ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
WoteNi wanunuzi kutoka nje ya nchi, kama nimeelewa vile
Au Serikali kama inataka Kodi iwe na Vituo vya kuuzia ambapo Wananchi watapeleka mazao hapo Sokoni na.kukutana na wanunuziKuna haja ya kumshirikisha mkulima mwenye mazao yake katika haya maamuzi.
Unakuta mkulima wanashida ya pesa, mazao anayo, hilo ghala lililosajiliwa halijulikani liko wapi.
Mkulima afanyeje ?
Hii move ni mbaya kwa madalali nzuri kwa mkulima.Kuna haja ya kumshirikisha mkulima mwenye mazao yake katika haya maamuzi.
Unakuta mkulima wanashida ya pesa, mazao anayo, hilo ghala lililosajiliwa halijulikani liko wapi.
Mkulima afanyeje ?
Hapa imewalenga madalali wanaoingiza Millions just kwa kununua kwa niaba ya mfanya biashara. Ni kama vile kwa mlango wa nyuma inataka kuwarasimisha.Au Serikali kama inataka Kodi iwe na Vituo vya kuuzia ambapo Wananchi watapeleka mazao hapo Sokoni na.kukutana na wanunuzi
Wote
Kulikuwa na soko la Kundemiti wakati fulani.Mkulima asipangiwe
Mkulima wa tz anateseka sanaKulikuwa na soko la Kundemiti wakati fulani.
Wakulima walikuwa wanauza Kunde zao kwa bei nzuri tu.
Mala Serikali ikaingilia kati na kutaka wanunuzi wawe na maghala yaliyosajiriwa.
Toka tamko lile litolewe biashara ya kundemiti ikafa jamla hadi leo.
Haya matamko ya kusajiri maghala yanatolewa kwa vitisho kwa wanunuzi mazao.
Ni matamko yasiyo rafiki kwa mkulima.
Kama hawataki watu wanunue mazao basi inunue Serikali ili wafanya biashara wanunue serikalini.
Mkulima ana hiari ya kuuza mazao yake popote na kwa yeyote. Ili asomeshe watoto wake.
Sio kweli. Mkukima asijue ghala liko wapi? Atakuwa mkukima wa wapi huyo. Acha hoja za mkato mkato. Kwa mbinu hii mkukima anaweza kunufaika sana kwa kupeleka mazao yake kwenye ghala atakatoa linatoa bei nzuri.Kuna haja ya kumshirikisha mkulima mwenye mazao yake katika haya maamuzi.
Unakuta mkulima wanashida ya pesa, mazao anayo, hilo ghala lililosajiliwa halijulikani liko wapi.
Mkulima afanyeje ?
Hilo ghala mimi sijawahi kuliona wewe umeliona wapi ?Sio kweli. Mkukima asijue ghala liko wapi? Atakuwa mkukima wa wapi huyo. Acha hoja za mkato mkato. Kwa mbinu hii mkukima anaweza kunufaika sana kwa kupeleka mazao yake kwenye ghala atakatoa linatoa bei nzuri.
Siyo mkukima ni mkulima mkuuuSio kweli. Mkukima asijue ghala liko wapi? Atakuwa mkukima wa wapi huyo. Acha hoja za mkato mkato. Kwa mbinu hii mkukima anaweza kunufaika sana kwa kupeleka mazao yake kwenye ghala atakatoa linatoa bei nzuri.
Hatimae akili zimewarudia Bashe na kundi lake. Ungesikiliza sauti zetu tusingefika kwenye shida hii ya chakula.Serikali imepiga marufuku Wanunuzi kwenda Kununua Mazao ya Wakulima mashambani na kuagiza mazao yote yanunuliwe kwema Maghala yaliyosajiliwa.
My Take: Wenye Stoo na madalali Sasa kazi mnayo..
========
Wizara ya kilimo Tanzania imetoa taarifa kwa umma kuhusu utaratibu wa kuuza, kununua na kurasimisha biashara za mazao nchini ambapo moja ya taratibu ni wafanyabiashara wa mazao kusajili maghala yote binafsi, ya serikali na ushirika na kutoa taarifa za mauzo ya mazao ghalani.
Wapi waliposema Serikali imepiga marufuku kuuza mahindi Nje ya Nchi?Hatimae akili zimewarudia Bashe na kundi lake. Ungesikiliza sauti zetu tusingefika kwenye shida hii ya chakula.