Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hili taasisi zetu za utafiti zimetuangusha sana mkuu,sijui ni kwa kutokujua au kwa makusudi?!Inasikitisha sana kwa kweli.On serious note hizi taasisi za research bora vyombo watu tumeshaona Kuna tatizo kubwa na litaathiri ustawi wetu kama taifa, mi nimetembelea taasisi nyingi kipindi flani nilizoona ziko poa ni SUA ya morogoro, Ifakara utafiti na TACRI ya lyamungo moshi
GMOs zimetumiwa tangu binadamu anaanza kilimo. Kuna naturally occuring GMOs, nakila siku ya mungu mbegu zinakuwa genetically modified naturally or artificially.
Ukipuliza dawa za magugu, magugu yanadevelop resistance through genetic modification. Ng'ombe wa maziwa, kuku wa nyama na mayai wote tunaokula ni genetically modified breeds.
Tutakuja kukubali GMOs miaka 100 ijayo na ukifananisha life expectancy ya jamii zinazotumia GMOs ni kubwa kuliko zisizotumia kwa hiyo we need to stop that myth.
Ndiyo dunia inakoelekea mpende msipende. Na mshakula sana GMOs.
Mkuu Terminator Gene Technology is real.Wala hakuna ubishi kuhusu hili,it's simple science.Soma article ifuatayo kwa kuanzia,it's a simple one,nadhani utaelewa.Hii ndio sababu moja wapo kwa nini watu hatutaki GMOs.Mkulima masikini kuipigia magoti Monsanto kila mwaka for seed is unacceptable na kwanza hataweza.Aliyesambaza ujumbe kuwa mbegu za GMO ukipanda huwezi rudia msimu unaofuata sijui nani? Hakuna kitu inaitwa terminator gene ni myth siyo kweli. Zitaota sema kuna kitu kinaitwa segregation so haitakuwa na ubora wa mwanzo.
Ngoja tumsubiri Zitto,Lissu ,Yericko na timu yao waje hapa na kuanza kupinga kama ilivyo kawaida yao kila kinachofanywa na serikali ni kibaya,wao ndio wenye akili,maono zaidi.Ni kweli huu ni ushindi mkubwa kwa watanzania. Nina imani na nchi nyingine za Afrika zitaiga ili katika kulinda afya ya walaji na vizazi vyao kutoka kwenye 'makucha'! Hongera watanzania...
Shukrani sana viongozi wa serikali kwa kuendelea kutambua umuhimu wa kulinda Watanzania katika nyanja zote.
Kwanini watanzania wanapenda kuchangia maada yoyote hata wasipojua chochote.Hatuwezi kukimbia GMO, ndio kilimo kilipo na kinakokwenda. Badala ya kuogopa mabadiliko, tujitahidi tujifunze na sisi tuweze kufanya, tusije tukageuka tegemezi. GMO zimeenea sana hapa Tanzania, sijui kama itakuwa rahisi kuzizuia kwa sasa.
Shukrani ndugu umeeleza vizuri na kwa kifupi umeeleweka sana umewasaidia wale ambao hawana uwezo wa kusoma makala ndefu, kama MTU alikuwa hajaelewa kilichoelezwa kwenye barua ya juu basi hapa ataelewa na asipo elewa hapa basi ana lake jamboMkuu sidhani kama uko sahihi sana (utanisamehe kama nakosea). Kuna hybrids (chotara) na hizo GMOs. Hybrids ndo zimeenea sana hapa nchini. Hizi ukipanda zinaota vizuri sema sifa husika (kuvumilia ukame, magonjwa, uzaaji nk) hupungua kadri unavyorudia kupanda
GMOs kwa sasa zilikuwa zinafanyiwa utafiti makutupola pale. Hizi huwa zinatengenezwa mahsusi kwa kuzaa sana au kuvumilia/kukinzana na magonjwa au wadudu fulani. Na wengine wanazifanya tegemezi kwa kitu fulani ili wapate faida zaidi kwa kukuuzia more products. Kwa mfano.
1. Mbegu inaweza ikatengenezwa ma ikafanywa tegemezi kwa kiuatilifu fulani ndo izae sana. Hapa utauziwa mbegu na kulazimishwa kununua hicho kiuatilifu ili upate majibu mazuri. Hapa utaambiwa ili izae vizuri inabidi utumie hii kitu shambani kwako katika kupalilia etc
2. Inaondolewa uwezo wa kuwa mbegu baada ya kuvuna. Hili linafanyika ili urudi kwa mtengenezaji kila ukitaka kulima.
Naomba kuwasilisha
Hawa waliingia tangu wakati wa JK, ikaleta mvutano then wakapata mahala nadhani huko Dodoma kwa ajili ya majaribio na utafiti. Na cha ajabu wanapigiwa upatu na bahadhi ya watafiti wetu pengine kwa sababu wanatoa sana mpunga. Tanzania ina eneo kubwa sana ni suala tu la kumechanise kilimo na hatutakuwa na haja ya GMO. Tuachane na jembe la mkono, tufanye kilimo cha umwagiliaji na mfumo wa masoko uwe mzuri. Tunao uwezo mkubwa sana wa kuzalisha ziada ya kutosha kabisaNa hawa jamaa wanazisajili mbegu zao wakikukuta unapewa fine kali kama umeiba nyara za serikali..na all in all with timw zinaharibu sana mazingira kutokana na madawa yanayotumika...nadhani hawa Mosanto washaanza ingia Tanzania huko Arusha
Mkuu wala usibishe, MONSANTO anayo hiyo patent na alikuwa ameanza kuitumia ukizipanda hazioti, sema baada ya kelele za wenzake huko Magharibi akaitoa hiyo genes inayozuia mbegu ulizovuna zisiote. Na hapo anatuvizia tu, siku wateja wamekuwa wakubwa anairudisha tena na probably ipo kwani alistop kama miaka 5 - 6 iliyopita. Nadhani inaitwa terminator geneAliyesambaza ujumbe kuwa mbegu za GMO ukipanda huwezi rudia msimu unaofuata sijui nani? Hakuna kitu inaitwa terminator gene ni myth siyo kweli. Zitaota sema kuna kitu kinaitwa segregation so haitakuwa na ubora wa mwanzo.
Mkuu labda utanisaidia, GMO zimeenea Tanzania mahali gani? kwani hazijaanzwa kulimwa na wala mbegu zake hazijatolewa kwa public. Labda kama vyakula vinaingizwa kinyemela na kuuzwa kwa supermarket, lakini so far wakulima wetu wako safe.Hatuwezi kukimbia GMO, ndio kilimo kilipo na kinakokwenda. Badala ya kuogopa mabadiliko, tujitahidi tujifunze na sisi tuweze kufanya, tusije tukageuka tegemezi. GMO zimeenea sana hapa Tanzania, sijui kama itakuwa rahisi kuzizuia kwa sasa.
Kwa sehemu unaweza kuwa kweli, hata wazee wetu walikuwa wakitaka kupata ng'ombe bora wanachagua dume bora kabisa ili lipande jike na kupata uzao bora. Ila hiki tunachoongelea yaani GMO ilianza kwa mara ya kwanza mwaka 1983 na tangu hapo wameiendeleza kwa kasi sana na kwa sasa ukubali au ukatae madhara yake kwa nchi za dunia ya tatu yatakuwa makubwa maradufu ya faida zake. Mbegu za hybrid zinatutosha kabisa hata kwa mamia ya miaka na eneo la kutosha tunalo, maji tunayo, watu tunao why GMO?GMOs zimetumiwa tangu binadamu anaanza kilimo. Kuna naturally occuring GMOs, nakila siku ya mungu mbegu zinakuwa genetically modified naturally or artificially.
Ukipuliza dawa za magugu, magugu yanadevelop resistance through genetic modification. Ng'ombe wa maziwa, kuku wa nyama na mayai wote tunaokula ni genetically modified breeds.
Tutakuja kukubali GMOs miaka 100 ijayo na ukifananisha life expectancy ya jamii zinazotumia GMOs ni kubwa kuliko zisizotumia kwa hiyo we need to stop that myth.
Ndiyo dunia inakoelekea mpende msipende. Na mshakula sana GMOs.
Nyie nao sasa mmezidi na muwe mnaweka kumbukumbu, sio kila kitu mnawataja hao wa upande wapili. Mh Zito alilipigia hili kelele nyingi sana akipinga GMO na tena sio leo wala jana. Hii ni serikali yetu sote kwa hiyo hao sio maadui bali ni mbadala. Sasa kila kitu tunawasukumia kuwa watapinga. Ebu tutumie bongo zetu vizuri, ona kuna watu hawatoi hoja yoyote, wakishaandika kuwa ngoja fulani waje kupinga hapo washamaliza kuchangia hoja. Sio fair kabisaNgoja tumsubiri Zitto,Lissu ,Yericko na timu yao waje hapa na kuanza kupinga kama ilivyo kawaida yao kila kinachofanywa na serikali ni kibaya,wao ndio wenye akili,maono zaidi.
Na ni tatizo kubwa zaidi hapa JF, kuna watu humu ni wataalamu wa fani zote. Kazi kweli kweliKwanini watanzania wanapenda kuchangia maada yoyote hata wasipojua chochote.