Habari za Zanzibar
JF-Expert Member
- Dec 18, 2024
- 651
- 433
Yote hii ni ktk kukabiliana na madhara ya kauli ya "WHO ARE YOU" baada ya misaada na mikopo kuondolewa na hao walioambiwa Who are you! Hivyo serikali Haina fedha za kuendesha nchi kimaendeleo. Tutarajie maumivu makubwa sana kiuchumiSERIKALI YAPANIA KUZIBA MIANYA YA UKWEPAJI KODI, RAIS SAMIA ATOA MSISITIZO
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan, leo tarehe 18 Machi 2026 amepokea Ripoti ya Tume ya Rais ya Kutathmini Maboresho ya Mfumo wa Kodi katika hafla iliyofanyika Ikulu Dar es Salaam.
Akizungumza wakati wa hafla hiyo, Rais Samia amesisitiza kuwa Serikali kwa kushirikiana na wadau ina wajibu wa kujenga mfumo imara wa kodi utakaorahisisha ufuatiliaji wa makusanyo na kudhibiti mianya ya ukwepaji kodi, ili kuongeza ufanisi na uwazi katika ukusanyaji wa mapato.
βNchi inapaswa kukusanya kodi zaidi ili kwa kiasi kikubwa iweze kugharamia maendeleo yake yenyewe kupitia mapato ya ndani,β ameeleza Rais Samia.
Rais amebainisha kuwa maboresho ya mfumo wa kodi ni hatua muhimu katika kuimarisha uchumi wa taifa, kupunguza utegemezi wa misaada ya nje na kuhakikisha upatikanaji endelevu wa rasilimali kwa ajili ya huduma za kijamii.
Ripoti hiyo inatarajiwa kuwa nyenzo muhimu katika kuongoza mageuzi ya sera na mifumo ya kodi nchini, kwa lengo la kuongeza mapato ya Serikali na kukuza uchumi jumuishi.
View attachment 3559606View attachment 35596078
Hakuna serikali isiyojitegemea duniani. Ukiweza kuishi kwa sehemu kubwa ya mapato ya ndani unaheshimika kimataifa.Yote hii ni ktk kukabiliana na madhara ya kauli ya "WHO ARE YOU" baada ya misaada na mikopo kuondolewa na hao walioambiwa Who are you! Hivyo serikali Haina fedha za kuendesha nchi kimaendeleo. Tutarajie maumivu makubwa sana kiuchumi
ππππππππππ.Pale fisadi mfuja fedha anapotaka kusimamia kodi...SERIKALI YAPANIA KUZIBA MIANYA YA UKWEPAJI KODI, RAIS SAMIA ATOA MSISITIZO
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan, leo tarehe 18 Machi 2026 amepokea Ripoti ya Tume ya Rais ya Kutathmini Maboresho ya Mfumo wa Kodi katika hafla iliyofanyika Ikulu Dar es Salaam.
Akizungumza wakati wa hafla hiyo, Rais Samia amesisitiza kuwa Serikali kwa kushirikiana na wadau ina wajibu wa kujenga mfumo imara wa kodi utakaorahisisha ufuatiliaji wa makusanyo na kudhibiti mianya ya ukwepaji kodi, ili kuongeza ufanisi na uwazi katika ukusanyaji wa mapato.
βNchi inapaswa kukusanya kodi zaidi ili kwa kiasi kikubwa iweze kugharamia maendeleo yake yenyewe kupitia mapato ya ndani,β ameeleza Rais Samia.
Rais amebainisha kuwa maboresho ya mfumo wa kodi ni hatua muhimu katika kuimarisha uchumi wa taifa, kupunguza utegemezi wa misaada ya nje na kuhakikisha upatikanaji endelevu wa rasilimali kwa ajili ya huduma za kijamii.
Ripoti hiyo inatarajiwa kuwa nyenzo muhimu katika kuongoza mageuzi ya sera na mifumo ya kodi nchini, kwa lengo la kuongeza mapato ya Serikali na kukuza uchumi jumuishi.
View attachment 3559606View attachment 35596078
Mkuu , wamebanwa kila kona haya majizi ya kura misaada imekatwa , pesa yalifuja kwenye ufisadi , kutengeneza project fake kama CHAUBWABWA kuhadaa watu na kampeni na uchafuzi mkuu.ππππππππππ.Pale fisadi mfuja fedha anapotaka kusimamia kodi...
SERIKALI YAPANIA KUZIBA MIANYA YA UKWEPAJI KODI, RAIS SAMIA ATOA MSISITIZO