John Haramba
JF-Expert Member
- Feb 4, 2022
- 365
- 1,374
UKATISHAJI TAMAA WA AJIRA ZA VIJANA, MNATUAMBIA TUJIAJIRI BAADAE TENA FIGISUMamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA) imeipiga marufuku Linkee kutoa huduma ya taxi-mtandao kwa maelezo kuwa haina leseni ya kutoa huduma hiyo.
Aidha, mamlaka hiyo imewaonya madereva watakaotumia huduma hiyo, huku pia wananchi wakiaswa kutoutumia.
Very good point...Tuna tatizo kubwa sana la WASOMI wetu walioko maofisini; mnaonaje kama walau miaka 5 tuwape ajira za decision making vijana hata wa form 4 wakae ofisni wafanye decision, nina hakika wa form 4 asingesimamisha ajira za watu instead angewaambia "njooni msajiri na mpate leseni ASAP" kuliko UJINGA wa hawa degree holders wasio na experience yeyote ya street university; wamekariri theories nyingi without practical. HAwajui the ABC za biashara, wanakurupuka tu; jinga kabisa
Kama issue ni leseni si unawasaidia tu namna ya kupata leseni? mbona simple tu? shida iko wapi? au kuna sababu ambazo hatuzijui? Umewakagua hawana leseni, waeleze jinsi y akupata leseniMamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA) imeipiga marufuku Linkee kutoa huduma ya taxi-mtandao kwa maelezo kuwa haina leseni ya kutoa huduma hiyo.
Aidha, mamlaka hiyo imewaonya madereva watakaotumia huduma hiyo, huku pia wananchi wakiaswa kutoutumia.
Wakati mwingine nakuta hizi kampuni wenyewe ndio wanachomana.
punguza kulalamika na kuwa objective. Kabla hujalaumu LATRA waonye kwanza waliokiuka taratibu. Hao vijana wa form 4 ndio wamefundishwa kutozingatia taratibu?Tuna tatizo kubwa sana la WASOMI wetu walioko maofisini; mnaonaje kama walau miaka 5 tuwape ajira za decision making vijana hata wa form 4 wakae ofisni wafanye decision, nina hakika wa form 4 asingesimamisha ajira za watu instead angewaambia "njooni msajiri na mpate leseni ASAP" kuliko UJINGA wa hawa degree holders wasio na experience yeyote ya street university; wamekariri theories nyingi without practical. HAwajui the ABC za biashara, wanakurupuka tu; jinga kabisa
Hata silalamiki mkuu; watendaji wa serikali wengi huaga sio problem solvers, wao mtu akikosea ni kufungia tu, unadhani mtu kama mzee Kishimba angefungia biashara au angewapa deadline kwamba hadi tarehe fulani hakikisheni mmesajiri otherwise tunafungia? Juzi nilikua naangalia taarifa ya habari kupitia ITV, kule Mbozi "wasomi" wetu wameingia mgogoro na wauza nyama/mabucha, according to them, walipewa tarehe kwamba wa solve issue moja hivi, kama wiki mbili but leo wametoa barua kesho wakawapiga faini wale wafanya biashara; jamaa nao wakaona isiwe tabu, wakafunga mabucha yao, mgogoro ukawa mkubwa sana. Mkuu Boban, hata ukitetea, watendaji wengi hawana tatizo hata moja na shule, wana tatizo kubwa la uelewa kuhusu biashara!punguza kulalamika na kuwa objective. Kabla hujalaumu LATRA waonye kwanza waliokiuka taratibu. Hao vijana wa form 4 ndio wamefundishwa kutozingatia taratibu?
Sasa kumbe tatizo wanalijua (hawana leseni) si wawape leseni ss ili waendelee kupata kodi biashara ikiwa inaendelea.Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA) imeipiga marufuku Linkee kutoa huduma ya taxi-mtandao kwa maelezo kuwa haina leseni ya kutoa huduma hiyo.
Aidha, mamlaka hiyo imewaonya madereva watakaotumia huduma hiyo, huku pia wananchi wakiaswa kutoutumia.