Serikali yapiga marufuku Hospitali Binafsi kupandisha bei kwa wagonjwa wenye matatizo

Serikali yapiga marufuku Hospitali Binafsi kupandisha bei kwa wagonjwa wenye matatizo

Kama hospitali zote zina nafasi kwa nini wawapangie bei hospitali binafsi wakati nafasi ziko kwenye hospitali za serikali kwa wale ambao hizo bei hawaziwezi?

Amandla...
 
Mamina mngejua napambana na mzazi wangu.kwa ishu ua kupumua. Na .j4 nimemzika ndugu yangu.kwa.huu.ungonjwa.wa "pneumonia "msingeongea huu utumbo
Pole sana ndugu yangu. Nami nimemzika mtoto wa kakangu aliyekuwa mfanyakazi wa hospitali mkoani Morogoro.

Wenzetu hawa kwa kuwa hayajawapata, wanaendelea kubwabwaja, kuwadanganya wananchi. Lakini kuna siku wataguswa mahali ambapo patawafanya waache kudanganya tena.
 
Hakika Corona imezidi kuwa tatizo, huu ugonjwa unazitesa sana familia nyingi.

Ukitaka kujua kuwa wale wavamizi mjengoni ni janga nenda kimya kimya Kwenye hospitali kubwa za serikali eg Muhimbili au Mlonganzila ulizia ma nurse au madaktari wangapi wamelazwa na matatizo ya kupumua
 
Mnajua kabisa ipo shida...na mnajua watu wanaumia hata kuweka msisitizo wa kujihami pia hamtaki.
 
Kila mmoja amuombe Mungu atuepushe na hawa viumbe wa ajabu wasiojali maisha ya watu, lakini tukumbuke maneno ya wahenga kwamba mzaha mzaha hutumbuka usaha
 
HIVI MATIBABU YA WALE WENYE MATATIZO YA FIGO BEI GANI VILE.

maana kuna tiba yao moja inaitwa dylacisies sjui dalalisisi hivi serikali inajua gharama yake inakwendaje

Ova
 
Back
Top Bottom