Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Anazingua tu watu wananadilisha kama kawaida,hizo porojo tuHii ni sheria ipi tena anatumia Ndugu Waziri
Kwa nini watu wanalazimishwa kufanya kazi maeneo wasiyoyataka??
Hakuna mtu anataka kutoka mjini aende KijijiniKuhama kituo cha kazi haipaswi kuwa kero, muhimu apatikane atakayeziba pengo la mtumishi anayehama (Replacement).
Wewe uchague mahala pa kufanyia kazi kama nani? Kazi unapelekwa popote hutaki acha kusaini mkataba na kiapoMda mwingine sio fair. Mtu anaomba kazi anaandika anapenda kupangwa Dodoma, halafu wewd unaamua kumpanga Handeni. Wakati huo huo kuna mtu ametoka Handeni au Tanga, unamrusha Dodoma.
Sasa huo si uonevu?
Kwahiyo ina maana baada ya yeye kusema hivi kuna watu wataendelea kuhama??Biti tu hilo...
Ingekuwa ni jambo analotaka utekelezaji wake wala asingesubiri kuliongea bungeni...
Sasa mbona unapoomba kazi wanakuambia uchague? Huyo anaesema chagua kituo cha kufanya kazi si ndo hajatumia akili??Wewe uchague mahala pa kufanyia kazi kama nani? Kazi unapelekwa popote hutaki acha kusaini mkataba na kiapo