Serikali yapiga marufuku mazao ya uhandisijeni(GMOs) nchini

Tekinolojia zilizopo sasa zinatosha kulilisha taifa letu mkuu,tunahitaji tu mfumo mzuri zaidi wa kuwaelimisha wakulima wetu.Tunahitaji pia kutilia mkazo swala la umwagiliaji pale ambapo inawezekana kwa kuwa mvua zimepungua.
 
Whaaat? Kwa hiyo muda wote nimekuwa nasoma bure?!! Hivi mnajua namna kuku wa kisasa, embe sukari, nanasi, ng'ombe wa kisasa wa maziwa/nyama, nk vili/wali?!!!!! Au mnafurahi kula tu? Ama kweli, "Africa is just Cemetery for Africans" - Putin V. (2018)
Walikuficha ukweli kwa manufaa yao mkuu,this is the truth.Na bado,as time goes, you will realize that they have made a fool of you in many things.Pole sana.
 
Kama serikali imeliona hilo hatuna budi kuipongeza.
Mimi niiombe serikali na Wataalamu wetu wawe makini sana kwenye mambo mbalimbali hasa yale yanayokuwa yanapigiwa sana Mampeni.
 
Hivi mkuu, makutopora hawakuwahi kufikiria kutengeneza mahindi yenye ladha ya nyama kwa kuongeza genes chache kwenye mahindi toka kwenye nyama; ukila hindi la kuchoma, inakuwa kama unakula mshikaki!
 
Tanzania hatujafikia hatua ya kwenda kwa GMOs, there are interest behind GMO, the use of improved varieties ni chini ya 30%. Still there are other avenues to improve our productivity. Matumizi ya mbolea, mbegu bora na Kilimo cha umwagiliaji bado tuko chini ya 30%. GMO ina agenda behind. Nimefanya research ya biotechnology kwenye Bt. Cotton na Bt. Maize kuna mengi mabaya sana. Kwa maoni yangu uamuzi wa serikali ni sahihi tena ilichelewa kufanya hivyo.
 
GMO unaweza kutengeneza mbegu ya nyanya isiyohitaji kumwagiliwa mara kwa mara kama ilivyo kwa mtama, huo ni ukombozi hakika.
 

Kiongozi, hata sisi tulisoma hiyo "Mendel's Laws of Inheritance"
Kwa taarifa yako Mendels anaongelea Inheritance na sio GMO - USIPOTOSHE WATU!!!!

Hybrid/chotara aliyo ongelea Mendel's sio Genetic Modified Organism (GMO); Hybrid/Chotara ni cross breeding ya mmea kupata tabia fulani unazozitaka k.v mazao mengi, kuvumilia ukame, kuzaa kwa muda mfupi n.k., off course ukizipanda zinaota vizuri sana hili mazao yanapungua kila unapoendelea kuzitumiatu but zinota. GMO ni teknolojia nyingine kabisa ya kucheza na genes za mimea. na mbegu zake ukizipanda hazioti lazima ununue toka kwa mzalishaji kwa maisha yako yote.


Naunga mkono hoja ya kupiga marufuku hapa Tanzania kwani bado tuna chakula cha kutosha na hatuna haja ya Genetic Modified Organism (GMO) kwa sasa
 
👍
Ninaunga mkono serikali Katika hili. Pia napendelea wale wenye kutuletea mawazo ya vitu visivyostahili kwa ajili ya matumbo yao tu, Basi wachukuliwe hatua.
Nawasilisha...
 
Ila dunia inapoelekea ni pabaya sana, its a good move kwa Tanzania kugundua kuwa GMO ni tatizo kwa nchi yetu.
 
KUPIGA MARUFUKU TU HAITOSHI TUNAOMBA SASA WATUSAMBAZIE MBEGU ZA ASILI KWAKUA WENGINE HUKU HAKUNA KABISAA MBEGU ZA ASILI KULIKO SABABISHWA NA MAKAMPENI YAO YA KUTUMIA MBEGU ZA GMO'S MARA WALIPO TUAMINISHA KUWA NDIO MBEGU BORA TENA ZENYE FAIDA KUBWA KWA MKULIMA NA ZINAVUMILIA UKAME!
 
Hizi zinahisiwa kuleta majanga.
Naohofia tunaweza kusumbuliwa na saratani kama nchi zilizo endelea kwenye matumizi makubwa ya GMO na teknolojia zingine.
Mkuu si saratani pekee kama inavyo ongelewa, hebu tafakari mababu zetu walipanda kwa mfano mahindi, walipovuna wakahifadhi kiasi kwa ajili ya mbegu, kwa staili hiyo zoezi hilo limeendelea mpaka mbegu hiyo imetufikia sisi leo hii, sasa kama tutaletewa mbegu ambayo ukivuna basi ndio umemaliza maana yake kilimo chetu twakitia utumwani au kwa maana nyengine tunajitia jangani, kwani iko siku tutafika hatuna mbegu ya asili hata moja tutabaki kutegemea mbegu za dukani, na siku wakigoma basi tayari twafa njaa au wakija na masharti hata ya kutudhalilisha basi tutakubali kwa kuwa tutakuwa njaani.
Jamani si kila king'aacho ni dhahabu, uzazi mwingi wa mbegu za gmo usituchanganye
tukasahau ubora wa asili yetu.
Tuboreshe na kukipenda chetu cha asili
 
Ni kweli mkuu.
 
Hii ni moja ya mada muhimu mno hapa jf, lakini ni kwa wenye tafakari pekee.
 
Safi sana wazo zuri.
 
Na technology ndio inaipeleka dunia hatarini, rising sea levels, global warming etc.... and now wanataka kuleta mbegu ambazo haziwezi kujigenerate, vipi kuhusu soil nutrients nazo zitakavokuwa affected?

Guess you are the one with BS bro! Can't think wide enough
 

You seriously need to see a doctor, rising sea levels, global warming, is that all?
Do us a favor stop using the internet because you are contributing to the same thing you fight against.

Got no time to waste with you man! just do your thing. I'm off.
This is my last reply on this bs.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…