Serikali yapiga marufuku kununua mazao shambani, yaagiza maghala yote kusajiliwa

FYI hakuna watu wanalipa kodi hapa TZ kama wafanyabiashara wachuuzi wa mazao!! Fikiria trip moja tu nikipakia mahindi tani 30 nalipa zaidi ya sh 900k kama kodi bado hapo maushuru mengine ya sokoni!! Kwa mwezi nikizungusha trip 5 tu tayari nishaiachia serikali zaidi ya 4M...piga kwa mwaka serikali inachukua kiasi gani
 
Ok, Mkuu, kwani kurasimishwa na kuendelea kulipa kodi kuna tatizo?
 
Vp kuhusu mazao ya Mboga mboga na matunda? Katazo hili linahusu pia mazao hayo au ni nafaka tu
 
Uko sawa mkuu, Tanzania hatuna taarifa sahihi za mazao mana mkulima hatunzi kumbukumbu LAKINI pia kodi hailipwi kisahihi. Tatu mkulima hajui bei shindani mana bishara hizi zinafanyika kwa siri, n rahisi mfanyabiashara kutumia lugha kuwa jana tumenunua kg moja kwa tsh 500 tu kijiji cha pili hapo
 
Hii nchi ni kama huwa ina laana
 
πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜† Wakunya wameanza kulia lia
Wakanunue GMO mbwa hao
 
Too late.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…