.

na unapata kitambulisho chako bila usumbufu wowote..maisha ya wanyonge ni magumu biashara zetu ndogo ndogo ni ngumu sana ...
 
Back
Top Bottom