Serikali yapiga marufuku huduma ya usafiri ya Linkee

Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA) imeipiga marufuku Linkee kutoa huduma ya taxi-mtandao kwa maelezo kuwa haina leseni ya kutoa huduma hiyo.

Aidha, mamlaka hiyo imewaonya madereva watakaotumia huduma hiyo, huku pia wananchi wakiaswa kutoutumia.
UKATISHAJI TAMAA WA AJIRA ZA VIJANA, MNATUAMBIA TUJIAJIRI BAADAE TENA FIGISU

ANYWAYS SIPO HAPA KUPINGA ILA HAO LINKEE WATAFUTE LESENI WARUDI KAZINI
 
Tuna tatizo kubwa sana la WASOMI wetu walioko maofisini; mnaonaje kama walau miaka 5 tuwape ajira za decision making vijana hata wa form 4 wakae ofisni wafanye decision, nina hakika wa form 4 asingesimamisha ajira za watu instead angewaambia "njooni msajiri na mpate leseni ASAP" kuliko UJINGA wa hawa degree holders wasio na experience yeyote ya street university; wamekariri theories nyingi without practical. HAwajui the ABC za biashara, wanakurupuka tu; jinga kabisa
 
Very good point...
 
Kwa hiyo hapo hao LATRA ndio wanaona wamesolve tatizo!!!
 
Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA) imeipiga marufuku Linkee kutoa huduma ya taxi-mtandao kwa maelezo kuwa haina leseni ya kutoa huduma hiyo.

Aidha, mamlaka hiyo imewaonya madereva watakaotumia huduma hiyo, huku pia wananchi wakiaswa kutoutumia.
Kama issue ni leseni si unawasaidia tu namna ya kupata leseni? mbona simple tu? shida iko wapi? au kuna sababu ambazo hatuzijui? Umewakagua hawana leseni, waeleze jinsi y akupata leseni
 
Wakati mwingine nakuta hizi kampuni wenyewe ndio wanachomana.
 
Tuna tatizo kubwa sana la WASOMI wetu walioko maofisini; mnaonaje kama walau miaka 5 tuwape ajira za decision making vijana hata wa form 4 wakae ofisni wafanye decision, nina hakika wa form 4 asingesimamisha ajira za watu instead angewaambia "njooni msajiri na mpate leseni ASAP" kuliko UJINGA wa hawa degree holders wasio na experience yeyote ya street university; wamekariri theories nyingi without practical. HAwajui the ABC za biashara, wanakurupuka tu; jinga kabisa
punguza kulalamika na kuwa objective. Kabla hujalaumu LATRA waonye kwanza waliokiuka taratibu. Hao vijana wa form 4 ndio wamefundishwa kutozingatia taratibu?
 
Mbona sasa wanamatangazo tena ya mabango makubwa kila kona ya jiji, alafu ghafla wanaamiwa hawana leseni...
 
punguza kulalamika na kuwa objective. Kabla hujalaumu LATRA waonye kwanza waliokiuka taratibu. Hao vijana wa form 4 ndio wamefundishwa kutozingatia taratibu?
Hata silalamiki mkuu; watendaji wa serikali wengi huaga sio problem solvers, wao mtu akikosea ni kufungia tu, unadhani mtu kama mzee Kishimba angefungia biashara au angewapa deadline kwamba hadi tarehe fulani hakikisheni mmesajiri otherwise tunafungia? Juzi nilikua naangalia taarifa ya habari kupitia ITV, kule Mbozi "wasomi" wetu wameingia mgogoro na wauza nyama/mabucha, according to them, walipewa tarehe kwamba wa solve issue moja hivi, kama wiki mbili but leo wametoa barua kesho wakawapiga faini wale wafanya biashara; jamaa nao wakaona isiwe tabu, wakafunga mabucha yao, mgogoro ukawa mkubwa sana. Mkuu Boban, hata ukitetea, watendaji wengi hawana tatizo hata moja na shule, wana tatizo kubwa la uelewa kuhusu biashara!
 
Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA) imeipiga marufuku Linkee kutoa huduma ya taxi-mtandao kwa maelezo kuwa haina leseni ya kutoa huduma hiyo.

Aidha, mamlaka hiyo imewaonya madereva watakaotumia huduma hiyo, huku pia wananchi wakiaswa kutoutumia.
Sasa kumbe tatizo wanalijua (hawana leseni) si wawape leseni ss ili waendelee kupata kodi biashara ikiwa inaendelea.
 
Kwanini washikamatwe wahusika wakate leseni haraka? Mkizuia huduma maana yake watu wanarudi kuwa jobless
 
Back
Top Bottom