Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hili kwa hakika naipongeza sana serikali, hiki kilikuwa kinakwenda kuwa kifo cha mende kwa wakulima. Ingebidi wawe wananunua mbegu kila msimu wa kilimo na kwa wakulima wa kujikimu isingewezekana kamwe. Ilikuwa ni kuwaingiza wakulima wadogo na wa kati kwenye umaskini kwa hakika. Pia tunahitaji na teknolojia zaidi kufanya kilimo hiki.Hili ni la kupongezwa maana hizo mbegu pamoja na mazao yake zina athari kwa afya, mbegu za asili zina uhai kwa maana ukiipanda ikatoa zao na bado ukachukua kwa ajili ya kupanda tena wakati mwingine
Lakini mbegu za GMO japo zinatoa mavuno makubwa lkn huwezi kutumia mazao yake kama mbegu tena kwa maana nyingine ni mfu miche yake haitoi mbegu
MWA. :1:29
Mungu akasema, Tazama, nimewapa kila mche utoao mbegu, ulio juu ya uso wa nchi yote pia, na kila mti, ambao matunda yake yana mbegu; vitakuwa ndivyo chakula chenu;
Mbegu za asili japo nazo sasa hivi ni za kutafuta kwa manati lakini hizo ndizo zifaazo kwa chakula na afya njema kwa binadamu hizi za GMO ni hatari kama ambavyo zenyewe hazina uhai zinaweza kubadili mfumo wetu wa reproduction nao kufa na hivyo kuathiri uzalianaji wetu
Mmh we mjomba umechanganya madesa hapo, huelewi hata GMO's ni nini, unachanganya na mbegu za kisasa, ni bora ungekaa kimya! PoleUnaongea nini wewe unajua ulimwengu uliko sasa katika technology ya kilimo?. Mbona huwa mnaongea pumba tu. Unafikiri Ulaya, America, Asia wote hao wanakula chakula cha asili.
The matter here is TBS and TFDA mzee. Nikupe mfano unafikili nyanya zinazolimwa na kupigwa madawa yasiyo na uwiano sahihi ni salama Kwa matumizi ya binadamu?.
Haupo salama Kama unavyofikili, kuna asali ya kutoka Tabora tena wanaitwa ni ya asili ilifanyiwa analysis majubi yake haifai Kwa matumizi ya binadamu Kwa sababu imeasiliwa na dawa za kupulizia tumbaku.
Msishangilie Kila kitu jiulizeni Kwanini wazungu wanatumia Sana chemical food bado Maisha yao no marefu kuliko tuaojiita walaji wa vyakula vya asili. Baba TBS ni mhimu Kwa vyakula.
Mkuu ningekushauri kasome kwa taratibu na uzuri zaidi kuhusu GMO ndo uandike hayo uliyoandika. Nani kakwambia wazungu wote wanatumia vyakula vya GMO? Unajua nchi nyingi tu zilizoendelea zimeikataa? usichanganye GMO na teknolojia zingine za kilimoUnaongea nini wewe unajua ulimwengu uliko sasa katika technology ya kilimo?. Mbona huwa mnaongea pumba tu. Unafikiri Ulaya, America, Asia wote hao wanakula chakula cha asili.
The matter here is TBS and TFDA mzee. Nikupe mfano unafikili nyanya zinazolimwa na kupigwa madawa yasiyo na uwiano sahihi ni salama Kwa matumizi ya binadamu?.
Haupo salama Kama unavyofikili, kuna asali ya kutoka Tabora tena wanaitwa ni ya asili ilifanyiwa analysis majubi yake haifai Kwa matumizi ya binadamu Kwa sababu imeasiliwa na dawa za kupulizia tumbaku.
Msishangilie Kila kitu jiulizeni Kwanini wazungu wanatumia Sana chemical food bado Maisha yao no marefu kuliko tuaojiita walaji wa vyakula vya asili. Baba TBS ni mhimu Kwa vyakula.
Kwa hili naipongeza sana serikali, GMO mazao yake ni hatari kwa afya ya binadamu, ardhi na mimea mingine, Europe na Asia wanasisitiza GMO kwasababu ardhi waliyonayo ni kidogo na watu ni wengi.Nov 21, 2018
KATIBU MKUU WIZARA YA KILIMO AITAKA TARI KUSITISHA MAJARIBIO YA GMO
Na Mathias Canal, Wizara ya Kilimo-Dodoma
Katibu Mkuu wa Wizara ya kilimo Mhandisi Mathew Mtigumwe leo tarehe 21 Novemba 2018 ameiagiza Taasisi ya Utafiti wa kilimo Tanzania (TARI) kusitisha mara moja utafiti na majaribio ya uhandisijeni (Genetic Modified Organism-GMO) yanayofanyika kwenye vituo vyake vya utafiti.
Aidha, Katibu Mkuu ameilekeza Taasisi hiyo ya TARI kuwa mabaki yote ya majaribio ya Uhandisijeni yateketezwe mara moja.
Hatua hiyo imechukuliwa baada ya Taasisi hiyo kuanza kutoa matokeo ya utafiti bila kupata idhini ya serikali.
Siku za hivi karibuni Taasisi ya Utafiti wa kilimo Tanzania (TARI) kupitia kituo cha Makutupora imekuwa inaalika watu mbalimbali kwenda kuona matokeo ya utafiti wakati serikali haijaruhusu matumizi ya uhandisijeni nchini.
Zaidi, soma >> Nimeona wabunge wakishangilia ujio wa mbegu za GMO. Je, hawajui madhara yake kwa binadamu? - JamiiForums
Hata haujui unaongea nini,Hili ni la kupongezwa maana hizo mbegu pamoja na mazao yake zina athari kwa afya, mbegu za asili zina uhai kwa maana ukiipanda ikatoa zao na bado ukachukua kwa ajili ya kupanda tena wakati mwingine
Lakini mbegu za GMO japo zinatoa mavuno makubwa lkn huwezi kutumia mazao yake kama mbegu tena kwa maana nyingine ni mfu miche yake haitoi mbegu
MWA. :1:29
Mungu akasema, Tazama, nimewapa kila mche utoao mbegu, ulio juu ya uso wa nchi yote pia, na kila mti, ambao matunda yake yana mbegu; vitakuwa ndivyo chakula chenu;
Mbegu za asili japo nazo sasa hivi ni za kutafuta kwa manati lakini hizo ndizo zifaazo kwa chakula na afya njema kwa binadamu hizi za GMO ni hatari kama ambavyo zenyewe hazina uhai zinaweza kubadili mfumo wetu wa reproduction nao kufa na hivyo kuathiri uzalianaji wetu
Haujui unaongea nini, genetic ni vinasaba vinachanganywa kwa kuleta ubora wa uzalishaji na kuvumilia ukame. Hiyo mbegu inakuwa na hizo sifa , ukija kuipanda tena inajitenganisha kwa huyo haupati ile combination. Unapochagua dume la ng'ombe lenye ubora ukatafuta na jike lenye sifa ya kutoa maziwa mtoto atakaezaliwa atakuwa na sifa za hao wazazi wake hapo na wewe umefanya Genetic modification . Soma Mendel's laws of inheritanceHili ni la kupongezwa maana hizo mbegu pamoja na mazao yake zina athari kwa afya, mbegu za asili zina uhai kwa maana ukiipanda ikatoa zao na bado ukachukua kwa ajili ya kupanda tena wakati mwingine
Lakini mbegu za GMO japo zinatoa mavuno makubwa lkn huwezi kutumia mazao yake kama mbegu tena kwa maana nyingine ni mfu miche yake haitoi mbegu
MWA. :1:29
Mungu akasema, Tazama, nimewapa kila mche utoao mbegu, ulio juu ya uso wa nchi yote pia, na kila mti, ambao matunda yake yana mbegu; vitakuwa ndivyo chakula chenu;
Mbegu za asili japo nazo sasa hivi ni za kutafuta kwa manati lakini hizo ndizo zifaazo kwa chakula na afya njema kwa binadamu hizi za GMO ni hatari kama ambavyo zenyewe hazina uhai zinaweza kubadili mfumo wetu wa reproduction nao kufa na hivyo kuathiri uzalianaji wetu
Kivipi naomba maelezo zaidi?Genetically Modified organism (People) akila Genetically Modified Organism (Food), matokeo yake yatakuwa balaa
Watu wanafikiria quantity badala ya quality, ila GMO haifai inatuuwa kwa magonjwa,Wabunge sio wataalam mkuu,ndio maana walishangilia.Serikali naamini imepitia ushahidi uliopo wa kisayansi kuhusu GMOs na imeona kwamba mazao hayo hayafai kutumiwa na wanadamu.Nimekuwa naleta mada nyingi humu kuhusu ubaya wa GMOs,ila kwa bahati mbaya watu wengi walikuwa wanakimbilia mada za udaku.Ifike mahali Watanzania tujali mambo ya msingi,kuliko kukimbilia mambo yasiyokuwa na faida kwetu.
Mkuu hybrid/chotara si GMO ni cross breeding ya mmea kupata tabia fulani unazozitaka k.v mazao mengi, kuvumilia ukame, kuzaa kwa muda mfupi n.k., off course ukizipanda zinaota vizuri sana hili mazao yanapungua kila unapoendelea kuzitumiatu but zinota. GMO ni teknolojia nyingine kabisa ya kucheza na genes za mimea. na mbegu zake ukizipanda hazioti lazima ununue toka kwa mzalishaji kwa maisha yako yote.Ina maana mbegu za mahindi wanazotumia wakulima nowdays nazo ni gmo?
Mbona niliskia wanaziita hybrid/chotara
Nazo ukizipanda mara ya pili hazioti
Unaongea nini wewe unajua ulimwengu uliko sasa katika technology ya kilimo?. Mbona huwa mnaongea pumba tu. Unafikiri Ulaya, America, Asia wote hao wanakula chakula cha asili.
The matter here is TBS and TFDA mzee. Nikupe mfano unafikili nyanya zinazolimwa na kupigwa madawa yasiyo na uwiano sahihi ni salama Kwa matumizi ya binadamu?.
Haupo salama Kama unavyofikili, kuna asali ya kutoka Tabora tena wanaitwa ni ya asili ilifanyiwa analysis majubi yake haifai Kwa matumizi ya binadamu Kwa sababu imeasiliwa na dawa za kupulizia tumbaku.
Msishangilie Kila kitu jiulizeni Kwanini wazungu wanatumia Sana chemical food bado Maisha yao no marefu kuliko tuaojiita walaji wa vyakula vya asili. Baba TBS ni mhimu Kwa vyakula.
Wewe ni muuzaji nini wa hizo mbegu maana umenikemea kwelikweli lakini bado haiondoi ukweli kuwa hizo mbegu siyo salama hata kidogo mkuuUnaongea nini wewe unajua ulimwengu uliko sasa katika technology ya kilimo?. Mbona huwa mnaongea pumba tu. Unafikiri Ulaya, America, Asia wote hao wanakula chakula cha asili.